Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Mashindano ya magari maarufu kama formula one F1 hufanyika kwa kuhama hama Kutoka nchi moja kwenda nyingine,kwa mfano race itafanyika Malaysia halafu inafanyika Brazil,swali langu ni kuwa hivi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cheka na Kitime anaandika kuwa pamoja na sheria 17 za soka za FIFA kuwepo, enzi za utoto wetu kulikuweko na sheria za soka ambazo ndizo zilizokuwa zinatambuliwa: Hizi ni pamoja na Mwenye mpira...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
KUNA ule usemi wa Kiswahili usemao, ‘Matendo hukidhi haja maridhawa, kuliko maneno'. Lakini pia kuna ule mwingine wa, ‘Maneno matupu hayavunji mfupa'. Hii ni misemo miwili ambayo...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Emmanuel Okwi kusaini mkataba usiku huu mkataba wa miaka miwili Simba. "Yanga wameniacha, nikachukua uamuzi wa kurudi Simba na kuomba kuichezea nao wamenikublia. "Najua Yanga wamenishitaki TFF...
1 Reactions
88 Replies
27K Views
Hivi Messi kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, Roben au hata huyo James Rodriguez? Kama kuibeba timu Di maria ndio alikuwa anaibeba timu. FIFA wamezidi upendeleo!
0 Reactions
119 Replies
12K Views
Legendary rally driver Björn Waldegård dies in Sweden A rally driver during a past Safari Rally competition. Rally driver Björn Waldegård, 70, who won Kenya's Safari Rally four times when it...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa wa kwanza kuipongeza simba ilipotufunga kwenye mtani jembe, nikawa wa kwanza kuupongeza huongozi mpya wa simba ulioingia madarakani, nilidhani wamekuja watu ambao wanapenda kuendeleza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Champs Upper Hill stay on track Upper Hill’s Joshua Okeyo Joshua attempts to shoot past opponents from Kuajok Highs School from South Sudan during their boys’ basketball quarter-final match at...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Hii timu baada ya kuchukuliwa na babu Jan Poulsen imekuwa kama homa ya kipindi, tunashindwa hata na Chad nyumbani? Tatizo mi silielewi kama ni kocha, mfumo au wachezaji wanaounda kikosi hicho.
0 Reactions
99 Replies
8K Views
nikiwa mdau wa mpira wa miguu nawaombeni sana hasa uongozi wa juu kutowafuata hawa viongozi wa chini kwenye klabu nakumbuka rais aliwambia azam mnaweza ila msiegemee kwa simba na yanga mtashimdwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamal Malinzi amesema hayo kupitia akaunti yake ya Twita SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza nia ya kuandaa fainali za Mataifa ya Afrika za 2017 baada ya kujitoa kwa Libya kutokana na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakati TFF ilikuwa ifunge usajili wa Ligi Kuu Bara usiku huu, taarifa inasema siku mbili zimeongezwa. Kuna taarifa Shirikisho hilo limeamua kuongeza siku mbili za usajili sasa utafungwa tena...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi mnahitaji World class Players ili kuifunga timu kama MK DONS... Watu Wa Man Utd hebu tuambieni timu yenu inakosea wapi. =================== Just hours after welcoming Manchester United's...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna hii article ya Gab Marcoti ninaiweka hapa kuonyesha Biashara za Pwagu na Pwaguzi wanazofanya Man United kwa sasa... Gab Marcotti goes inside the Angel Di Maria and Mario Balotelli deals -...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Dirisha dogo la usajili linafungwa leo saa 5: 59 mpaka sasa yanga ina wachezaji sita wa kigen ambao ni jaja,continho, niyonzima, kihiza,okwi, na mbuyu twite na sheria inataka wachezaji watano wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hatunae tena Albert Eboisse, huo ndio ukweli mchungu kwa washabiki wa Soka barani Afrika. Klabu ya JS Kabylie ilimpoteza mshambuliaji huyo raia wa Kameruni mwenye umri wa miaka 24 wakati wa mchezo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Posted by FikraPevu Wawakilishi wetu pekee waliokuwa katika Michuano ya Kagame, Azam FC walitolewa na El-Mereikh kwa mikwaju ya penati juzi katika mchezo ambao ulichezwa katika Uwanja wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu salama. Jana wakati naingia uwanja wa taifa, nilikutana na rafiki yangu wa muda. wakati tunaelekea getini nilimuuliza anakaa level gani akaniambia yeyote, nikahoji kivipi akaniambia hajawai...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Shirikisho la soka la Zanzibar (ZFA) limelituhumu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa linaisahau Zanzibar na wanafanya mambo yao Kimya kimya.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Chini ya uongozi wa Jamal Malinzi pale tff wameamua kufufua tena yale mashindano yenye msisimuko kuliko ligi kuu namaanisha mashindano ya FA.Mashindano hayo yataanza kutimua vumbi mwez novemba...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Back
Top Bottom