Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Jamani mimi ni yule yule nailaswry kila nachokiona kwa mwanangu nilazima niwaambie maana ndo mwanangu wa kwanz hvyo niko makini hadi naogopa. Mwanangu anamiezi miwili ni mweupe sana lakini...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Watu wengi hasa vijana watakuwa wanafahamu dawa ambazo hutumiwa sana kuzuia ujauzito pale ambapo wapenzi wamejamiiana ndani ya siku za hatari. Dawa hizi zipo za aina nyingi ambazo zitozitaja hapa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Nina mwenza wangu ambaye anakaribia kujifungua. Kwa siku za hivi karibuni ananilalamika anaogopa kukandwa maji ya moto kwa sababu alivyojifungua mara ya kwanza anasema maji ya...
1 Reactions
32 Replies
31K Views
Habari zenu wapendwa, naomben ushauri mwenye kujua hili, ni wiki ya pili hii natokewa na vipele vidogodogo mwilini vinajikusanya vinatengeneza duara kama vile vishilingi, vinawasha sana vinakaa...
1 Reactions
84 Replies
58K Views
Najua kila kinachotoka mwilini mwetu kinatokea wapi Tukianza na Mkojo nafahamu inakuaje Tukija kinyesi (haja kubwa) Nk Nk Nk. Kichwa yangu imegotea hapa kwenye mafua ndio pananchanganya maana...
4 Reactions
75 Replies
12K Views
Naombeni majibu kwa msaada wa wengi, nilienda kupima nikakuta negative kwenye vilar load (Bugando) na kipimo kidogo vya mtaan ni kinaonyesha positive. Vipi hapo, mwenye uelewa anijuze. Kama je...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeambiwa na Daktari wangu kuwa kuna umuhimu wa kupima kipimo cha moyo cha ECHO. Sasa sijajua ni Tsh ngapi na kinachukua muda gani kumaliza..kama kuna MTU yeyote anafahamu basi anijuze ahsante!
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Hello wapendwa, nilikua naomba msaada. Ninaitwa ysher nina miaka 25, i was and am still super excited kuwa na mtoto, nikafanya mapenzi danger days tena zote na mwenzangu aliweka ndani because we...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Waungwana habari za jioni, Nisameheni kama nimekosea kuandika hicho kichwa cha habari. Niko na dada angu anatatizo la uti wa mgogo anaumwa sana ingawaje maumivu huja zaidi baazi ya wakati pia...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
wadau, Naomba ushauri wa dawa gani ni nzuri with less side effects kwa mtoto wa chini ya mwenzi mmoja, nimesikia paracetamol is not advised to be given to baby of such age. Je, mafuta ya samaki...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
1. Mwanadamu kamwe hawezi kupiga chafya akiwa usingizini. 2. Mtu anapopiga chafya vijidudu vya magonjwa, vumbi na hata majimaji yaliyomo puani hurushwa kwa nje kwa spidi ya; 161 kilomita kwa saa...
2 Reactions
52 Replies
12K Views
Wana JF, naombeni ushauri kama kuna mtu amewahi kuwa na tatizo kama langu au hospital gani naweza pata tiba. Nina tatizo la kupiga chafya limenianza around miezi kadhaa sasa naona kama kero na...
1 Reactions
14 Replies
12K Views
Nina tatizo la tumbo kuuma na kuharisha pale tu nikitumia asali,ningeomba mwenye kujua tatizo ni nini na nifanye nini ili niondokane na. Kadhia hiyo maana inanisumbua sanaa
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Heshima kwenu! Kwa madaktari mliopo humu, je kuna madhara ya kupaka mate kwenye uke wakati wa kufanya mapenzi!? Wanawake wengine huwa ni wakavu! Hivyo mate hutumika kama kilainishi.
4 Reactions
65 Replies
16K Views
Samahani wakuu naomba kuuliza kuhusu tatizo la viganja vya mikono na miguu kuwa vya baridi hata wakati wa joto la kawaida . je hilo nitatizo?au ni hali ya kawaida? Kama ni tatizo tiba yake ni nini?
1 Reactions
15 Replies
12K Views
Habarini? Naomba kufahamu, je vipimo vya UTI vinaweza kuonyesha ujauzito? Na kama vinaweza je hata ujauzito wa siku tano unaweza kuonekana? Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu Zangu? Naombeni msaada wenu, mtoto wangu alianzakuota meno akiwa na miezi 3 lakini leo hii Ana miaka 7, lakini meno hayakutani ya juu na ya chini, Muhimbili wamesema kuna kifaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kwa Kipindi cha Miaka 10 kuanzia mwaka 2010 nimekuwa nikijiingiza kwenye upigaji uliokithiri wa Punyeto na kilichosababisha kujiingiza huko ni baada ya kusikiliza stori za rafiki...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wadau, Hivi ni dawa gani kwa yeyote anaejua dawa ya kuotesha nywele/upara/uwalaza ambayo pengine labda ishakua tested na matokeo yake yakaonekana?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada, mtoto wangu wa kiume mwenye umri wa miezi sita amekua akinyonya kupitiliza, yaani huwa anahakikisha ananyonya mpaka atapikie kwenye chuchu...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom