Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nilipata siku zangu mwanzoni mwa mwezi wa tano nikimaanisha kuanzia 1..2.3..sikumbuki nilitumia siku ngapi ila tareh 13 ya mwezi huo nilikutana na mtu nina shida ya vidonda vya tumbo pia sasa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana jf mimi nina tatizo la jino moja la mbele upande wa juu. Ni kwamba jino hili linalegea na kusogea kidogo kidogo kutoka kwenye mzizi wake, lakini cha ajabu ni kwamba sisikii maumivu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kukutana na mwanamke au mpenzi wako siku za hatari na kuto mpa mimba kwa mwezi huo aliokuwa danger. Je, mwanaume anaweza kuwa na matatizo?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Helo wanajamvi wenzangu! Naomba kusaidiwa, ni kwa muda mrefu nimekuwa nikinywa maji ya moto asubuhi saa 2 hunywa glass ya maji moto ila sio ya kuunguza ni ya moto yanayoweza kunyweka yani ni...
2 Reactions
34 Replies
71K Views
Jamani pua imekataa kuzibuka kazi yake ni kupishana tundu mda huu inaziba hii mda mwengine inaziba hii na harufu ndo haipatikani kabisa hadi kichwa kinauma naanza kuogopa sasa leo naitaji mawazo...
1 Reactions
17 Replies
23K Views
Post in thread 'Damu inatoka UKENI na sio Hedhi' by jayleoncy112 has been reported by Executor. Reason given: Thread is in wrong place! Sent using Jamii Forums mobile app Content being reported...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Za kwenu wakuu, Nikienda moja kwa moja kwenye mada Ni kuwa jana mchana nilikuwa na msichana Kwasababu alikuwa muoga wa sindano na alikuwa anaumia nikimminya ikabidi niongeze maji kwenye kipimo...
0 Reactions
98 Replies
35K Views
Message…habari Nina tatizo la mtoto kachelewa kusimama ana mwaka na miezi hata ukimsimamisha hasimami kabisa sijui tatizo litakua nini nimeenda hospitality wakaniambi calcium iko chini ana dawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa CNN hali ya maambukizi na vifo vinavyohusishwa na Corona inatisha. Ni ya pili baada ya marekani kwenye chati ya nchi zilizo na maambukizi mengi zaidi duniani. Hata hivyo Rais wao...
0 Reactions
6 Replies
825 Views
Ni kweli Virus hawezi kufa kwa kujifukiza? Kama ni kweli. Sasa kwanini wagonjwa wa Surua walikuwa wanapona kwa kuvukizwa miaka ya 90, kwani yule anaye sababisha Surua sio VIRUS? Kwanini. Kuna...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Za asubuh wapendwa nataka nipime hichi kipimo je kinaweza pima ukimwi?
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Samahanini Ndungu..Kwanza Habarin Za Wakati Huu. Mimi Nina Swali.. Hivi Ukitaka Kusomea MD Ni Miaka Mingapi After Kumaliza Form 6. Na Je Ada Yake Inacost Ngapi Kwa Mwaka Kuanzia Mwaka Wa Kwanza...
2 Reactions
2 Replies
923 Views
Habarini wadau, Daah asee mambo haya yanatisha kwakweli. ukizingatia yapo kwenye jamii yetu na tunayashiriki ki namna moja ama nyingine. Sasa basi miezi mitatu iliyopita nilishiriki hizi ngono...
0 Reactions
19 Replies
13K Views
Maeneo ya chini ya kitovu upande wa kulia panauma kwa ndani kama pana kidonda ntakuwa na tatizo gani mimi ni mwanamke msaada wenu tafadhal Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
1K Views
When a healthy person wears a face mask, they continuously re-rebreathe a portion of the CO2 that comes out of their lungs. Of course, there are many different types of masks that vary in such CO2...
0 Reactions
3 Replies
525 Views
Wakuu toka juzi nimepatwa na homa kali iliyoambatana na mafua na kikohozi kwa mbali. Nimeogopa kwenda hospitali nisijekuambiwa nina corona nikafa kwa presha. Nilichokifanya nimeenda duka la...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ni kujuzana mambo haya ya matumizi ya njia za uzazi wa mpango,ili unapoamua kutumia utumie ukiwa na taarifa sahihi.sitasimama upande kwa kusema hazifai au zinafaa ninachofanya ni kukuelimisha...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za wasaa huu, Leo nimeshtukia kuna hivo vitu vinaendelea kwenye mabega yangu. Siwashwi wala sijiskii chochote Imetokea sehemu zote mbili za mabega. Hii inaweza kuwa tatizo gani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu Great Thinkers, Husika na hiyo heading mi ni mkazi wa Dsm nataka nikaangalie maendeleo ya ukuaji wa mimba ya wife so nahitaji infos zinazohusiana na ultrasound na unafuu wa gharama..
1 Reactions
11 Replies
23K Views
Nina shida wa daktari wa mambo ya ENT kwa hapa dar anapatikana clinic gani nzuri inayotumia bima ya afya[emoji120]
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom