2014-06-26 14:29 MAXIMO ATUA DAR
Kocha Mkuu mpya wa Yanga Marcio Maximo atua JNIA punde tayari kuanza kukinoa kikosi hicho, aongozana na msaidizi wake Leonardo Neiva Martins.
Je, kuna lolote...
Ndugu wanajamvi nimesikitishwa sana na hawa jamaa zetu Azam kushindwa kabisa kuonyesha mechi za kombe la dunia.
Azam wana stations 3 kwenye king'amuzi chao kuanzia ile ya info, one and two. Wana...
Mchezaji mahiri mwenye matata wakati mwingine amemng'ata mchezaji Italy leo. Kwa kweli sijui alikuwaje mpaka akafanya hivyo. Huenda akibanwa Sana anaghafilika wakati mwingine.
Namsikitikia yeye...
Nashangaa kipindi cha simbatv kinachorushwa na azamtv kutokua na mabango ya wadhamini wa hiyo timu kama azamtv vodacom kilimanjaro beer naomba ufafanuzi kwa wahusika.
Kwa wale mliosoma msingi miaka ya 80's I hope mnazikumbuka njumu flani maarufu kwa jina la abedi mziba. Hahaha nakumbuka jinsi nilivyokuwa nazitunza.
Dah kweli siku zimeenda. Kwa wale wenzangu na...
Dr. Leakey, mchambuzi nguli wa soka tunakosa busara zako,utaalamu wako,burudani zako na mafunzo yako.
Popote ulipo rudi kwenye game ya uchambuzi, awa wachambuzi wa siku izi hawachambui soka ila...
Simba SC imetangaza kuachana na nyota wake Haruna Shamte, Henry Joseph, Ramadhan Chombo na Uhuru Seleman waliomaliza mikataba yao!
===
Tetesi
YANGA KUMFILISI OKWI: Mbali na taarifa kuwa Yanga...
Samahani wanajamii forums kwa kutanguliza hisia zangu mbele hii nikutokana na magoli ya kipuuzi tunayofungwa wafrika kwenye world cup.
Ivory coast wanatoa pasi kwa adui na tunafungwa goli la kipuuzi.
Wakuu, salaam!
Soka ni mchezo unaopendwa sana na watu wengi duniani kiasi kwamba hata afghanistan wanaamua kusitisha mapigano kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia zinazoendelea kutimua...
Kimsingi waafrika tulianza kwa kukata tamaa lakini naona upo uwezekano mkubwa timu 4 za bara letu kufuzu hatua inayofuata;
Nigeria ikiwa ina point 4 inahitaji sare ya aina yoyote ili kufuzu...
Kama ilivyo kwa wachezaji wengi wa Brazil, mshambuliaji Neymar anatumia jina moja tu kwenye jezi yake. Jina lake halisi ni Neymar da Silva Santos Junior.
Wachezaji wengine wa Brazil waliopita na...
Ombi la kutaka refa Peter OLeary kuondolewa katika listi ya kuchezesha mechi kwenye michuano ya Kombe la dunia limepata sahihi elfu 20 kutoka kwa mashabiki wa Bosnia kutokana na kitendo...
1. Mchezaji wa kwanza kupewa red card w.c ni Pepe wa Portugal..Real Madrid.
2. Mchezaji wa kwanza kujifunga mi Marcello wa Brazil..Real Madrid
3. Golikipa alie bugizwa magoli mengi w.c ni Iker...
Amekuwa mchezaji wa kwanza kwa kombe la dunia 2014 kuwatembelea watu wasiojiweza mitaani na kugawa fedha. Vyombo mbalimbali vya habari duniani vimemtaja sulley muntari kuwa mwanasoka bora wa...
Shirikisho la soka nchini Ghana limewataka maafisa wa polisi kuingilia kati baada ya madai ya vyombo vya habari vya Uingereza kwamba mmoja wa maafisa wake alikubali timu ya nchi hiyo kucheza...
Hivi TBC imekuaje mmeshindwa kumuweka dr. Leakey hapo akatupa michapo ya soka hao jamaa mliotuletea hapo hawana jipya wanaongea yaleyale tunayoongea sisi huku watazamaji kama kuna uwezekano round...
Costa Rica's football federation has sent a letter to FIFA demanding an explanation for why so many of its players were required to submit to anti-doping controls after a surprise victory over...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.