Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari zenu.. Jamani naomba kwa anae fahamu anieleweshe sometimes unakuta nimekaa au nimesimama ghafla nahisi kama mdudu ananing'ata mguu maeneo ya vidole vya mguu adi kwenye unyayo ata kama...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtoto mdogo wa kike kuwashwa Seham zake za siri chanzo ni nini? Naomba msaada wenu wa haraka pls. Doctor aliyepo online msaada wako pls. Mtoto ana mwaka na miezi 7.
2 Reactions
5 Replies
9K Views
Mrejesho Radiology-Main 2021-01-22 1434 GENERAL USS Abdomen + Pelvic 2021-01-22 15:06 Report: ABDOMINO-PELVIC ULTRASOUND Urinary bladder appear well distended. Bladder wall is thick and is...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu! Nina mtoto mdogo wa miezi 2 na siku kadhaa juzi alienda kliniki akachomwa sindano ya chanjo sasa jana kaamka na mafua hali inayopelekea kulia muda mwingi. Mama watoto leo...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Watu wengi sana humu mitaa tunamoishi wamekua wakisumbuliwa na msongongo wa mawazo ila kuna ambao wanaweza kuhandle na ambao hawawezi wanabaki na maumivu mioyoni mwao. Chanzo cha msongo wa mawazo...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Habari. Jana nilipanda Bajaji na kina mama wawili ambao wanafahaniana, katika kusalimiana mmoja wao alisema kwamba aliuguliwa na mtoto wa miaka 4 ambae alipata tetekuwanga na kwamba alikuwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za wakati huu. Samahanini kwa usumbufu wapendwa. Leo nahitaji kufahamu athari za kulala karibu na simu wakati wa usiku. Mara kadhaa nimekuwa nikijisahau na kulala na simu karibu yangu...
1 Reactions
0 Replies
643 Views
Kula pilipili kali mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kutokana na magonjwa, ikiwemo saratani au ugonjwa wa moyo na mishipa. Wanasayansi kutoka Kliniki ya Cleveland huko Ohio, Marekani...
9 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari ya mchana ndugu zangu. Tafadhali naomba ushauri mtoto wangu yupo na miaka miwili ameumwa ghafla, homa kali akiangalia anaangalia upande. Hospital tumepima lakini hana ugonjwa je ndugu ni...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana JF naomba nipate elimu kidogo yaan upande wang huwa naogopa kununua hizo imported condoms hata nkizikuta supermarket huwa naziacha naogopa maybe wale Whites wanaweza wakawa wameweka magonjwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Kung’ata kucha(Onychophagia) Tabia ya Kung’ata kucha inaweza kuwa haina madhara iwapo itakuwa ya muda labda wasiwasi wa urembo wa kucha lakini tabia hii inaweza kuendelea na kulifanya tatizo la...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
MARA nyingi watu wengi wamezoea kula au kunywa kile kinachopatikana na si kile kinachotakikana (kinachohitajiwa). Tabia hii huchangiwa na mambo mengi kama ukosefu wa fedha, muda wa maandalizi...
3 Reactions
19 Replies
43K Views
Kizuri kula na wenzio. Wakati COVID inaanza kuenea nchi ya Iran ilipata matatizo sana. Kuna mama mmoja alisambaza video jinsi alivyotumia kitunguu kukabiliana na COVID Pamoja na matatizo ya...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Mdau wa jf umeshawahi kuona wanafunzi wa shule ya msingi hasa wa kike wakidondoka hovyo na kupiga mayowe huku wakikimbia hovyo? Huwakuta hata wa secondary mostly wa kike. Basi ugonjwa huu huitwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna hi Hali ya Madoctor na wanasayansi kukataza wanawake kuweka vitu vya kiasili ukeni. Huku kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na Matangazo Mengi sana. Kuna mengine ya kusteam uke tukumia...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu naomba kujua bei za frem za plastic za miwani ya macho ni bei gani na ninaweza kununua frem za kawaida nikapeleka waka weka lenz. Pia naomba kujua bei halisi ya miwani ya macho ya MTU asie...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wapendwa, Nipo hapa kuomba msaada wa kimawazo. Mwenza wangu anakaribia kujifungua na amebakiza almost wiki kama5 tu. Clinick tumekuwa tukiattend pale Agakhan hospital ila...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni mjamzito wa wiki 24 nimekuja kwenu ili niweze kupata majibu ya maswali yangu maana naamini nipo jukwaa sahihi kabisa. Tatizo langu ni kwamba nimepoteza kabisa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa habar za jumapili, Ninapata changamoto naombeni ushauri kwa wanaojua vyema. Mke wangu amejifungua mara mbili, zote kwa kisu, kwa sasa ananyonyesha mtoto wa mwaka mmoja ila...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna tatzo linanisumbua siku ya 3 leo Sijisikii kula Hata nikila nakula kidogo saana Halafu pia tumboni nahic kuna kitu ki nakwangua....kinataka kutoka nje lakii hakitoki Naomba kujua nini...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom