Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari za wakati huu wanajamvi! Kama ambavyo maada inajieleza, nataka kujua taratibu za kupitia ili niweze kufanya kipimo cha DNA. Yeyote anayejua anijulishe tafadhali
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Msongo wa mawazo ni jambo la kawaida linalowapata angalau mwanamke (wamama wapya) mmoja kati ya nane. Dalili zake ni pamoja na kusikia mchovu, kulia, mwenye shahuku, mnyonge na mabadiliko ya kula...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama ambavyo kichwa kinajieleza hapo ju. kijana wangu leo anasiku ya saba tangu sikio lake la upande wa kushoto lizibe yani anashindwa hata kutembea. chanzo,ilikua usiku wa kuamkia jumapili tar...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari nipo DSM natafuta hospitali yenye specialist wa magonjwa ya ngozi fungus chronic. Kwani nimechoka kwenda kwa hawa ma doctor general tatizo langu hailishi.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa kichaga (cha kwetu) Rung'u maana yake ni chui, kwa hiyo sijajua kwa lugha nyingine unaitwaje na unaweza kua na majina mengine maeneo mengine kwa hiyo hilo sio jina rasmi nje ya kwetu Uko kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katoto kamiezi nane kamegoma kula chochote hata ukimkaba anatapika chakula chote, Cerelac Uji Mtori Juice(embe,papai,parachichi) Anatumia dawa ya malaria huenda ndio inamfanya ashindwe kula...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za hapa, Mwanangu ana umri wa miaka sita anasumbuliwa sana na kifua ambacho hakiponi, nimejaribu kumpeleka hospt lakini hakijawahi kupona zaidi ya kutulia kwa siku kadhaa.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari Wana Jf Doctors Kama kichwa kinavyojieleza hapo ni kwamba Nina mdgo angu Miaka zaidi ya saba imepita tangu mdgo angu aumwe na nyoka ambae hutukufaham ni wa aina , ailiumwa akiwa anaenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Kukosa hamu ya chakula, kichefuchefu na kutapika. Kuwa mdhaifu, mwili kuchoka na kupungua uzito. Kuvimba miguu,mikono au/na usoni karibu na macho. Shinikizo la damu lisilozuilika hasa kwa umri...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari, Kwa majina mm ni robert napatikana manyara kwa sasa.. Shida kubwa na changamoto ninayopitia ni kuwa nina tatizo la figo imekufa kabisa nafanya dialysis nina mwaka na nusu sasa. Tatizo...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wanajamii, Mkewangu nikisex nae anachubuka kwenye mashavu ya uke na anasema anapata maumivu na ameniambia kuwa nina uume mkubwa na anasema afurahii kabisa tendo nahofia kuachana nampenda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natumai mu wazima, Mpenzi wangu akiingia kwenye mzunguko wa hedhi anatokwa damu nyingi sana hadi hufikia mpaka kuongezewa damu. Hali hii ikianza yaweza kuchukua hadi wiki 3 bila kukata, nampenda...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Waungwana wasalaam kwenu ebunaomba kujuzwa hilijambo nisilo lielewa sana kuhusu mpango uzazi. Najua kuna njia nyingi sana ila nahofia madhara kwabaadhi yanjia nyingine mfano za vitanz shindano...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wapendwa bila kupoteza mda niende moj kwa moja kwenye mada wakuu. Jana tarehe 25 ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza ku do sex, sikuwai katika maisha yangu ila yaliyonikuta yamenifanya...
7 Reactions
73 Replies
8K Views
  • Closed
Licha ya dalili za awali zinazotambulika tangu wimbi la kwanza, pia kuna dalili nyingine zinazogunduliwa na madaktari hivi karibuni, ambazo zinahitaji uangalifu. Madaktari nchini India wanaamini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Swali Damu aliyokuwanayo binadamu mwilini endapo utaitoa yote inaweza kujaza kidumu cha Lita tano.
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Pata Mapumziko ya Kutosha, Kujifungua kwa njia ya upasuaji ni upasuaji mkubwa. Kama ilivyo upasuaji mwingine, mwili wako unahitaji mda wa kupona baada ya hapo. Tegemea kubaki hospitali kwa siku...
2 Reactions
0 Replies
5K Views
Wakuu napitia hali ngumu Sana. Mwezi wa 11, nilikuja nkapata shida moja, yaani iliniperekea kupata stress, anxiety na totally ubnomal. Sijakaa Sawa mwezi wa 12 nkafukuzwa kazi, aisee niliumia...
3 Reactions
64 Replies
8K Views
SUMUKUVU, VICHOCHEZI, MADHARA YAKE NA UDHIBITI ________________________________ ______ 19 AUG, 2020 USUNGILO HOTEL (Yusto Wallace) Utangulizi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Ni shirika la umma...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wapendwa, Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno na mgongo nilipima Dtk. kaniambiwa pingili za uti wa mgongo zimebanana chaajabu nimeanza kutibiwa tangu January hadi Leo nakunywa dawa kila siku...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Back
Top Bottom