Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
  • Closed
Sheria ya Mtoto inamtafsiri Mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu, naomba mwenye kujua hospitl,dr mzuri wa ugonjwa wa kisukari mama yangu anasumbuka sana na huu ugonjwa wakuu.
2 Reactions
58 Replies
11K Views
Fun fact kuhusu historia ya kisukari ni kwamba madaktari wa mwanzo kabisa waliweza kumtambua mgonjwa mwenye kisukari kwa kuonja mkojo wake! Kisukari ni moja kati ya magonjwa ya kwanza kabisa...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Hili gonjwa lipo na siku ukibahatika kumuona mgonjwa wa COVID19,utataka siku hiyohiyo uchanjwe chanjo yake. Kama hujaona ndugu yangu basi omba usione wewe kubali kuchanjwa tu siku ikifika uachane...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna Mwanamama ana uja uzito wa miezi mitano kuelekea wa sita sasa, tatizo lake ni kwamba sehemu zake za siri zimekuwa kavu mno hakuna ute ute, ni ujauzito wake wa tatu hii hali haijawahi kumtokea...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Kawaida dozi huwa inaandikwa kwa siku na siku ina masaa 24. Kwa hiyo ikiandikwa vidonge 2 mara 3 maana yake masaa 24 uyagawe kwa 3. Hapo unatakiwa kunywa dawa kila baada ya masaa nane na si...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
  • Closed
Habari wadau, Leo nimeamua kuingia kwenye hii fani ya udaktari ili nami niweke neno kaa hapa chin basi uongeze maarifa. Ok nadhan kila mtu anajua kwa sasa kuna vuguvugu la chanjo dunia mzima tena...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
  • Closed
Matatizo ya miguu au mikono kuhisi ganzi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa Neva za pembezoni mwa mwili (peripheral neuropathy), hivyo kusababisha kupotea kwa uwezo wa kufanya...
3 Reactions
4 Replies
14K Views
BY Mfalme Hadithi NINI MAANA YA HEDHI? Hedhi (kutoka Kiarabu حيض) ni kipindi maalumu katika mzunguko wa mwanamke mwenye umri wa kuzaa. Wakati huo, ambao kwa kawaida unarudi kila baada ya mwezi...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Matumizi ya dawa yasiyozingatia muda uliopangwa yameelezwa kuingilia ufanisi wa kiambatahai kilichomo kwenye dawa husika ambacho husababisha athari mwilini. Kiambatahai hicho huwekwa katika kila...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapenzi habari zenu.. Kuna mtoto wa 5 years huwa akibanwa Hana ghafura huachia mzigo bila hata kuubana . Kuna muda utamchapa lakini ukimchapa asubuhi mchana anarudia Tena , ukifanya hivyo jioni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, Nimekuwa nikisimama kwa Muda mrefu kwenye shughuli zangu. Miguu kwenye unyayo inauma...nlienda hospital wakanipima kisukari (5.7) na Syphilis (non reactive) Doctor Akanipa paracetamol...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Kama wiki mbili zilizopitwa nilipatwa na mafua makali na homa, nikadhani ni hali ya kawaida nikimeza Coldril nitakuwa poa kama ilivyo ada yangu ikizingatiwa nina allergy na suala la mafua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
X-radiation (imetengenezwa na X-rays) na inatokana na electromagnetic radiation. X-rays mara nyingi zina wavelength kati ya 0.01 na 10 nanometers, ikiwasiliana na frequencies kati ya 30 petahertz...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi, huyu mwanamke ni jirani yangu! Ana kichanga cha miezi tisa (9)! Alinieleza njia ya uzazi aliyokuwa anaitumia ni ya kalenda! Sasa kuna kulingana na mabadiliko ya mazaringira kumbe...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwenye shida au kutaka uelewa kidogo kuhusu hii professional karibuni kwa maswali
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Wataalamu wa Uholanzi wametengeneza virusi vinavyotishia maisha ya nusu ya watu wote duniani. Habari hiyo imefichuliwa na gazeti la Corriere della Sera la Italia ambalo limetangaza kuwa wahakiki...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Viongozi huunda mataifa yetu, jamii, na mashirika. Tunahitaji viongozi bora watusaidie kutuongoza na kufanya maamuzi muhimu makubwa ambayo yanafanya ulimwengu kusonga mbele. Kiongozi bora ana...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwanza kabsa hongereni kwa kulijenga Taifa. Mimi nina shida moja ambayo siielewi naomba madokta mnisaidie, kuna hospital moja kubwa tu kila mwanafamilia yangu akienda kupima malaria kwenye hiyo...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Walimu wa vyuo hasa hivi Vyuo za utabibu jaribuni kuwa na mpangilio mzuri wa ufundishaji maana kuna baadhi ya wanafunzi wanakua wanarudi nyumbani kutokona na mpangilio mbaya wa mtaala na ratiba...
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Back
Top Bottom