Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kutokana na uvumi uliozagaa kuwa eti kaseja atarudi simba, napenda kuwashauri viongozi wasimrudishe kabisa juma k. Juma kama golikipa . Huyu bwana hutumika kugawa timu , mkimrudisha mtakuwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
LEO FIFA imetoa Listi ya Ubora Duniani na Mabingwa wa Dunia Germany bado wako Nambari Wani wakifuatiwa na Argentina na Colombia wakati Tanzania imepanda Nafasi 5 na kukamata Nafasi ya 110...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
watch Real Madrid vs Barcelona live broadcast live today Real Madrid vs Barcelona View, match, goals, views directly, the game channels, Direct, Online, Live, Link, Link, Live, See, Direct...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani sana ndugu wanajf na wapenda soka wenzangu hebu tu-discuss alichoandika Bin Zubeiry. Ameandika hivi; "YANGA YA MANJI KULIPA 5-0, IMESHINDWA HATA KUIFUNGA SIMBA HII." Akimaanisha simba ni...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
British newspaper Telegraph has unveiled a list of the top 100 players in the last 28 years, on the proviso that the nominated players must have graced the English Premier League since its...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HABARI NDUGU, KARIBUNI MTENGENEZE KIKOSI CHENU BORA MCHANGANYIKO CHA WAKATI WOTE Best 1930s XI Best 1960s XI Best 1980s XI Best 2000s XI Best 1945-1959 XI Best 1970s...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni baada ya kutimuliwa kwa kocha Denis kitambi kutokana na matokeo mabovu, sasa katibu mkuu wa timu hio bwana Edmund Njowoka amejiuzulu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kumbe real madrid ni kibonde wa liverpool. Miongoni mwa mchezo unaotazamwa kwa jicho la tatu na mashabiki, wachambuzi wa masuala ya mpira wa miguu, wakiwemo wachezaji wenyewe ni mchezo kati ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello and welcome to LIVE coverage of the huge Champions League clash between Liverpool and Real Madrid. These are the European nights they’ve been missing at Anfield, but can the hosts get a...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
kwa mtu yeyote mwenye kuujua huu uwanja wa mwembe yanga ni mali ya nani au open spas kama ni wa manispaa temeke panafaa kujenga uwanja wa watoto wampira wa miguu ili wakuze vipaji
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Dar es Salaam. Ndoa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) sasa iko shakani baada ya kampuni hiyo kubwa nchini kutishia kusitisha udhamini wake wa zaidi ya Sh17...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau kuna haya malori yanawekwa uwanja wa Taifa, kuna kero kazaa ambazo niliziona mechi ya Jumamosi: 1- Yanazuia watu kukosa Parking, watu wanaweka magari yao mtaani ambayo ni risk kubwa sana 2-...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TV online watch Real Madrid vs Liverpool Live stream 22/10/2014 Champions League, the date of the match Real Madrid and Liverpool today 10/22/2014 and ducts. The date of the match Liverpool and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuanguka vibaya uwanjani akisherehekea bao lake. Mchezaji huyo alikuwa na umri wa miaka 23...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wik 1 iliyopita Nchi ya moroco iliomba kombe la mataifa ya Afrika kusogezwa mbele kutokana na hofu ya ebora lakin CAF walikataa na kusema mashindano yatakuwa mwezi wa kwanza mwakani kama kawaida...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
ni kwanini wenger alileta vurugu kwa mourinho licha ya kupewd kipigo cha bao mbili
0 Reactions
1 Replies
910 Views
nauliza tff ni shs ngapi imepatikana mbona kimya wakati tunatumia mtandao wa kununua tiketi na zimeanza kuuzwa toka j3 Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Miaka mingi watu niliwaskia wakihusisha huu uwanja na jeshi ktk tafIti nimegundua si mali ya jeshi ni wa serikali ya JMT
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mshambuliaji ghali wa Yanga, Mbrazili, Geilson Santos ‘Jaja’, juzi Jumamosi alicheza mchezo wake wa nne wa Ligi Kuu Bara alipokutana na Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, lakini...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
nawaombeni wapenzi wandishi wa michezo hatutaki ushauri wenu wa mpira wa miguu kuhusu timu ya yanga muiache yanga kama ilivyo ina makocha viongozi kamati kwa maana hiyo tafuteni timu nyingine...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Back
Top Bottom