kuna mtu apa nmemsindikiza hospitalini juzi, anatokwa na vitu kama usaha uumeni ila havina ata harufu ya usaha vinatoka taratibu yaani kidogo kidogo, alvoenda hospital dr. alimwambia hana ugonjwa...
Mwenza wangu week iliyopita aliteleza kwenye mtaro akadondokea kiuno. Sasa naona bridi iliisha week iliyopita then leo imeanza tena. Tatizo nini madokta au afanye nini apone maana duuh?
INGREDIENTS :
▪Tigernut/aya(dry one)
▪Coconut
▪Dates/dabino
▪Ginger
Tigernut milk is one of d most powerful ancient food source known to humanity and used traditionally to stimulate sexual...
Wapambanaji wenzangu poleni na mihangaiko na pilika pilika za siku zote.
Niingie kwenye mada Mke wangu alikuwa na ujauzito wa mwezi mmoja na wiki mbili ikatokea bahati mbaya mimba ikatoka hivyo...
Mimi ni kijana wa miaka 28 mkazi wa Singida japo kwa sasa nipo Iringa.
Mwaka 2018 nilikuwa Mbeya kimasomo ni mwanafunzi wa mambo ya afya katika kada ya afya. Tatizo linalonisumbua ni kuwa mwili...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wiki kadhaa nyuma nilikuwa nasumbuliwa na kifua kubana, yaani maeneo ya kifua kubana. Sasa ukichanganya na haya mambo ya corona na wiki...
Kama kichwa cha habari kinavyo sema.
Muda mwingi tunaambiwa kwamba Ukimwi ni Ogonjwa hatari sana, unaoa sana.
Ila kwa ninavyo ona Kansa inatisha ni moja ya ugonjwa ambao kwanza una mateso...
Mkurugenzi wa Tiba Asili katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Dk Joseph Otieno alisema kujifukiza ni tiba ambayo imekuwa ikitumika miaka mingi na baadhi ya familia...
This remedy is for those that have missed their periods. If your period is irregular not forth coming for long and you are seeking.
natural ways to bring them back try this recipe. Do not go to...
Ndugu Wana jf wenzangu,
Baada ya mimi kusumbuliwa na maumivu ya koo na kifua kubana..hatimaye Nmepata suluhisho lake.
Ili kupona changamoto ya kupumua nawashauri wagonjwa kutafuna tangawizi...
Habari Madaktari/ wataalamu wa afya na kinga.
Wazee wangu wana umri wa utu uzima sasa 65-70s na wote wana shida sana ya kuumwa na miguu. Mzazi wa kiume anashida pia ya magonjwa ya moyo na pia ni...
A lot of Africans (man and woman) often view foreplay as bad and full of suspicions. Most women feel reluctant to show they enjoy certain play before sex because men will feel suspect if he's not...
Habari za jumapili GT nimeizoea sana juice ya lozea/lozela( mtanisahihisha jina kama nimekosea) ili kuepuka industrial juices na soda,lakin last week kuna jamaa alinambia zina madhara...
Wakuu kwema
Nilipata ajali ya pikipiki/ bodaboda siku ya jumatatu nikaumia kwenye mguu na gotini
Nilienda kituo cha afya nikatibiwa kidogo naendelea vizuri
Sasa hapa kuna jamaa kanambia kuwa...
Habari zenu wakuu.
Kwanza poleni na janga la Covid19.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mwanaume. Na niko na mpenzi wangu mpya nilimpata hivi karibu.
Kabla ya kumpata huyu, hapo awali...
Mke wangu haoni siku zake inakaribia miezi mitatu, analalamika kuhisi maumivu chini kidogo ya mbavu changa, kama kuchomwa na sindano.
Hii inaweza kuwa dalili ya tatizo gani ? Wapi naweza pata...
Yaani mpaka naandika hapa, nadhani yule malaika mtoa roho yuko mfuko wa Shari hapa. Nisaidieni dawa wakuu ya kichwa kuuma na kubana sana, nitashukuru sana ikiwa ya kienyeji. Nb; nimeenda...
Sasa wakuu mimi binafsi nimeona tiba ya kitunguu swaum , tangawizi malimao yamekuwa mazuri sana kwangu, pia natumia sana habat souda na mrungu rungu katika kujitibu Corona
Sasa picha linaanza...
Mara nyingi nimekua nikiamini kwamba yale tunayoyafahamu kuhusu maisha ni machache sana ukilinganisha na yale tusioyafahamu.
Kiasi cha miezi kadhaa iliyopita nilisoma utafiti fulani kuhusu hedhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.