Nahuu umri wangu nlikua sijawai kutumia P2..Kuna Siku nilidu baada ya kuangalia calendar nikajua..nisiku ya high chance of pregnancy..hee nikashtuka. Basi nikaenda kununu P2. Tena nikawasifu Sana...
korodani la kushoto lilivimba na kuonekana kama limeota lingine la 3,baada ya kukutana na mwanamke tuliepanga kufanya ngono.liliuma sana lakini uume bado ulisimama.
Je tatizo ni nini la korodani...
Wataalamu wa afya na watafiti wa mambo haya tuambieni
Mbu jike aina ya Anofelesi ana uwezo kwa kuambukiza mtu ugonjwa wa malaria kwa njia ya kuuma mtu kupitia damu
Hoja iliyopo, iweje mbu huyo...
Samahani sana ndugu zangu wana Jf,
Leo ni siku ya 3 naskia maumivu nyuma ya goti hasa wakati wa kuukunja na kuunyoosha mguu
Hivo naomba msaada wenu juu ya hili tatizo ndugu zangu[emoji120]...
Madaktari mliomo humu heshima kwenu
Naomba ufafanuzi wa kitaalam.
Ninini uhusiano kati ya figo (ya mwanaume) iliyokuwa damaged lakini matibabu yakiwa yanaendelea ingawa bado kupona.
Sasa...
Wakuu msaada tafadhali kuna matatizo tunayaona yakawaida lakini nimageni kwenye jamii yetu. hata baadhi ya wazee ukiwauliza wanasema hayakuwepo kabla.
matatizo yenyewe ni Haya yafuatayo...
Hello jf doctors.
Mimi ni mjamzito nasikia kwa watu eti wajawazito hawaruhusiwi kula kiporo, je kama nikweli ukila unapata
madhara gani?
Tatizo lingine najitahidi kula matunda ipasavyo ila...
Habari zenu wana JF?
Naombeni msaada wenu nateseka na hivi vipele vya rangi nyekundu vinawasha sana hii wiki ya 3 toka vianze kunitokea,. Naomba msaada mwenye kujua dawa maana minyoo nimepima...
Sehemu ya siri ya wanawake ni kiungo hatari sana ambacho kinahitaji kupewa uangalizi maalum
Ni sehemu inayohitajika kusafishwa kwa umakini kwasababu magonjwa husambaa kwa haraka na kwa njia...
Habarini za usiku ndugu na rafiki zangu? Bila kusita niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri miaka 26 nina mchumba wangu anasumbuliwa na tatizo, maumivu ya mara...
Habari zenu wakuu, natumai mko Salama na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Niende Moja kwa Moja kwenye mada.
Mimi HumbleBoy98 nimekuwa na tatizo la usikivu kwa takribani miaka 9...
Habari wadau,
Naomba kujua ni kipimo gani kinafanywa kugundua tatizo la appendix/kidole tumbo. Na gharama yake.
Gharama za upasuaji
Na hospital ipi ni nzuri kwa mkoa wa Arusha kutibiwa tatizo hilo
Habari za muda huu ndugu zangu?
Naombeni mnisaidie Nina mtoto mdogo wa miezi minne ameota vipele vyingi vinatoa majimaji nahisi tetekwanga naombeni mnisaidie naweza kumpa dawa gani ili apone...
Habari Wana Jf,
Samahani ni kwa wiki mbili sasa nmekua nikiwashwa kuanzia maeneo ya kiunon mpk miguuni hali hyo inanifanya nijikune kila wakati
Mbaya zaidi uume pia unawasha sana hvo nalazimika...
Wakuu, ninataka kujua kama ninaweza order prescription drugs mtandaoni kwzikaja kwa njia ya posta nikazipokea au ninahitaji kibari? Ni box kadhaa baada ya hapo nitaziforward kwenda sehemu nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.