Wataalamu naomba kujua hili tatizo la kucheua linanikumba mara kwa mara hasa nikila vitu kama nyama yaaani nikiitafuna na kumaliza kula baada ya muda mfupi naanza kucheua na kurudi mdomoni poa...
Cancer refers to any one of a large number of diseases characterized by the development of abnormal cells that divide uncontrollably and have the ability to infiltrate and destroy normal body...
Stretch Marks Are Scars
If your skin is stretched farther than it’s used to in a short period of time -- during pregnancy or a childhood growth spurt, for example -- the elastic fibers in your...
Hello! JF Doctors
Ninasumbuliwa na U.T.I almost miaka mitano sasa nimetumia dawa mbalimbali lakini hali ikawa inajirudia untill now Nina hili tatizo, Lakini kitu kinachoniogipesha sasa hivi ni...
How you sleep can make our days or break your night. Sleeping naked comes with all sorts of unexpected positives. Here are surprising things that happen when you start sleeping naked.
First, You...
Habari zenu madaktari na wadau wa afya!
Nina shida mdogo wenu week inaelekea ya pili sasa nimekuwa na mdomo mchungu mnooo, hasa nikiamka asubuhi. Saingine nasikia kama tumbo kuuma ila sina, na...
Za mida?
Nimekua nikifikiria mno juu ya ili swala bila mafanikio
Japo ni wazi kila mzizi wa jini uko connected mpaka kwenye ubongo naisi imnazifahamu nerves vyema?
Basi kila jino mdomoni mwako...
Wakuu habarini!
Naomba mnijuze, huyu mtoto ana miezi sita hajaanza kutambaa! Kinachonishangaza ni kuwa anajitahidi kutaka kusimama! Akijishikilia na kitu chochote basi anajitahidi asimame! Je hii...
Mnaopenda salamu leo siwasalimii, msiizoee salamu yangu....
By the way nina swali dogo tu nataka kukuulizeni, hivi mtu huwa na meno 32 akiwa na miaka mingapi? Maana kila nikihesabu meno naona...
Hiki chama cha BIBILIA cha AMERIKA kimeamua kutoa huu mwongozo kwenyu wazazi ambao hamtaki watoto wenu kakaja kuwa watoto si rizki
Source: http://liberalchristians.blogspot.com/
sijui madaktari...
Nateseka sana wadau nina miaka kumi hili tatizo nililonalo la mdomo kuwa mchungu huku viungo vya mwili vikiuma na uchovu uliopindukia, na nimejaribu kwenda hospital kucheki vipimo vyote lakini...
Wadau nina miaka kumi sasa kuna uvimbe mdomon nimetumia dawa ya kusukutua mouth wash lkn tatizo bado lipo nimeendea hospital lkn tatizo halipon nini tatizo na kama ni ngoma nimepima sana tu jaman...
Msaada, kila nikianza kufikiria Jambo fulani kwa undani zaidi nahisi maumivu makali ya Kichwa, zamani nilikua nikiwaza moyo unauma ila Sasa ni kichwa ndio kinauma.
Ushauri please.
Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi...
Habari zenu, hivi wapendwa vidonda vya tumbo vinaweza kumsababishia mtu kupata vidonda kwenye koo na maumivu kwenye tezi zote mbili zilizoko ndani ya koo maana na vidonda vya tumbo ila kwenye koo...
Mambo kumi muhimu ya kuchunga kiwiliwili bado kinasiha kamili
Kushika Miko au kujichunga na vitu au mambo fulani wakati bado unaafya yako ni Bora kuliko kutumia dawa unapopata ugonjwa.
Mwenye...
jamani, kichwa cha habari hapo juu chajieleza chenyewe. hivi, ni kwanini watoto wengine wanakuwa wanazaliwa na vichwa vikubwa hadi wanatisha, na wengine yaani nashindwa kueleza. na nini tufanye...
Utafiti mpya wa kisayansi uliochapishwa nchini Scotland umeelezea umuhimu wa kunywa maji baada ya tendo la ndoa kwa sababu unawakinga wanandoa husika dhidi ya kuumwa kichwa na tatizo la ukavu, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.