Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Naombeni ushauri Maana toka nimefanya mapenzi na huyo mwanamke nimekua nikiugua ugua tu nishaenda kupima nikakutwa Niko vizuri sijajua shida ninini?
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari watu wa JF Kama mada vile inasema, napata utata Sana kujua Mzunguko wa siku za mwenzangu baadhi ya watu niliokwisha uliza wanakuwa wakisema Mzunguko wake uko na siku 28 mwingine vile...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hellow Kuna jambo linanitatiza. Nilisafiri October last year nilitoka Dar kwenda Moshi nilipofika asubuhi miguu ikawa imevimba (kwa chini si mguu wote) wakaniambia ni safari itakaa sawa ndio mara...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Wadau nimekuwa nikitumia njia kadha kupunguza kitambi ikiwepo kufanya mazoezi kwa bidii,kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi na kufanya diet.Lakini naona juhudi zangu zinagonga mwamba naelekea...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ofisa lishe mtafiti mwandamizi wa Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC), Dk Analace Kamala alisema minyoo husababisha madhara mbalimbali ikiwemo hilo la kupata matatizo ya akili. Akiwasilisha mada...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna dawa nilipewa hospitali (dawa ya kutibu brucellosis), dozi ya mwezi mzima, nilivyokuwa naitumia kama wiki ya pili hivi nikaanza ku experience ringing noise kwenye masikio yote. Nikajua ni...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
My whole body is getting numb and tingly, I can't bear it, I've gone through Tests,I got no Diabetes or Blood pressure. I've take neurobion Tabs nothing works. I've got Arab herbs ,bunch of them...
7 Reactions
70 Replies
6K Views
COVID-19 struck only a few months after world leaders endorsed of the landmark Political Declaration on UHC - committing to accelerate efforts towards the achievement of universal health coverage...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazungu walipoenda Marekani walishangaa kukuta sehemu fulani watu wameungua meno na kuwa ya kahawia. Wakaanza kufanya utafiti wakagundua kuwa maji ya eneo lile yana flourine kwa wingi sana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Daktari bingwa wa watoto kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Fransis Furia, amesema watoto wanaokaa na watu wanaotumia bidhaa za tumbaku kama sigara wako hatarini...
5 Reactions
22 Replies
7K Views
Wakuu, Zipo kampuni nyingi zinazotoa huduma za Bima ya Afya nchini lakini zote zina mazuri na kasoro zake. Mjadala huu unalenga kuzichambua kampuni hizo na kuangalia packages walizo nazo...
0 Reactions
179 Replies
63K Views
Mimi ni kijana30+ maumbile yangu yana tabia ya kusinyaa na kuwa kawaida lakini show napiga kama kawaida tena Sana ila baada ya hisia kukata huwa madogo sana na hisia zikipanda huwa makubwa hadi...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za leo ndugu zangu, Ni miezi sita sasa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri na wakati mwingine ngozi inachubuka kabisa.. Kuna wakati pia eneo zima linakuwa na joto sana na maumivu kiasi...
8 Reactions
39 Replies
9K Views
Mko poa wadau, Nimeona taarifa kuwa kuna baadhi ya watu wasio na VVU kutumia dawa za PREP kila siku katika maisha yao ili kujikinga na VVU kwasababu wamechagua kufanya ngono na yoyote bila condom...
6 Reactions
42 Replies
9K Views
Wakuu, Salaam. Niende moja kwa moja katika mada. Mimi ndugu yenu nina tatizo la kuwa na hofu katika kila jambo ninalofanya na hili tatizo linapelekea kushindwa kufanya kwa ufanisi jambo lolote...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamvi poleni na miangaiko ya kila siku s niende kwenye moja kwa moja Nimekua muhanga wa ngozi kusinyaa na kupoteza mvuto yaani inapauka pauka kama kipindi cha balidi kipupwe...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimepata hii kitu haina maumivu wala muwasho je hii ni nini
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Gout ni kat ya magonjwa yanayoathiri maungio ya mwili husababisha maumivu ya viungo vya mwili. Gauti hutokea sana kwa watu ambao hula vyakula kama keki, nyama nyekundu hasa ya mbuzi, viungo vingi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalam jf!! Hospital gani nitapata gynecologist mzuri zaidi?? Na anayepatikana kwa urahisi kidogo (maana wengine mpaka appointment na unaweza kwenda hata mara Tatu usimkute) Kwa dar/mwanza na...
5 Reactions
46 Replies
10K Views
Habarin wakuuu! Kama nilivyotangulia kusema mwanzo..kumekua na tabia kw baadhi ya wadada/ wakaka / wababa nk...kupendelea Kutumiaa aina pendwa ya vyakula..kitaalam tunaita junk foods eg chips...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom