Naomba mnisaidie mawazo zaidi Kwani inafahamika kiafya mtoto inabidi anyonye mpaka miaka miwili kwa afya njema kiakili sasa imekuwa tofauti kwa Sasa kwani wengi wameshindwa kufikisha muda huo.
Na...
Uume imara ni heshima kwa mwanume na furaha ya mwanamke, bila uume huwi mwanaume. Uume ndio kiungo muhimu katika mwili wa mwanaume. Ndio mana mtoto akizaliwa mama na manesi kwa haraka huchungulia...
Nina tatizo la maumivu upande wa kulia wa tumbo, nahitaji kwenda hospitali nikafanyiwe kipimo cha MRI. Kwa wajuzi Gharama zake zikoje?, na naweza kuipata huduma hiyo hospitali ipi bila usumbufu...
Msaada jamani,nina ndugu yangu alipatwa na ugonjwa wa malaria,na katika matibabu yake akatumia Quinin...lakini cha ajabu amepoteza nuru kabisa,mwanzoni aliaanza kuona "mbilimbili lkn baadae...
Wapendwa salam.
Mke wangu ana ujauzito wa wiki tisa sasa. Leo tumeenda hosp kakutwa na malaria 5.
Wamemuandikia sindano tatu za quinine aanze leo jioni.
Naombeni wataalam mnijuze huwa hazina...
Ni wiki nyingine tena bado tupo tunapambana na maisha kila mmoja na nyanja zake na humu ndani pamekuwa na somo kubwa watu wanaelimishana na kupata mitazamo tofauti sasa basi naomba niende moja kwa...
Mwenzenu nina tatizo la kutokwa na usaha kwenye uume wiki tatu sasa
Pia nikikojoa kwenye njia ya mkojo panauma, naomba kujua hili ni tatizo gani na limesababishwa na nini na tiba ni ipi?
Asanteni
Yapata miezi 3 sasa tangu nipate matibabu ya U.T.I sugu ambayo ilifikia kiasi cha kutoa usaha wa ute ute mweupe nikikojoa, matibabu ambayo ilikuwa ni sindano na dose mbili za Metradazolone...
Bandugu nilifanya mapenzi na Mwanamke mmoja nashangaa uume unawasha na kunakuwa kama kuna kitu kinachoma kama sindano wala sio gono unaweza ukawa ugonjwa gani?
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu. Je, ni kweli anaetumia dawa za ARV anaweza akaonekana hana virusi kwa kipimo Cha awali?
Kama Ni kweli, je Ni Nini husababisha hayo?
Cheers to everyone!
Ni December hiyo, tupo mwisho mwisho wa mwaka na hatimae kuukaribisha mwaka mpya! Tupo kwenye kipindi ambacho tunatakiwa tuwe makini Sana na matumizi yetu kwa ujumla, Mara...
Nima mwanangu ana umri wa miaka 15 akianza kula jasho linamtoka sana kama amemwagiwa maji hata kama kuna baridi kiasi gani na ana mwili mkubwa. Je wana JF huu ni ugonjwa au ni nini naombe msaada...
Wakuu wasalaam,
Naomba kuuliza:
Hivi inakuwaje hata baada ya kupata chanjo mara 2,
Ukakaa miezi au Miaka kadhaa,
Eti hakuna Kipimo kinachoweza kugundua au kukupima kama uliwahi pata Chanjo ya...
Habari yenu wadau?
Naomba kuuliza hivi hali hii ya kuvuja jasho kila nikifanya mapenzi kwenye round ya pili kwenye kwichikwichi ni hali ya kawaida au tatizo?
Maana kila nikikomaa zikipita...
Habari zenu wakuu.
Naomba kuwasilisha hili tatizo langu ambalo nakosa namna ya kulikabili. Tatizo lenyewe ni kwamba kila wakati nikianza kusoma. Sikai Muda mrefu naanza kuhisi usingizi wa hatari...
Kuna hoja kwamba papai lina nguvu sana
Papai huweza kulainisha nyama ili iive kwa haraka na ina uwezo mkubwa kulainisha nyama mbichi kuliko hata tangawizi.
Sasa wanaotoa hoja wanasema ikiwa...
Nisaidien jamani nina tatizo la muda mrefu la mdomo kuwa na radha ya uchungu huku viungo vya mwili vikiuma nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za typhoid, maralia, vidonda vya tumbo lakini hali hii...
1.Mtoto mdogo chini ya mwaka 1 anapimwaje body mass index yake?
2. Je Kuna utofauti wowote kati ya BMI na hizi nutritional status height for age, weight for height and weight for age?
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.