Wakuu habari zenu?
Bila kuzunguka sana, ninaomba ushauri wenu kwa mwenye uelewa zaidi wa hizi chanjo za hepatitis B & C.
Je, hazina madhara yoyote ya kiafya mwilini ikizingatiwa ni unakaa nayo...
Wanajamvi mimi nikijana ninahisia zote na lijali kabisa tena nikiwa sita kwa sita naweza piga mpaka nyayoo 4 nakuendeleaa sasa tatizo nikipizzz naona msisimko na ilee halii ya urahaa umepungua hii...
Jamani naombà msaada wa tiba ya huu ugonjwa kwani maumivi take niakali hata antipain zimenigomea. Huwa inamisumbua kwemye femar pamoja na paja na goti . kila Sawa nikitumia maumivu uayakati na...
Hyperdontia ni ugonjwa unaosababisha meno mengi yaote kinywani kwa mfumo usio wa kawaida. Kwa kawaida mwanadamu huwa na meno 32 ambayo huitwa ‘Permanent teeth’
Dalili za ugonjwa huu ni kuota meno...
Hello wanajf,
Bado siku 1/2 hivi tukacheze duduke[emoji39][emoji16]
Naombeni mnijuze ni sawa? Mimi ni mjamzito wa week 23 sasa ratiba yangu ya kula kila siku
Asubuhi mayai mawili nachemsha na...
Natumani tumeunza mwaka salama , ndg zangu naomba mwenye makala yanayoielezea hosptali ya indumandal kwa lugha ya kiswahili aniwekee hapa.
Pia naomba kwa anaefahamu gharama zao za kujifungua kwa...
Nasumbuliwa navidonda vyatumbo takribani km miaka miwili sasa'kwahyo naomba km kunamwenye kuweza kunisaidia kwakunifahamisha dawa yakunisaidia ili hili tatizo langu liweze kupona nakuisha kabisa...
Habarini waungwana!
Hivi pumbu hususani moja, kuwa kama inatembeatembea (kuzunguka zunguka, kupanda na kushuka) hivi (kidogo kidogo) huwa ina maana gani? Ni tatizo tu la kiafya au kawaida kwa...
Wataalamu wa masuala ya uzazi naomba elimu na msaada hapa.
Watu husema mficha maradhi kifo humfichua.
Ukweli Ni kwamba, Sisi wa Afrika tunapenda Sana watoto, tena watoto wengi.
Tuna watoto...
Habari Wana JF,
Tumbo langu limekuwa na tabia kunguruma hasa mida ya asubuh napokuwa sijala kitu, kwa ufupi nikwamba lina nguruma ninapokuwa sijaweka chochote tumboni.
Mwenye kujua chanzo na...
Habari wadau.
Naomba msaada wenu kujua tatizo ni nini, chanzo chake na matibabu yake. Ndugu yangu amekua na tatizo la kuuma ulimi wake pindi awapo usingizini.
Bahati anauuma kwa meno yote ya...
Kama kichwa kinavodai mie nimevutiwa na huu mmea haswa kutokana na tabia za watu niliokaanao ambao wanatumia niwatu wapole saana na hawajali maisha ya watu yaaani wanajalii yao tu pia sijawai...
Kwanza poleni na majukumu nimgependa kujua muda bora wa kutumia pantoprazol 40mg tab kwa ajili ya kuifanya ifanye kazi vizuri.Je ni bora kula nusu saa kabla ya kula usiku au nusu saa kabla ya kula...
Kwanza poleni na majukumu nimgependa kujua muda bora wa kutumia pantoprazol 40mg tab kwa ajili ya kuifanya ifanye kazi vizuri.je ni bora kula nusu saa kabla ya kula usiku au nusu saa kabla ya kula...
Habari wakuu,
Jamani sijui ni ugonjwa au ni nini maana nikinywa chai yenye tangawizi iwe imewekwa majani au tangawizi peke yake huwa napata kwikwi sana, naweza mwanzo wa chai hadi mwisho napata...
Tafadhali naomba msaada wenu Madaktari au kwa yeyote anayejua!
Zamani nilikuwa na imani kwamba mtu anayestahili kuota mvi ni mtu wa makamo hasa kuanzia miaka 60 na kuendelea, lakini siku hizi...
Kwa utafiti wangu mdogo, barakoa zinazuia upumuaji mzuri na uingiaji mapafuni wa hewa safi ya kutosha. Kama mtu ana tatizo la kupumua, kumwambia avae barakoa ni kuzidi kumwongezea tatizo la...
IF YOU ARE ABOVE 40YRS OF AGE THIS IS FOR YOU
HEALTH HINTS FOR YOU
A. Two things to check as often as you can:
(1) Your blood pressure
(2) Your blood sugar.
B. Six things to reduce to the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.