waamuzi wa mchezo huo wakiwa na team captains wa timu zote mbili
Shabiki wa Kimondo akiogelea kwenye madimbwi ya uwanja huo baada ya mchezo kusimamishwa kutokana na maji kujaa...
Ndanda FC imemfuta kazi kocha wake, Denis Kitambi. Uongozi wa klabu hiyo umechukua uamuzi huo baada ya vipigo viwili dhidi ya Mtibwa Sugar na kile cha nyumbani jana dhidi ya Ruvu Shooting...
Serena Williams
Bingwa wa mchezo wa tenisi kwa upande wa akina dada duniani Serena Williams amekosoa matamshi aliyoyataja kuwa ya kibaguzi na kutojali ujinsia yaliotolewa na rais wa shirikisho la...
Moja ya matukio yaliyosisimua wengi katika mchezo wa Simba na Coastal ni pale mchezaji nguli na Nahodha wa zamani wa Simba Juma K Juma alipotua uwanjani na moja kwa moja kwenda eneo wanalokaa...
Mechi ya jana ya VPL nilisikiliza michezo makocha wa timu mbili Tz Prisons na wa JKT Ruvu walihojiwa, Kocha wa TZ Prisons ambaye jana alifungwa goli mbili alipoulizwa kwa nini amefungwa akaji...
Sidhani kama patakuwa na binadamu timamu ambaye hatafurahia na maamuzi waliyoyachukuwa viongozi wa uwanja wa Sokoine wa Mbeya wa kuwasikiliza watazamaji/viongozi wa Azam TV kuhusiana na kero...
Cricketer Ajinkya Rahane has said he is working towards attaining greater consistency and is looking to convert starts into big scores to secure his place in the Indian squad.
Opener Rahane...
Ndugu wadau na wanasoka wote.
Mimi ni mmoja wa wadau na mfuatiliaji wa ligi kuu ya kwa malkia. Naionea huruma Aston Villa na kwa vile Uingereza hawana utamaduni wa kulalamikia upangwaji wa ligi...
habari
Ni weekend naangalia tamasha la fiesta
nashauku ya kumwona msanii maarufu kutoka US, TI
zamu ya TI ikafika akafanya vitu vyake akamaliza,
ndio show ilikuwa nzuri ila sikuona...
Washabiki wenzangu hebu tujadili hili tumecheza mechi 4 nakuambulia point4 ingawa hatujafanikiwa kupoteza bado lakini tukumbuke tayali tumepoteza point8 hadi sasa katka michezo minne ambayo tayali...
Zamani tulikuwa na strong team kama maji maji Songea, ushirika moshi, Milambo Tabora, pamba mwanza, toto african, nk tukiwa na mastreka balaa kama akina Mbuu yondani, Salum Kabunda, Fred Felix...
Mod pamoja na wadau wengine wa jukwaa hili., binafsi napendekeza pawepo na ratiba ya mechi mbalimbali zinazochezwa ulimwenguni pote kwa kila siku. Kama si mechi zote basi ratiba ya zile ligi...
nashindwa kushangaa kila nikisoma magazeti na nikisikiliza vyombo vingine vya habari wanavyo mpaisha mchezaji jaja wa yanga ivi anajua mpira kweli au mbwembwe tu za vyombo vya habari
Katika kitu ambacho kimeniboa leo ni jinsi gazeti la mwanasport lilivyochapisha habari ya mbele kuifagilia yanga bila kuweka usawa wa picha zote mbili yani simba na yanga, shame on u mwanasport
hii imekaaje?! Edson Cavan jana alitolewa nje kw red card wakati timu yake PSG ilipochomoza na ushindi wa goli 3 kwa 1 dhidi ya Lens, kisa chenyewe ni kushangilia kama m2 anayepiga risasi(firing a...
Ukitaka kuangalia mpira wa kifundi na ujuzi wa hali ya juu angalia Mbeya City vs Azam. Ukitaka kuangalia uchawi na mauzauza ya nguvu za Giza angalia Simba na Yanga.
Nimefika wakati sasa hii timu yatupasa tuiangalie vizuri malengo yake juu ya viongozi, wachezaji na ambao washawai kua wachezaji au viongozi wa hii klabu,.
Tukianza na kuwachambua kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.