Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Jaja na Coutinho wacheze mechi nyingi za nyumbani ili kuwafanya wacheze kwenye viwango vyao kwa muda mrefu wa ligi. Mikoani watakamiwa na kuumizwa na viwanya vibovu vya mikoani vitasababisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa nimefurahishwa na kauli ya mh alianza kama msemaji wa tff sijui sasa ni nani wame mu upgrade kidogo si haba kijanaa anajituma amejitahidi kuisifia sana mtindo wa et kama vile ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kenyan breaks world record at Berlin marathon Kenyan runner Dennis Kimetto has broken the world record at this year's Berlin marathon. At a course known for producing fast times, he ran 26.2...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Sat 27/09/14 Simba 1 : 1 Polisi Morogoro Mtibwa Sugar 3 : 1 Ndanda Azam 2 : 0 Ruvu Shooting Mbeya City 1 : 0 Coastal Union JKT Mgambo 0 : 1 Stand United Sun 28/09/14 JKT Ruvu 0...
1 Reactions
272 Replies
21K Views
Ligi Kuu Tanzania Bara iliendelea kushika kasi mwishoni mwa wiki lakini kubwa lililoashiria kuwa ni msimu tofauti na wenye ushindani mkubwa ni baada ya Simba kulazimishwa tena sare nyumbani...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Wadau nipo dar ni mgeni kidogo natafuta mahali pazuri ninapoweza kukaa na mchuchu wangu huku tukiangalia mechi za EPL zote kuanzia zinazorushwa S3 mpaka S7 na screen ziwe za kutosha bila...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Naangali SPORTS BAR YA CLOUDS FM,wanamuhoji kocha wa ndanda fc sasa hivi ni kijana mdogo sana na ana uelewa wa hali ya juu kwenye mpira. Sijawahi kumsikiliza mtaalam wa soka mwenye akili hapa...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Naulizia kama kuna anayefahamu huu mchezo unapochezwa arusha.
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Celestine Mwesigwa, Katibu Mkuu Ukishangaa ya usiyemjua, utayaona ya TFF. Sasa imeibuka na jipya na kutaka Yanga, Simba na klabu nyingine 12 za Ligi Kuu Bara, zikatwe 5% ya fedha za udhamini...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakati naangalia kipindi cha michezo CNN.Wametaarifu kua Raisi wa FIFA amekaa ripoti ya kashfa ya rushwa inayoihusu FIFA isisomwe hadharani.Anataka iwe siri.Huyu babu analiua hili shirikisho.Na...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Idara ya Uhamiaji Tanzania, imetoa tamko la kuwazuia washambuliaji wawili wa Simba, Paul Kiongera raia wa Kenya na Emmanuel Okwi kutoka Uganda. Uhamiaji imesema wachezaji hao hawana kibali cha...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Leonel Saint-Preux atakuwa nje kwa wiki mbili kwa sababu ya maumivu ya kwenye unyayo wa mguu wa kushoto. Daktari wa Azam FC, Mbarouk Mlinga amesema kwamba mchezaji huyo wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa Msaada wa Wikipedia Club records Titles Most titles: 13, Manchester United Most consecutive title wins: 3, Manchester United twice (1998–99, 1999–2000, 2000–01) and (2006–07, 2007–08...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mmmmh pengine nilipitiwa kama kawaida tff hutangaza mapesa ya mechi na kutokana na mchezo huu kuhusisha et tkts natumaini walifanikiwa kiasi embu tukumbushane ni sh ngapi zilipatikana jamani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The Frenchman used Real Madrid's ultimately underachieving side as a benchmark for how his team can function, but it could expose a lack of balance and hamper individuals By Ewan Roberts A...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
nasikitika vilabu vinavyokurupuka kusajiri bila vipimo kwa wachezaji mfano timu yetu ya simba wamemsajiri kiongera anamatatizo ya goti usajiri wa simba wanaangalia tu kwenye yutub hapo kiongozi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Timu ya wanawake ya Qatar ya mchezo wa mpira wa vikapu imejiondoa kutoka mashindo ya bara Asia yanayofanyika huko Korea Kusini baada ya kuagizwa kuvua hijab kabla ya mechi yao dhidi ya timu ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Afisa Wa FIFA: Qatar Hawatokuwa Wenyeji Wa Fainali Za Kombe La Dunia 2022 Afisa wa ngazi za juu za shirikisho la soka duniani FIFA, ametoboa siri na kueleza hadharani mpango wa nchi ya Qatar kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Frederick Mwakalebela ALIYEKUWA KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela amefunguliwa kesi No OB/RB/16369/2014 katika kituo cha Polisi cha Oysterbay cha jijini Dar...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
kutokuwa makini watu wa tff kutozingatia kalenda za fifa hata ukiingia mtandao wa fifa unakuta kalenda yote ya mwaka mzima sasa mechi ya simba na yanga wacheze tarehe 8/10 saa 11 jioni itakuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom