Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habarini, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo langu huenda nikiandika naweza kupunguza yaliyopo kichwani na moyoni. Mimi ni Me26 Kuna tatizo linanikumba tofauti na awali nikikutana kimwili...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Hii ni nzuri hasa kwa Sisi tuliokuwa kwenye Mfungo, na hata kwa wale Heshima iliyopungua Nyumbani. MAHITAJIO - Tende 1kg, - Maziwa fresh mabichi 1ltr, - Parachichi Moja lililoiva vizuri, -...
5 Reactions
41 Replies
38K Views
Nina mtoto wa kiume wa miaka miwili na nusu hapendi kula kabisa. Nimempima minyoo na haumwi chochote lakini kula kwake ni kwa shida mpaka umlazimishe. Inaweza ikawa nini? Nifanyeje arudi tena...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Dear Doctors, Kila nikiamka asubuhi nina mafua na chafya nyingi sana. Yani hii inaniumiza na situmii dawa yoyote kwa mazoea tu. Pia muda mwingine kama mchana/ jioni nayapata kutokana na...
2 Reactions
442 Replies
269K Views
Hey ndugu zangu, nawasalimu wote. Binafsi nina allergy na vumbi pamoja na vitu vyenye harufu kali. Hata ikitokea nimeweka nguo safi kabatini lakini ikichukua muda mrefu pasipo kuivaa, siku...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Prostate anlargement (kuvimba kwa tezi) ni ugonjwa unaosumbua wanaume wengisana kwa sasa,pindi tezi zinapopata maambukizi ya bacteria huwa zinaanza kuvimba.kuvimba huko husababisha kusinyaa kwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu wa Afya na technology Hivi mpaka sa hivi hakuna Vifaa vingine mbadala vya ile Urinary Catheter Ya kuingiziwa kwenye tundu la Uume?, Mfano iwe lenye lock au hata yaki plaster unayoweza...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi ni kwanini uume wangu ukimakiza kusimama nasikia haja ndigo? Je! Kinachokuwa kimesimamisha uume ni mkojo au ni damu ambayo uingia kwenye mirija ya uume?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naomba kusaidiwa kujua condom Bora na imara zitakazo kuwa na vigezo vya juu vya ubora na zenye kufanya ufurahie ngono
4 Reactions
79 Replies
16K Views
Wakuu habari za usiku huu! Kuna rafiki angu alipata demu (mpenzi) hivi punde wakafanya nae mapenzi kama siku tano kama sio sita. Mwanzoni alikuwa anatumia kodom kila akifanya nae mapenzi ila...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Nini husababisha mtoto mdogo kuuma meno usiku? (yaani anakuwa kama anatafuna kitu wakati huo hana kitu chochote mdomoni ila unasikia kama meno yanasagana). Je, nini tiba yake? Tafadhari Madaktari...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Drinking lots of energy drink is not good of your health. If you drink too much it can also upset the balance of acid in your stomach by relaxing the oesophagus which can cause heartburn and...
1 Reactions
0 Replies
835 Views
10 C0ndom Mistakes You are Making, Thank Me Later Putting on a c0ndom may have all the earmarks of being normal to you now, yet would you say you are truly doing it the right way? Disastrously...
1 Reactions
0 Replies
582 Views
Habari zenu wakuu, Kuna binti mmoja mtoto wa shangazi yangu ana umri wa miaka 21. Alinijia kuniomba ushauri juu ya tatizo la kuchekacheka. Anasema huwa anacheka sana bila sababu tena hata kwa...
1 Reactions
69 Replies
17K Views
Wataalamu hii inamaana gani maana naona mstari mmoja
0 Reactions
4 Replies
946 Views
Habari zenu wadau, Naomba msaada kwa anayejua Clinic au Hospitali ambayo nitakutana na daktari mzuri wa meno anayeweza vizuri mambo ya rootcanal treatment crowning ambaye suala la kung'oa jino ni...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari zenu wakubwa, Naombeni msaada juu ya hili..Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa kila mara. Nimejitahidi kutumia dawa za kupunguza maumivu hazisaidii. kwenye vipimo naambiwa sina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mi nazan bila ya wazungu kuleta dawa hizi, saivi maambukizi yangekuwa madogo sana. Ila kwa hapa tulipofika maambukizi hayawezi kuisha kamwe.
0 Reactions
4 Replies
806 Views
Habari wapendwa, Napenda kuuliza na naomba msiidie nimekua na uchungu saana sehem ya juu ya mdomo sasa nakaribia mwaka na tatizo hilo kiasi cha kunifikirisha saana,tatazo lenyewe hua linatokea...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habar wakuu naomba kuuliza Kama umekunywa hii dawa ukanywa pombe kwadharura Kuna madhara yoyote ya Mara moja ? [emoji120][emoji120][emoji120] Asante Msaada waharaka wakuu nimepata kadharura....
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom