Habar Wanajamvi.
Kwann gazet la mwanaspt hupenda sana kuandika habari za YANGA hata kama hazina msing wowote yaan inafikia hatua hata timu ya taifa imecheza wa wanaandika heading kuwa maximo...
Na Saleh Ally
NCHI hii raha sana, watu wengi sana wanaishi kwa ujanjaujanja na bado wanapata heshima mbele ya jamii na kuonekana ni watu wenye mchango kwenye jamii.
Bila kupindisha nazungumzia...
Barcelona have confirmed they will appeal to the Court of Arbitration for Sport (CAS) after Fifa declared they must serve a two-window transfer ban.
The Catalans were punished back in April...
Barcelona striker Luis Suarez said he has received professional help after receiving a four-month ban for biting an opponent for the third time in his career when he clashed with Italy's Giorgio...
Kwa mara nyingine tena timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeshindwa kufuzu kusonga mbele katika mashindano ya kimataifa ya kandanda. Imetolewa na timu ya Taifa ya Msumbiji, Black Mambas...
Ukitaka maajabu njoo Tanzania yapo mengi tu!
Eti intelijensia inaonesha kuwa kuna hali tete ya usalama mkoani Arusha hivyo mbio za marathon zinazofanyika kila mwaka mjini Arusha hazitakuwepo mwaka...
>>MTIBWA, POLISI MORO KUCHEZA MECHI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI
>>WAAMUZI KUFANYA MTIHANI WA UTIMAMU WA MWILI
>>MAKOCHA COPA COCA-COLA KUNOLEWA DAR
>>KOZI YA UKOCHA LESENI A KUFANYIKA SEPTEMBA 4...
Na Mphamvu Daniel
Real Madrid wanakaribia kuja nchini, sio Madrid ambayo ilipata ushindi wa goli2-0 dhidi ya Sevilla kwenye Michuano ya Kombe la Super wiki hii. Hawa ni Madrid maveterani ambao...
kadoda11 natumai mmetayarisha watoto wenu maana kama kawaida sisi ni kiboko kwa wote.
Kenya will be represented by 753 students in the Brookside East African Secondary School Championships that...
TFF limesema msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, ambao unatarajiwa kuanza Septamba 20, utakuwa na mabadiliko makubwa, zikiwemo mechi za usiku.
"Pia Bodi ya Ligi Kuu imeamua kuongeza askari wa usalama...
Kwa hili hapa Nicolas Musonye umechemka, leo nilikua naangalia game ya azam fc ya tanzania dhidi ya adama fc ya ethiopia, lakini nilivyoiona ile timu ya adama uwezo wake ni mbovu mno yaan timu...
muono wangu mimi tatizo linalopelekea kushuka mpira wa miguu linasababishwa na sifa wanazopewa wachezaji na wandishi wa michezo.
waandishi ambao hawana fani ya mpira wa miguu kusifia mchezaji au...
Kufuatia klabu ya simba kufanya usajili wa pesa nyingi na timu kuonyesha kiwango duni kwenye mechi ya jana na kupata kipigo cha goli 3 kwa bila , uongozi wa klabu umechukua uamuzi mgumu wa...
Mwana sheria maarufu nchini Colombia ndugu Aurelio Jimenez (74) amewaburuza FIFA mahakamani, akidai fidia ya uero billion moja kwa maamuzi mabavu ya ma refaree katika kombe la dunia nchini Brazil...
Basi la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limekamatwa na madalali kwa amri ya Mahakama kutokana na deni la sh milioni 140 ambalo tunadaiwa hadi litakapolipwa.
Amri hiyo imetokana na deni hilo la...
sisi wadau wa mpira wa A MASHARIKI na chama kiitwacho CECAFA toka awepo madarakani kuna shs ngapi mpaka sasa kwenye account ili tujue sio kazi yake kuoa na kuwanunulia nyumba na gari kila nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.