Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari yenu wanajamvi? Nawasalimia wote. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi inakuaje mwanamke akiwa na mtoto mdogo akapata ujauzito mwingine wakati alikua bado ananyonyesha? Je...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
  • Closed
Tatizo la kusaga meno kwa kitabibu huitwa bruxism, hali hii inaweza kusababisha meno kuharibika na matatizo mengine ya kiafya kwenye kinywa yanaweza kutokea Kwanini Watu Husaga Meno? Hali hii...
5 Reactions
0 Replies
10K Views
Nina tatizo la uzito mkubwa yaani hadi miguu inavimba sana. Changamoto yangu ni kupenda kula vitu vitamu, chocolates, biscuits, kuku etc. Siwezi kucontrol uzito wangu kwa kujinyima kula. Hela...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Kwa watalaamu,nin huwa sababu kubwa ya watoto wadogo kuanzia miaka 3 mpaka 6 kutoka vipele na hatimaye vidonda miguuni.Wajuvi wa hili tunaomba majibu yenu.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
HABARI WAKUU MBALIMBALI; Kuna mdau kanielezea yeye hapendi nywele za kifuani so toka zimeanza kuota amekuwa na tabia ya kuzinyoa kila ikifikia level flani ni kwa muda sasa amekuwa akifanya hivyoo...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ni imani yangu kuwa wote ni wazima Mungu anaendelea kutupigania. Naomba msaada wana JF Nilikuwa nakula maembe kama kawaida pasipokuwa na shida yoyote, lakini nina miaka kama sita sasa hivi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za mida ndugu zangu wana JF, Mimi bwana kuna kitu kinanitatiza sana katika mwili wangu,kitu chenyewe ni, kwenye ududu wangu(ume) mwanzo wa kichwa yaani pale kwenye shingo,kwenye ule ukingo...
1 Reactions
82 Replies
76K Views
Nazani mtaniunga mkono kwa maana;- Kuna mwaka fulani nikiwa bado KCMC nilifanikiwa kuona jinsi kichaa cha kuzaa kilivyo kibaya na hatari mno yahitaji moyo mno kusoma huu uzi. Kuna mwanamke mmoja...
19 Reactions
82 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu! Nahitaji mawazo yenu mke wangu amekua na tatzo la kuwashwa kila baada ya kumaliza tendo.Hali hii inapelekea mwenzangu kunihisi nimechepuka kitendo ambacho kinachoniumiza ndoa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Salamu wakuu. Naamini bado tunaendelea kuomboleza kwa kutokwa na kijana na mwanasiasa shupavu alie pendwa karibia na na watu wote ndani na nje ya Ludewa bila kuzingatia utofauti wetu wa kiitikadi...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Nadhani wazima memba wenzanguni. Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? Na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea...
1 Reactions
189 Replies
42K Views
1. Mchanganyiko wa maji, matango, ndimu au malimao (unaweza kutumia chochote kati ya hivyo), mdalasini, tangawizi, majani ya mint na ukipenda asali. Kazi: Unasaidia kupunguza uzito sana. Ni njia...
1 Reactions
11 Replies
49K Views
Wakuu nataka msaada mkubwa, mke wangu wiki ilopita alifanyiwa opretion wa kuondoa kizazi, lakini doctor baada yampasua wameshindwa kuindoa kizazi sababu, viungo vyake asilimia kubwa kasema...
7 Reactions
40 Replies
6K Views
Wataalamu wa afya mje mtuthibitishie hili jambo.Inawezekana Elimu ya Afya wengi wetu bado hatujaipata. Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Ndugu zangu mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nina mke na mtoto mmoja, naombeni msaada wa kutatua haya maradhi yafuatayo kwa historia fupi hpo chini. Mwaka 2017 nilipata maradhi ya tumbo...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari ni dada ana miaka 29 ana kg 65 na alijifungua kwa operation mwaka 2018 December, alianza kupata maumivu ya mgongo mwaka huu mwezi April, hadi leo anaumwa sana, vipimo (MRI) vinaonesha ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada jamani hawa wadudu wananisumbua nakosa raha hata mood ya kufanya kazi sina nimetumia vidonge vya Alben lakini wapi. vinafanya kunitekenya kwenye Puru (sehemu ya haja kubwa) hata usingizi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
...Leo Naomba Tuwe wawazi kwa hili. Wale waliowahi kutumia njia mbalimbali za uzazi wa Mpango kama vile: 1. Vidonge vya Majira 2. Njia vijiti. 3. Sindano, Na wameshapata madhara mpaka...
0 Reactions
432 Replies
155K Views
Studies nyingi zinasema watu wengi upatwa na bottom itchy kutokana na sababu mbali mbali mfano aina ya chakula wanachokula, kutokunywa maji ya kutosha, bacteria, minyoo na kadhalika. Kama hakuna...
4 Reactions
3 Replies
6K Views
Jamani, samahanini, nisaidieni hapa, kwanza nashukuru registration yangu inafanya kazi, na humu ndani ni mgeni, ila naona pazuri sana. na mimi ngoja niweke tatizo langu hapa ili tusaidiane...
1 Reactions
68 Replies
38K Views
Back
Top Bottom