Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Mke wangu ni mjamzito wa miezi 6 kuelekea 7. Jana ameenda kupima damu majibu yamekuja ana damu 7.5 na wakasema ni ndogo sana ni hatari kwa maisha yake. Leo amepeleka majibu hayo cliniki, kwanza...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Binti yangu amemaliza Form 4 mwaka jana. Sasa hivi amepata mimba halafu tukimuuliza hiyo mimba ni ya nani, anasema alipokuwa period alipewa pedi na rafiki yake baada yakutumia akajikuta ana mimba...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Mke wangu ni mjamzito wa miezi 10 hivi sasaa...Yaani amepita tarehe yake ya makadirio jana tarehe 29. Cha ajabu ni yeye kutohisi chochote.Ni juzi tar 27 kama sikosei ndio alianza kutokwa na maji...
4 Reactions
64 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu ninaomba muongozo nina mdogo wangu ana ujauzito wa wiki 40. Anapata maumivu makali chini ya kitovu na nyuma kwenye nyonga kama dalili za uchungu Ila ni usiku tu. Halafu hiyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani, mimi nina tatizo la kutokuota nywele kichwani katika baadhi ya maeneo na nywele zinakuwa zikichomoka au zinaota zikiwa dhaifu sana hadi sasa ni mwaka mmoja tangu tatizo limeanza, katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa anayehitaji mashine za kupima sukari kwenye damu (blood sugar) awasiliane nami. GLUCOCARD 01 Blood Glucose Monitor
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Hapo zamani wazee wetu walikuwa hawajui haya mambo ya tiba za kisasa wengi wao wao walikuwa wanajitibia kienyeji sana na wala hawakuwa wanasumbuka. Kama mfano mtu aliyevunjika alitibiwa kienyeji...
1 Reactions
0 Replies
777 Views
Habarini wadau? nina mpenzi wangu ambaye anasumbuliwa sana na chango la uzazi. madaktari wamemwambia dawa pekee ni kuzaa. je,kwa wazoefu wa maswala ya kiafya,ni kweli kuwa hakuna dawa yoyote hata...
1 Reactions
9 Replies
67K Views
Nimekuwa nikipata maelezo meengi kuhusiana na hizi bidhaa za GNLD na Forever living Products (FLP). Hasa za forever, jamaa wako mahiri sana katika kuelezea faida utakazo zipata pindi utakapo...
4 Reactions
75 Replies
72K Views
Wengi wetu hupumua bila tatizo hivyo hatuwazi namna mfumo mzima wa upumuaji unavyofanya kazi katika miili yetu na umuhimu wake. Hata hivyo, watu wenye ugonjwa wa pumu huhitaji kufuatilia kwa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wana JF. Nilikuwa naomba msaada wa ushauri na tiba ya maumivu ya kiuno. Kama mwezi sasa napata maumivu ya kiuno ila sijajua chanzo chake nini. Nakaribisha ushauri wenu,,Asante. Sent...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Madaktari wa JF habari zenu? Naomba msada wa Hili. Katoto kangu ka miaka 5 kanaumwa tumbo tangia juzi juma pili jioni. Alianza kulalamika tumbo linamuuma hadi kulia halafu akawa ana joto kali...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Nina mwanangu ana umri wa miaka 2 sasa. Hawezi kukaza kichwa wala hajaweza kukaa. Nimeenda hospitali hadi leo ni mazoezi tu tatizo hasa sijalijua. Naombeni mwenye kuelewa anieleweshe nitashukuru...
1 Reactions
79 Replies
7K Views
Doctor tatizo la kubanwa na haja kubwa kila muda ni ugonjwa au ni tatizo gani na tiba yake ni ipi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello guys Jamani nina shida jamani mama yangu anasumbuliwa na maumivu ya nyonga na miguu. X-ray inaonyesha kwamba mifupa ya nyonga imepekecha jamani imefika hatua now anashindwa kabisa kutembea...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapendwa samahani, hivi inapotokea mtu umening'ata mdomo, ni dawa gani inasaidia kuponya vidonda hivyo kwa haraka? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
29 Replies
12K Views
Habarini wana JF naimani mko powa sana. Me ni trainer pia Physiotherapist na deal mazoezi kwa ujumla na nutrion na dietitian mzuri tu kwa ushauri wa kupunguza weight na kugain weight pia Nimeona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wacha leo niseme juu ya hii kitu 1. Kwanza ni nini? Jina lake ni utoko kwa Kiswahili sanifu kabisa, tofauti na wengi hasa waislam (samahani lakini ni kuelimishana tu maana wengine mtapanic hapa...
14 Reactions
114 Replies
28K Views
Waungwana wote naomba kama kuna anayefahamu dawa ya kutibu mtoto wa jicho anisaidie jinsi ya kuipata. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanaJF, naomba msaada wenu wa mawazo nimetokewa na vipele mwilini ambavyo vinawasha sana. Vilipoanza kujitokeza nilijua ni fungus so nilitumia dawa ya kupaka ya fungus lakini bado...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Back
Top Bottom