Ndugu zangu,
Nafikiria kufungua duka la Dawa.Naomba anayejua Vigezo na Vibali vinavyohitajika anifahamishe. Vilevile naomba kufahamishwa na Dawa za Msingi na zinazouzika haraka.
Duka la Dawa...
Naomba niulize jaman kuna mtu alisema kuwa mwanamke akimaliza kufanya tendo la ndoa akinywa maji mengi anaunguza mbegu za uzazi hivyo haziwezi kutunga mimba je kuna ukweli wowote?
Saidia
Kuna njia nyingi sana ambazo hujaribiwa na watu ili kupunguza mwili na tumbo lakini zinakuwa ngumu sana au zinakuwa haziendani na mazingira wanayoishi hivyo kupelekea kushindwa njiani. Zipo njia...
Ndugu zangu mimi ni kijana mwenye miaka 31. Ni zaidi ya miaka mi5 sasa nimekuwa na maumivu katikati ya maungio ya kiuono na mbavu.
Dalili nilizo kuwa nasikia
1. Uchovu wa mara kwa mara.
2...
NINI MAANA YA MTOTO KUZALIWA NJITI?
Watoto njiti ni wale ambao huzaliwa kabla ya wiki 37 za ujauzito. Inakadiriwa watoto Milioni 15 huzaliwa kabla ya muda kila mwaka duniani, ikimaanisha kati ya...
Wanajukwa wasalaam,
Pamekua na matangazo mengi ya biashara ya dawa za kuombeza maumbile ya kiume kwenye mitandaoni na mitaani sasa sijui pengine mamlaka husika imedhibitisha ama Ni miongoni mwa...
Kama tulivyopata taarifa jana jioni ni kuwa mapacha wale walioungana kiunoni ila kila mmoja akiwa na moyo wake na kichwa chake wamefariki dunia, taarifa zilizokuwa zimezagaa mtaani ni kuwa mmoja...
Mtu ana Shida zake za Kiafya pangine kwa 'Urijali' wake na kuwa Mwanamume 'Shujaa' kwa bahati mbaya kapata Moja ya Magonjwa ya 'Zinaa' ambayo kwa Mwanaume aliyekamilika ni lazima awe anayapata...
Aman iwe nanyi wapendwa,
Najua kila kitu kina faida na madhara yake, hivyo kwa tanga wizi ina faida mwilin
Leo wadau nilikuwa naomba kujua madhara ya tangawizi
Nawasilisha
LONDON BOY
Sijajua kwa Mikoa mingine bali kwa Mkoa niliopo wa ‘ Wajanja ‘ na ambao Mimi GENTAMYCINE ndiyo nasema Mji Mkuu wa Tanzania (na siyo Dodoma ) kuna ‘ Kajitabia ‘ ka Kipuuzi nimeanza Kukaona na naona...
What Is Mental Health?
Main page content
Mental health includes our emotional, psychological, and social well-being. It affects how we think, feel, and act. It also helps determine how we handle...
Habari za jioni?
Miezi sita iliyopita mke wangu alijichoma sindano ya mtu aliyeathirika,wife ni muhudumu wa afya akaanza kutumia pep lakini zile pep zilimsumbua sana ikabidi abadilishiwe.
Baada...
Hivi inaposemekana kwamba mwanaume aliyeathirika kwa kupiga puchu kwa muda mrefu uume unakuwa kama wa mtoto.
Sasa nikijaribu kuimajini kananilii kamtoto jamani inakuwa sasa iko vp dume la miaka...
Mama mjamzito wa wiki 7 anaweza kusafiri kwenda Mbeya Inyala karibu km 900 kwa bus au treni?
Anatapika sana lakini amepewa metaclopamide imemsaidia kupungua kutapika ila tumbo linamkwangua sana...
Umofia kwenu
Sikumbuki niliwahi kusikia yawezekana mtoto ktk umri fulani yawezekana mzazi au mlezi ukaona vitu au viashiria flani kwamba huyu mtoto ukubwani mwake hatakua na uwezo wa kuzalisha au...
Sheria ya Usimamizi wa Vinasaba vya Binadamu ya Mwaka 2009, Sheria namba 8 kuanzia ibara ya 45 hadi 47 inaeleza taratibu za upimaji wa vinasaba kwa mama mjamzito, kijusi na mimba iliyotungwa nje...
Wajuzi nisiwachoshe nina tatizo limejitokeza toka mwezi wa 12 kwa siku naweza kula chakula ata mara 5-6 na bado ndani ya muda mfupi njaa inarudia! hili tatizo nahisi linataka kuniyumbisha kiuchumi...
Wakuu, kuna dogo hapa anasumbuliwa na minyoo yaana anasema anahisi kuna mdudu anachezacheza kwenye njia ya haja kubwa hata akienda choo bado hali inaendelea/ hatoki.
Binafsi nakumbuka nipo under...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.