Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Vipimo na tafiti muhimu kufanya kabla ya kupata ujauzito Ikiwa umeamua kufanya vipimo vya awali kabla ya kupata ujauzito, mtaalamu wako wa afya au nesi anaweza kukuliza kuhusu: Kazi...
3 Reactions
4 Replies
37K Views
Mshauri mmoja wa mambo ya saikolokjia na jamii aliyefuatilia mlipuko wa Corona unaosababishwa na Virusi vya. Covid-19 ameshauri ifuatavyo: 1. Jitenge mwenyewe usipate taarifa mbaya za ugonjwa huu...
2 Reactions
1 Replies
973 Views
JF Doctors, Katika mapambano dhidi yaCovid 19 kuna mtu ameniambia kwamba neem oil ukiweka drops puani kama Una dalili za Covid inapotea . Je, wataalam wa afya hii kweli iko salama ? Neem oil =...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
COVID ATTACK LEVELS Level 1 - Inatibika Mwili kuchoka Maumivu ya mwili mzima na viungo Kichwa kuuma & Kizunguzungu Level 2 - Inatibika Kukosa hamu ya kula Kushindwa kunusa harufu Homa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Hatua ya kwanza katika vita yoyote huwa ni kumjua adui yako; nguvu yake na udhaifu wake. Sisi tumemjua ni kirusi kwa jina COVID-19, Sasa kwakuwa ni kirusi basi tushirikishane 'mbinu mbalimbali za...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari waungwana, Niende moja kwa moja kwenye lengo la thread hii, ni kwamba kuna rafiki yangu wa kike ana tatizo. Tatizo lenyewe ni kwamba ana madonda yanatoa maji maji kwenye maeneo karibu na...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wale tunaopenda kunywa pombe Kali Kali kuanzia konyagi, k vant Zed highlife Bushmen vodka, kitoko, blue, robot, shimwa waragi, ambiance spirit, diamond rock , valeur, gongo n.k tuwe makini Sana...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nina mtoto wa mwaka mmoja. Wiki iliyopita alitoka vipele usoni na shingoni, nilimpeleka hospitali wakampa dawa ya kunywa na kupaka vikaisha. Cha ajabu leo nimeona vipele vimerudi kwa kasi kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba kuwauliza hasa wasichana hivi wakati wa tendo la ndoa kwenye ile stail ya mbuzi kagoma kwenda.. Kupumua kule nyuma ni ugonjwa au ni kawaida na je kila mwanamke akipigishwa ile...
4 Reactions
302 Replies
112K Views
Habari naomba kujuzwa ni majani gani yanatumika kujifukiza kwa ajili ya hili janga.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimesumbuliwa na hilo tatizo kwa miaka miwili sasa, nilianza kutibu kwa kutumia ANUSOL SUPPOSITORY bila mafanikio,nimefanyiwa upasuaji mdogo mala tatu katika kipindi cha kuanzia march hadi sasa...
0 Reactions
39 Replies
42K Views
Habari wakuu Hapa nilipo sina amani kabisa ,uwezo wa kunusa umepotea kabisa ,ninakula chakula bila kusikia harufu yake. Ninamafua ya kawaida hayanibani sana ,ila hili la kutonusa na kusikia...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Tezi Dume (Prostate gland) KUVIMBA KWA TEZI DUME (BENIGN PROSTATE HYPERPLASIA BPH) FEATURE Tezi Dume (Prostate gland) Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na...
2 Reactions
341 Replies
195K Views
Nimekuwa nikifatilia mijadala ya UKIMWI humu kwa muda mrefu na haya ninayotaka kuyasema humu yalishasemwa na mimi nimeyashuhudia siku chache zilizopita kwa majirani zangu. Jirani yangu huyu...
3 Reactions
126 Replies
21K Views
Baada ya mtoto wako kuzaliwa, mrija wa chakula toka kwa mama utakatwa na kubanwa na kibana kitovu. Mfunge nepi mtoto wako ikiwa chini ya kitovu, ili kibana kitovu kipate hewa na pia kisipate...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Msaada wakuu. Nimekua niki kimbiwa na mabinti wa kila aina duniani. wapi nitapata namna ya kupunguza size. Hilo tatizo linaweza kutibika?.
6 Reactions
86 Replies
12K Views
Wakuu salaam! Mimi na mke wangu tuna watoto watatu, kwa sasa ni mjamzito. Tatizo ni kuwa katika ujauzito huu hana hamu kabisa ya tendo la ndoa, muda mwingine raundi ya kwanza ikiisha hataki...
3 Reactions
33 Replies
15K Views
Katika elimu ya anatomy, anthropolojia ya kibaolojia na sayansi ya wanyama kuhusu uwezo wa UBONGO wa mwanadamu wa zama hizi brain capacity zetu / cm³ ni around 1400cc adi 1500 cc uyo ni mwanadamu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jumapili ndugu zangu na wikiendi kwa ujumla Nije kwenye mada, Nasumbuliwa na mafua wiki sasa mchana naweza nikashinda vizuri na nikaendelea na kazi zangu vizuri tu ila ikifika usiku...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa. Naomba kusaidiwa, nimepatwa na tatizo la kukakama kwa misuli ya miguu na paja, nyakati za alfajiri ninapokuwa kitandani, yaani mfupa unakakamaa au kupinda na kusababisha...
0 Reactions
9 Replies
14K Views
Back
Top Bottom