Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU MADA Naomba msaada wenu,nimeolewa na nina watoto 2 wa kike.nifanyeje ili nipate mtoto wa kiume mana mme wangu anapenda sana watoto wa kiume hivyo ananikosesha...
0 Reactions
468 Replies
261K Views
Watu walio na hali hii huwa wana upungufu wa chembechembe nyekundu kwenye damu mwilini. Hivi ni kumaanisha kuwa miili yao huwa haibebi hewa ya kutosha ya oksigeni. Hali hii inaweza kuwafanya...
0 Reactions
180 Replies
83K Views
Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya. Kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari jf doctor nimekunywa dawa siku ya pili leo dawa ni za malaria mseto zile za kunywa kimoja asubuh kimoja jioni sasa leo muda huu nimejisahau nimekunywa viwili badala ya kimoja naombeni...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Jamani aliewahi kwenda kuziba jino aniambie hapa ilikuwaje? Je, unachomwa sindano ya ngazi kwenye fizi? Hapa ndio naogopa, kajino kangu kametoboka nataka kwenda kuziba niambieni kama hakuna...
2 Reactions
58 Replies
13K Views
Acha kabisa mdau!! Si unajua jinsi jino linavyotaka sifa usiku? Pale ndo unaapa kabisa kuwa alfajiri utaamkia kwa Israeli mtoa meno. Siku ya Ijumaa niliamka Alfajiri na kujihimia moja ya Vituo...
10 Reactions
57 Replies
16K Views
Wakuu salamu Kama heading inavyoelezea hapo, naomba kujua madhara ya kutumia malio au mandimu kwa kiwango kikubwa. Nawasilisha
0 Reactions
52 Replies
15K Views
Mimi mwenzenu zaidi ya miezi miwili sasa kila siku najisikia kama nimelewa lewa hivi, mawenge mawenge, kichwa nakisikia kizito, kuna wakati kinauma, mara mapigo ya moyo yananienda mbio mara...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kulikuwa na dawa inaitwa ngetwa3. Nilitumia kwaajiri ya maralia lakini ikaadimika baadae nikawa naiona kwenye maduka ya waindi mtaa wa uhuru kariakoo kwa bei ya juu. Sasa nina muda mrefu siioni.
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Ambaye ameshawahi kujaza jino lililotoboka, kitaalam wanaita ROOT CANAL naomba anipe uzoefu. Mimi niliwahi kusafisha tu jino la huku mwisho yanaitwa magego 2016 ila sikurudi kulijaza mpaka leo...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wasalaam wakuu! Naomba msaada juu ya tatizo linalonikabili yapata muda sasa. Ni kwamba mdomo wangu wa chini unabadili rangi yake ya asili na kuwa mwekundu. Nilitembelea hospitali Dar es salaam...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Wakuu jino langu la mbele limeoza nataka kung'oa na kuweka lingine. Naombemi mnitajie hispitali yenye madaktari wazuri hapa Dar na yenye gharama nafuu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar JF Doctors. Nimepata tatizo la mkono kuishiwa nguvu hasa vidole vili vya mwisho nashindwa kuvinyòosha vizuri. Baadhi ya watu nilioqauliza wanasema inaweza kuwa 1. Ulnar nerve compression 2...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari ya saa hizi. Nipo mkoani naomba kwa mwenye ufahamu kwa hili anisaide kujua ni hospitali gani Dar ambayo nitapata huduma ya kufanyiwa vpimo vya mwlil mzma kwa kutumia bima ya afya...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
kuhusu dentist jino liliotoboka
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapendwa naomba msaada wa wapi nipate Dr mzuri wa meno? Nasumbuliwa na meno ya juu ya mbele kuweka weusi na baadae kumeguka ila hayana maumivu. Nilienda hospitali moja ya meno Dr aliyasafisha tu...
1 Reactions
30 Replies
15K Views
Wanajamii Forum habari za majukumu. Naombeni msaada wa mtoto wangu kwa kusumbuliwa na kikohozi (anakohoa sana sana mida ya usiku kikohozi kikavu na mida ya mchana hukohoa kikohozi kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Your Body Is Acidic. Here’s What You NEED To Do (The Real Truth Behind Cancer). His actually means that the body will become acidic and this will accelerate the development of cancer if the lacks...
14 Reactions
46 Replies
37K Views
Je ni dawa gani inawyoweza kuchochea homon ya testosteron kwa mwanaume
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom