Leo nimeamka hivi!
Hii nimeikuta sana maeneo ya pwani, ukanda ambao unasadikiwa kuwa na wazee wa ‘mizigo’ wengi.
Utasikia vijana hivi watundu au kiutani wakimkejeli Mzee mwenye mzigo kwa...
Habari ndugu zanguni,
Ninaomba msaada mtoto wangu ana umri miez 4 Lakini kila akinyonya tu baada ya kumaliza anaharisha choo cha kijani chenye kamasi sana nilimpeleka kwa tabibu nikapewa septrin...
Ebeneezer, a medical doctor and a herbal practitioner at the Amuzu Hospital has instructed men to have sex at least 21 times a month to avoid prostate cancer.
She pointed out the need to have...
Habari,
Mimi ni binti nasumbuliwa na maji kutoka sehemu zangu za siri yenye harufu sana. Nilienda hospitali mara 4 kwa vipindi tofauti tofauti nikafanyiwa vipimo wakakuta nina vivimbe maji...
Samahani naomba kuuliza,
Nimepatwa na hili tatizo yapata mwezi sasa. Maji yanatoka kwenye uume wangu hayana harufu na wala sio usaha. Nikikojoa hapaumi, ila kuna muda yanachuruzika na muda wote...
Wadau habari kuna mdogo wangu ana tatizo la kuwa na mate mengi mdomoni hii humtokea Sana akilala usiku na mate haya hutoka kama udenda hivi.
Tatizo hili humkumba hata kama atapata usingizi popote...
Mimi tatizo langu najaa mate mdomoni nikiwa usingizini.Nikishtuka nameza lakini huwa yanatoka mpaka mto wangu unaroa na mto una nuka sana.
PLEASE HELP KUNA DAWA?
KITAMBI au kiribatumbo ni hali ya tumbo kuwa kubwa, ambapo huchomoza mbele na wakati mwingine kunig’inia. Kitambi kinasababishwa na ongezeko la mafuta mwilini ambayo huwa yanakuja kutunzwa katika...
msaada wataalam,
Nimeumwa na nyuki mchana huu jicho limevimba sana naomben msaada kwa anayejua dawa ipi ya asili au ya dukan itakayonisaidia kupunguza uvimbe maana kesho nnasafari kwenda kwenye...
Jamani nimeng'atwa na nyuki usoni macho yamevimba kiasi kwamba sioni bila kuyatanua macho.
Naombeni msada kwa anayejua dawa ya kuondoa uvimbe.
Asanteni
Uboho au ‘Bone Marrow’ ni ute unaopatikana ndani ya mifupa mirefu katika mwili wa binadamu huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha chembechembe za damu ambazo zina kazi mbalimbali mwilini.
Kuna...
Salaam wakuu!
Naomba kujuzwa kuhusu huduma za kujifungua kwa mama mjamzito katika hospital ya Mwananyamala!rafiki yangu ameandikiwa akajifungulie mwananyamala mwezi ujao ila sasa anawasiwasi sana...
Habari wana jamii wenzangu!... Awali ya yote niwasalimu katika bwana. Kwa anayefahamu samaki aina ya pono ningependa kujua anasaidia nini katika mwili wa mwanaadumu. Nasikia analeta usingizi...
Wakuu naomben mnijuze shida ni nini week ya pili sasa inakata sipati kile choo cha kawaida yaan kama naharisha ila kdg sana vle vle kujamba tumbo kuunguruma eti inaweza kuwa ugonjwa gani huu kabla...
Habari zenu wakuu?
Ningependa kufahamishwa kuhusu hili suala la upatikanaji wa kipimo cha mimba kwa njia ya mkojo kwa wanawake.
Hivi kinaweza patikana katika maduka ya dawa muhimu kwa binadamu...
Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto (UKM) ni njia ya utunzaji iliyopewa jina kwa kurejelea jinsi kangaruu wanavyowatunza ndama wao. Njia hii imetambulika kuwa bora sana katika kuwatunza...
Ndugu zangu naomba msaada weekend iliyopita nilipiga pombe sana, ratiba yangu ya kunywa bia ni kuanzia Ijumaa mpka Jumapili ila nimepata tatizo moja weekend iliyopita nilipiga Sana vyombo asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.