Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Tatizo la kusikia shida yangu ni kuwa sisikii vizuri tunaeza tukaongea vizuri ishu ipo kwenye kuongea na simu. wakuu nafanyaje ili niweze kuongea na simu?
0 Reactions
2 Replies
634 Views
Wakuu habari, Mtoto ana miaka mitano anatoa sauti ngeni wakati wa kuhema, Kama Kuna kitu kinamzuia nimeweka recorded sound hapa ushauri Tafadhari
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Takwimu zinaonesha kuwa kila mwaka watoto milioni 15 wanazaliwa njiti, yaani ujauzito ukiwa haujatimiza wiki 37 wakiwa na uzito mdogo Jamii inapaswa kujua #WatotoNjiti wanauwezo wa kukua kama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za sikukuu wakuu!! Naomba msaada wa mdau anayejua njia mbadala ya kupunguza unene kwenye mikono!nina umbo la kawaida ila nina mikono ka...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Hivi majuzi nilienda kwenye kituo kimoja cha tiba mbadala, pale Mbezi beach. Kinaitwa Fadhaget Sanitarium. Dr. akanipa kidude kidude flani hivi nishike kimeunganishwa na computer, akaclick...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari wakuu! Naomba kueleweshwa, ikiwa mwanamke anayetumia kijiti Kama njia ya uzazi wa mpango atatoa kijiti kabla ya muda wake wa matumizi kufika, mfano kijiti Ni Cha miaka mitatu yet akatoa...
0 Reactions
15 Replies
26K Views
  • Closed
Mbali na suala la mimba za utotoni imebainika pia kwamba changamoto nyingine wanazokumbana nazo watoto wa kike ni pamoja na ukosefu wa taulo pindi wanapokuwa katika siku zao. Baadhi ya Familia...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Daw ipi ya asthma injection ni safe kw mam mjamzito? Kwa first trimester??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.chukuwa ukwaju na ujaze katika kidumu cha lita 5 2. weka maji mpaka yatakapo jaa, tia sukari kidogo kupunguza uchungu 3. subiri baada ya muda fulani hivi, ule uji uji uchanganyike na ukwaju iwe...
2 Reactions
20 Replies
9K Views
ukiangalia bangi ni mmea wa asili na mirungi hivyo hivyo,hii mimea ukiangalia historia yake mababu zetu walikuwa wanatumia kama dawa na chakula,bangi ni mboga mzuri ikipikwa vizuri na pia walikuwa...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Wadau mwenye kujua madhara endapo nitaogea sabuni ya Omo hasa katika korodani anijuze. Korodani zangu zinatoa sana harufu nimeanza kuogea Omo baada ya sabuni nyingine zote kudunda kuanzia detol...
3 Reactions
71 Replies
12K Views
Heshima yenu wakuu.Je mafuta ya taa yana madhara kwa afya ya binadam? Kama ndiyo kwanini mashuleni wanafunzi hutiliwa mafuta hayo kwenye chakula? Najua wapo watu ambao hawajawahi kukutana na hii...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo vipi ndugu? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimeanza mazoezi ya kegel kutokana na tatizo langu la kuwahi kufika kileleni.Kwa sasa hivi nina mwezi tangu nianze na nimeonai dalili...
5 Reactions
57 Replies
24K Views
Nasumbuliwa na vipele kichwani,vinawasha na kuuma pia vinatoa usaha kwa mbali,nimepima gonjwa letu nipo salama vinatokea hasa baada ya kunyoa na nywele kuanza kuota ni muda mrefu takribani miaka 3...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habar za mudaa huu wanajamvi na pole na mizunguko ya wiki nzima na huu ni muda mzur wa mapumziko ukiwa nyumban na sehem mbalimbali za kupumzik Moja kwa moja kama kichwa cha maad yangu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Zaleo. Kichwa cha habari kama kinavyojieleza. Mwezi wa 2 nimeblidi siku 6 na ya 8 ikaishia....nilishangaa sana kwa kua mimi huwa NABLIDI siku 4 tu nimemaliza. Nilijiona tofauti nikapotezea ila cha...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Wataalamu wa Afya naomba msaada, huwa nikilala nikipigwa na baridi ile inaanza tu basi nakohoa sana ila nikijifunika basi sikohoi tena, hata nikikaa nje na baridi ikianza kuwa kali nakohoa hadi...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ni mtoto wa kiume miaka minne na nusu mwenye afya ya kawaida na uzito kg 21 anasoma chekekea. Hajawahi kupata msukosuko wowote mkubwa wa kiafya na anahudhuria klinik ya watoto kila nwezi. Kuanzia...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa? Ni muda wa mwaka miezi kama sita hivi tokea nilipoanza kutafuta mtoto pasipo mafanikio. Nilijaribu kwenda kwa daktari, akaniambia sina tatizo lolote lakini nina uvimbe kidogo...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Heshima kwenu... Jaman nasumbuliwa na tatizo la sinusitis anaejua tiba plz nimeshatumia lundo la madawa lkn wapi. Msaada kwa anaejua
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom