Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
-Je, kuna tatizo kama uume haujadinda wakati mwanaume yupo usingizini, na pale aamkapo asubuhi? -Dr. Ndodi amewahi kusema kuwa NI DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME kama UUME UTAKUWA UMELALA...
2 Reactions
18 Replies
38K Views
Habar wana jf, Niende moja kwa moja kwenye maada yangu hapo juu , hilo tatizo la macho kila mara ifikapo usiku macho yangu huwasha sana na kusababisha nijikune na kupelekea mpaka kuwa mekundu...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Naombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu? Recently mwanangu amekua na shida, ana miaka 2 kasoro lakini hajaanza kuonyesha dalili za kusimama wala kutembea, mwanzoni nilidhani labda atakuwa kachelewa tu, lakini...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari za jioni, Mimi ni binti wa miaka (20), kwa muda wa kama wiki sasa masikio yangu yamekuwa yakiunguruma kwa ndani kama sauti za magari hivi,mpaka kuna wakati nashindwa kusikia vizuri. Nakosa...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Hivi wadau, punyeto inaambukizwa ama ni ukuaji ambao kila binadamu lazma apitie? Hivi mtu anaanzaje kujua kwamba akijisugua ndio atapizi, how did it start yani? Kujeni tupeane mawazo
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu, Nakuja tena nikiamini hapa nitapata msaada kama ninavoendelea kupata kutoka post na majibu yenu. Dhumuni l uzi huu ni hivi, wife ni mjamzito wa miezi 6 unaendea wa 7 lakini mwili...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Jamani mwenye anaejuwa chanzo cha hili anisaidie. Mwenzenu huwa najiskia kupigwa shoti kila ninaposhika kitu chenye asili ya chuma.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kama mada inavyojipambanua kuwa ni swali. Nimekutana na wadau wa masuala ya afya wakijadili kuwa ati kuna binadamu wana ukosefu wa kitu gani sijui kwenye damu yao na hivyo kuwafanya hata...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
Most people assume that blood is involved in HIV testing. But with OraQuick an oral swab is used for testing and requires no blood. By collecting oral fluid from your gums, you collect fluid...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nahitaji nifahamu inachukua mda gani mbegu ya kiume kuishi ndani ya mwili wa mwanamke baada ya ejaculation pia ovum linaishi mda gani baada ya ovulation.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF naomba msaada wenu, nina ndugu yangu kwa sasa amegundulika kwamba ana matatizo ya kutoweza kuhisi arufu yoyote( i mean sense of smell zimekufa) akiwa nyumbani hata itokee arufu gani...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Mimi ni mjamzito nimepewa dawa hii hosp sasa sijawah hata kuiona wala kuitumia je ni ya kazi gani.
1 Reactions
42 Replies
26K Views
Je, water guard ni salama kwa mimba changa?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Assalam wadau kijana wangu ana vipele sana usoni ni vidogovidogo tumetumia sabuni hatujafanikiwa, tukampaka mafuta pia jibu ni ziro. huyu kijana ana siku 50 na kapatwa na hali hii akiwa na siku...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Habari za asubuhi wadau? Dada yangu anapata tatizo la mate kuwa na ladha ya magadi au chumvi. Sababu ni nini? Tiba yake ni nini?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu, Za mida? Moja kwa moja kwenye mada, siku chache zilizopita nilikua nikiugua kikohozi na mafua, nilipona kwa njia za kienyeji kwa kutumia tangawizi na malimao lakini tangu nimepona...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa, Msaada tafadhali kwa anaejua au ambae alishatumia juice za forever living (za wakubwa)! je mtumiaji akitumia pombe(wakati bado anaendelea kutumia juice) ni kosa? je kwa mama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamii wenzangu poleni na majukumu ya maendeleo Mke wangu ni mjamzito wa wiki 42 n sawa na miezi 10 na wiki 2 lakini hanatatizo la haina lolote kwa kipindi xhochote na nmecheki ultrasound...
1 Reactions
23 Replies
42K Views
Back
Top Bottom