Leo ni siku ya tatu, tangu mwanangu aanze kuharisha. Sijajua sababu ni nini.
Kabla sijampeleka hospitali, naombeni msaada wenu wa mawazo. Kwa maana umbali hadi hospitali ni maiili nyingi mno, na...
Mafua yanasababishwa na simple virus, virus huyu ni simple kiasi cha kuweka kuuliwa na kinga ya mwili. Huambukiza kwa njia ya hewa, incubation period huchukua siku 3-7.
Hushambulia epithelial...
Miezi 3 iliyopita nilibahatika kupata mtoto wa kike. Baada ya hapo sikuruhusiwa kulala na mke wangu kwa miezi mitatu mfululizo.
Ndani ya miezi hiyo yote mitatu mtoto alipelekwa klinic na uzito...
Kuna kipindi hapo nyuma wiki iliyopita nliweka post hapa Kidole changu kimevimba na kinauma ,Nilienda hospitalini waliniambia nitumie dawa za ammoxylin na panadol lakini hazikusaidia...
1) Je, kuna uwezekano wa mama aliyejifungua kupata ujauzito baada ya hedhi kutoka? (siku mbili baada)
2) Je, kuna madhara gan kwa mama anaye nyonyesha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango...
Ilianza vipele vidogo sana alafu vyekundu usoni karibu na pua mara baadae nikaviona tena chini ya jicho kesho yake asubuhi vikawa vimeshajaa maji japo sio vyote, lakini naona kama vile...
Naumwa na kichwa siku ya nne leo yaani hakisikii dawa kinanitesa sana. Nikilala kinatulia nikiamka kinavuta sana sijui tatizo nini.
Kesho nitaenda hospitali.
Habarin za mida polen na majukumu nilikuwa napenda kujua kuna demu ametoa mimba alipewa kidonge kimoja cha kutoa na kingne akaanbiwa inabidi akiweke huku chin.Ila hakubahatika kukiweka ila leo...
Watu wengi tumekuwa hatutumii bamia either kwa ladha yake au tu kasumba ya kuona bamia ni MBOGA ya walalahoi !
Leo naomba ufahamu bamia kama moja ya mboga za majani ndio MBOGA yenye uwezo wa...
CORONA VIRUS ni virusi vinavyotokea kwenye familia iitwayo Coronaviridae, na vimepewa jina hilo kutokana na muonekano wake wa "Crown-like projection" chini ya light microscope.
Virusi hivi...
Umofia kwenu wakuu!
Hivi unaweza share experience yako baada ya mwanao kuzaliwa na siku kadhaa akadondoka kitovu ulifanyaje? Ulimpa Mzazi wako hicho kitovu au ulikiteketeza mwenyewe na mkeo/...
Kwanini jinamizi linatokea ukiwa umelala na ni nini dawa yake?
===========
Nadharia:
Jinamizi kwa kiingereza Nightmare ama waweza sema ndoto zisizo za kawaida kama vile za kutisha na...
Dunia itahitaji ongezeko la wauguzi na wakunga milioni 9 ili kutimiza ahadi ya kutoa huduma za afya kwa wote ifikapo mwaka 2030. Haya yamethibitishwa na Shirika Afya ulimwenguni WHO
WHO na wadau...
Habarini wanaJF
Mjamzito wa mwezi mmoja, hali ya kuumwa tumbo kama kichomi alafu kinakata na papuchi kuvuta fulani hivi ni kawaida kwa miezi ya mwanzoni?
Na nikila nikashiba kitumbo kinajaa kama...
Nahitaji msaada, ni siku nyingi zilikuwa zimepita bila kufanya mapenzi na mwanamke yoyote ila hivi karibuni nilikutana na binti ambaye nilianza mahusiano naye.
Ni muda hajawa na mtu hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.