Habari za sahizi wana JF.
Nimekua nikipata maumivu makali sana ya kifua upande wa kushoto nikiwa nameza chakula au kimiminika chochote. Tatizo hilo limeambatana na vichomi hapo hapo kifuani...
Habari wadau,
Naomba msaada wa ushauri, mawazo na namna ya kupata mtibabu ya tumbo maana linauma kama tumboni kuna moto fulani au kuna namna fulani ya mvurugano! Nimefika hospital juzi kupimwa...
Nimekuwa nikipata Maumivu makali pindi ninapoenda kukojoa na ikitokea nimechelewa kidogo kwenda kukojoa basi najikuta najikojolea nashindwa katiba kuubana mkojo. Ni siku 4 sasa toka limeanza hili...
Wandugu, salaam.
Naomba nisaidiwe jinsi ya kuchanganya dawa ya kikohozi ya asali na pia je ikiwa mtu anakunywa hizi dawa za hospitali akachanganya na hiyo ya asali yaweza leta shida?
Asanteni...
Salaam sana wakuu,
Kama wiki mbili zilizopita nilienda kumpima wife ujauzito ambapo majibu yalikua ni U.P.T negative na akachomwa sindano ya kuzuia mimba ila sasa napata mashaka. Ishu ni kwamba...
*Husababisha maradhi mengine *Muhimbili watibu watano kila wiki *Madaktari bingwa wataja chanzo *Matibabu yahusisha kukata utumbo KUTOKWA haja kubwa bila kujijua ni ugonjwa unaosababishwa na...
Nina mtoto wa kiume wa miaka 2 sasa kuanzia asubuhi nimeshangaa kumuona akiwa anakojoa uume kule mbele kunavimba kama puto na mkojo unaenda pembeni hauendi mbele, nimempeleka hospital wanasema ni...
Hi hali ya kukaa muda mrefu bila kupata hedhi husababishwa na nini?
Yaani mfano mwanamke umezaa mtoto baadae unakuja pata hedhi baada ya miaka miwili ukizaa tena kuja kupata hedhi inakuchukua...
Habari za usiku wakuu. Baada ya serikali mwaka jana kukubali tiba za kienyeji kutumika kutibu nguvu za kiume, naomba kama mko usingizini mkiamka mnisaidie kunielekeza maduka ya dawa za asili za...
Kama Unajua Mtoto ambae anaitaji upasuaji wa moyo au anaitaji kipimo Cha ECHO na hana msaada naomba tuwasiliane kwa namba 0672358189 ili Youth Shade Foundation tuweze kusaidia Maisha yake.
NB...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU UGONJWA HUU
Ugonjwa huu ambao kwa kiswahili zoelefu unajulikana kama "Mafindofindo" hivi sasa umevamia watu wengi nikiwemo na mimi mwenyewe.
Dalili...
Mwanzo nilifikiri ni allergies. Nikaacha kumpa baadhi ya chakula. Mazowa nyama na samaki lakini wapi. Nimempima mpaka ukoma japo hatuna historian ya kuwa na huo ugonjwa kwenye kizazi chetu...
Wadau, Mimi nasumbuliwa kwa muda sasa tatizo la mdomo kuzalisha mate machungu ikiambatana na tumbo kunguruma na kadri tumbo linavyonguruma ndipo mdomo unakuwa mchungu zaidi na hali hii inakuwa...
KUZAA watoto wengi ni mojawapo ya desturi zilikuwapo katika jamii nyingi za kiafrika, enzi za mababu zetu familia iliyokuwa na watoto wengi ilipewa heshima ya kipekee katika jamii.
Familia...
Natumaini wote wazima na kwa wale wa dar poleni na mafuriko.
Nilikuwa naomba kufahamishwa wapi wanapima Corona maana natarajia kusafiri nje ya nchi.
Pili je kipimo cha Corona bado ni kile kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.