Papa Wemba rocks Nairobi at Korogo Festival
Congolese musician Papa Wemba with his dancers on stage during the Koroga Festival at the Arboretum grounds, Nairobi on August 24, 2014...
Timu ya taifa 'Taifa Stars', Alhamisi jioni imeondoka nchini kuelekea nchini Morocco ,kwa ajili ya mchezo wao utakaofanyika jumapili kukamilisha mchezo wa mwisho wa kundi D kwa kunyukana na...
Naomba anayejua vikosi vya kila timu vitakavyomenyana 23/08/2014.
Kwa Tanzania nimemsikia Boniface Pawasa .
wengine je
...
...
Magwiji wa klabu ya Real Madrid ya Hispania watakuja Tanzania...
Timu ya Daraja la kwanza Tanzania Bara ijulikanayo kama TESEMAA F. C yenye Makazi yake Manispaa ya Temeke jijini Dar Es Salaam, leo imebadili jina rasmi na sasa itaitwa KMC F. C ( Kinondoni...
Fainali, kutoka Uwanja wa Amahoro
SUN 24. AUG
17:00
1 - 0Al-MerreikhAPR FC
Al-Merreikh, mabingwa wa CECAFA Kagame Cup 2014
Mheshimiwa 'Spika' naomba kutoa taarifa kuwa mashindano ya...
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi jana alianza rasmi ufungaji wake kwa kupachika mabao mawili katika mabao matatu kwa bila dhidi ya Elche. Kazi imeanza...kila la kheri Leo!
Ki ukweli Kila kitu na wakti wake na bahati yake, Sijuhi leo tyson anajisikiaje?
ni sawa na anavyozichanga Diamong kwa sasa ukifananisha na enzi za sir. nature, Prof jay na wengine walio vuma kma...
Cameroonian Albert Ebosse has died after being hit by an object thrown by spectators following a game in Algeria.
Ebosse, who was 24, was declared dead after being taken to...
Wakuu hii mechi nilikuwa naisuburi kwa ham sana.Kwa sie wadau wa michezo.
Lakini Umuhim wa mechi na hali halisi naona haviendani kabisaa.
Maana majuzi tu tumeowaona Real Madrid wakicheza na...
Huenda Jaja wa Yanga asiichezee timu hiyo msimu huu. Hii inatokana na klabu yake huko brazil kugoma kutoa ITC yake kwa madai ya kutaka pesa ya uhamisho kiasi cha dola laki 3. Pesa ambayo...
Ndugu wadau, hususani wapenda soka, wenye kuijua soka ya bongo tokea enzi hizo kuanzia mwaka 1990 mpaka 2000, ungeambiwa uwapange wachezaji mbalimbali unaowafahamu, hususani wa timu zetu mbili...
.... coverage wanayopewa wachezaji wa zamani wa Real Madrid (wengine ni wazee kuliko mimi) ina manufaa gani katika michezo au uchumi wa nchi hii? Ingekuwa hii mechi ni charity ningeelewa lakini...
Wakuu uzalendo wako upo wapi zaidi ukijipima,uko kwa taifa letu au clubs za ulaya na nchi zingin,sijuie/?
Upande wangu naipenda sana Chelsea kuliko Taifa Stars,sijui nye wakuu!
Mwambusi ametamba timu yake itafanya maajabu ambayo yatashangaza wadau wengi wa soka nchini tofauti na msimu uliopita.
Mwambusi alisema ana mbinu mpya kabisa atakazozitumia kwa vijana wake huku...
Atafit akijiunga na moja kati ya vilab hivi viwili.
1. Dortmond
2. Atletico Madrid
style yake ya uchezaji na aina ya uchezaji wa vilab hivi, jamaa atatisha. Aachane na man united, kwanza...
Familia za viongozi wa benchi la ufundi na madereva wa timu ya taifa, Taifa Stars, wamelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya kutolipwa fedha zao wanazotakiwa kulipwa kutokana na...
Wale wawakilishi wa TFF kwenye bonanza la Musonye wametolewa kwa mikwaju ya penati.
Huko nadhani hongo zilidhibitiwa la sivyo wangechukua kombe.Mambo yameenza kuwa mabaya hata ligi kuu wataoonga...
Mpira wetu unadidimia kila kukicha bila ya kujua tatizo liko wapi.Ila kwa utafiti mdogo nilioufanya nikagundua wachezaji wetu wengi wameathirika na mihadarati.Sasa nini cha kufanya?Tunatakiwa...
Mshambuliaji wa AC Milan Mario Balotelli, 24, yuko njiani kwenda England kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya huku mazungumzo yakiendelea ya kujiunga na Liverpool kwa pauni milioni 16...
Kuna tetesi ambazo bado zinaendlea kuwa tetsi kwamba wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara wataongezwa hadi Kufikia Saba kutoka watano wa sasa
My Take
Huenda Ndio Maana Muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.