Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wadau wa JamiiForums, Kwa anayejua tafadhali mmea huu wa Muarobani. Nimepata taarifa kuwa unatibu magonjwa mengi sana, naomba anijuze na kinachotumiwa ni nini; Mzizi, Majani au Gamba lake?
0 Reactions
13 Replies
88K Views
Habarini za weekend hii? Tatizo langu ninaloliwasilisha hapa ni juu ya mtoto wangu kuwa mzito kuzungumza au kushindwa kunyoosha sentensi vizuri ili aeleweke kama ilivyo kwa watoto wengine. Kwa...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Lets say siku za hatari unaanza tarehe 24 December, then tarehe 23 usiku ukasex tarehe 24 mchana ukanywa P2 mbili na Fragile 2, January ukapima mimba ipo. Hii ikoje wataalamu? Na je mtoto...
0 Reactions
103 Replies
10K Views
Habari za asubuhi wanaJF, Jamani naomba ushauri wenu was mawazo kwa anayejua hata dawa ikiwezekana. Sikio langu la kushoto linanguruma na kutoa milio tofauti kama magari hivi. Jamani nakosa raha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi! Guyz,habari ya jumapili wapendwa, Natumai wote ni wazima wa afya. Kuna kitu cha tofauti kmetokea kwa my shkiki, i mean mpenzi wa mimi, naomba nielezee tatizo lenyewe.Ni kwamba kawaida...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari zenu wandugu, Direct to the point. Mimi ni mgonjwa wa heartburn/ gerd kwa jina lingine ambayo imeshakuwa sugu. Kiukweli nasumbuliwa sana ni muda sasa wa miaka takriban 6 hivi nimejaribu...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wanajamvi, Nimeleta uzi hapa naamini nitapata msaada wa kimawazo. Kwa kawaida katika makuzi ya watoto malezi yanatofautiana na hivyo kuleta tabia tofautitofauti baina ya familia...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Hivi mwenye kigugumizi huwa anasahau neno analo tamka? Au huwa hawezi kulimalizia kwa muda huo na kwa haraka Mfano mwenye kigugumizi kutamka neno "UNASIKIA" yeye huanza u u u u u nasikia, hua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Sina sababu ya kujiapiza. Maisha yangu siku zote naona fahari kuwasaidia binadamu wenzangu. Sisi binadamu ni viumbe dhaifu sana. Ukitoa utashi tuliojaaliwa sisi si kitu mbele ya wanyama kama...
6 Reactions
87 Replies
18K Views
Wakuu kila nikifua mara nyingi hutokea haya magamba mfano wa yale ambayo yanaota baada ya kubangua korosho lakini haya malaini laini. Naepukaje hali hii maana inakeraga sana muda mwingine. Picha...
1 Reactions
110 Replies
14K Views
Habari wanajukwaa Jamani nimeona ni vema nikaja kuuliza humu nipate kufahamu. Siku za karibuni nimekuwa na tabia ambayo ishakuwa sugu ya kunywa hichi kinywaji cha DRAGON kwa zaidi ya tatu kwa...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Kuna wanaume ambao huwa wanatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ambayo kiafya sio nzuri kwani inasemekana wengi huishia kuwa mzigo kwa wake zao/ wapenzi wao kwa kuwa jogoo hapandi!! Kama wewe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu wataalamu wa Afya, naomba ushauri juu ya maziwa yanayofaa kwa mtoto mwenye umri wa siku 84 Mke wangu amemaliza likizo ya uzazi, na hivyo kuanzia Jumatatu ataanza kuingia office...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wakuu, natumaini sote humu ni wazima wa afya, na kama kuna ambao labda hali zao kiafya sio njema Mungu awasaidie ili muweze kupata unafuu. Nimeamua niandike huu uzi nikiwa na...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Kuna rafiki yangu alitumia hizi sabuni za Zoazoa lakini uke unamuwasha. Je, kuna kemikali ambayo haiko sawa kwenye hizo sabuni?
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana jamvi poleni na majukumu Kwanza niombe nipate msaada kidogo ili nikamilishe research yangu kulinda kazi za watu Kwanza kabsa nimepewa kazi ya kufanya utafiti ili kufahamu mwanamke...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Sausages kill, new study warnsWhile Tanzanians are getting increasingly fond of sausages, a recent research has linked them with early deaths from cancer and heart diseases.People who regularly...
5 Reactions
37 Replies
13K Views
Salaam wadau, Naomba anayefahamu madawa haya yanauzwa wapi tufahamishane. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Habar za mida wakuu, Binafsi huwa napenda kila Mwisho wa mwaka kufanya full body check up. Naangalia mwili wangu unahitaji nini. Naangali sukari mwilin. Naangalia sumu ikoje mwilini. Damu...
0 Reactions
69 Replies
21K Views
Habari, Nina imani kila mwanamke anapenda kuitwa mama na mwanaume anapenda kuitwa baba kwakuwa ni jambo la kheri nina imani pia sijakosea kulileta hapa. Jf ni mjumuiko wa watu wengi na wenye elimu...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Back
Top Bottom