Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Ni kweli Michael Richard Wambura anapambana kuhakikisha anapata uongozi Simba. Wakati akifanya hivyo, kumekuwepo na nguvu za ndani na nje ya Simba SC. kuhakikisha hapati fursa hiyo. Kutokana na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Huwa najiuliza sana Kamati inatoaje hukumu kwa mtu bila hata kufanya nae mazungumzo na kumpa nafasi ya kujitetea mi naona ni kama udikiteta fulani unaoendelea na kuonyesha ubabe usiokua na maana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Kulikuwa na bandiko lililo fikia hadi page 270 linalohusu matukio ya mechi zote za World Cup 2014!Mm na wenzangu tulikuwa tunaburudika kwa kuandika kile tunacho amini ndiyo kinatokea Brazil.Lkn...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu kuwa wadau wa soka mnafuatilia kombe la dunia nchini Brazil, sisi sote tulikuwa tukitazama sana timu zetu za Afrika lakini wamekuwa wakifanya vibaya. Kwa maana hiyo wachezaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahodha wa zamani wa Nigeria Jay Jay Okocha amemlaumu kocha Stephen Keshi kwa timu yake kushindwa kucheza vizuri katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia kundi F dhidi ya Iran siku ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati sakata la uchaguzi likiendelea Simba huku TFF ikiwa imesimamisha uchaguzi, Adeni Rage amevunja kamati kuu ya uchaguzi simba. Baada ya Ndumbaro kujisifia uchaguzi upo pale pale na Wambura...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani ndugu wanajamii forum kuna tukio ambalo binafsi sitakuja nisahau maishani mwangu, jana jumanne wakati naangalia game ya Ureno dhidi ya Ujerumani kupitia kituo cha tv cha ZBC ghafla...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau, Hivi yule pweza aliyekuwa anatabiri kombe la dunia aliishia wapi? Alishakufa? kama yupo yupo wapi? Au anasubiri kutabiri kuanzia robo fainali?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa. Usiku wa kuamkia leo majira ya saa 9 usiku (3 a.m) maeneo ya Upanga, Barabara ya A.H. Mwinyi ilitokea ajali mbaya sana iliyohusisha magari matatu. Gari ya kwanza ( vitz ya dark...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hawa wa-NEGRO (Wa-Brazil) walikuwa kila kukicha maandamano eti hawataki Mashindano haya ya WORLD CUP yafanyike kwao sasa sijui yamesihia siyasikii/kuyaona tena. Chezea BRAZUCA wewe!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BIN SLUM WAICHUKUA TIMU YA PILI LIGI KUU, WAMWAGA MAMILIONI YA UDHAMINI STAND UNITED KAMPUNI ya Bin Slum Tyres Limited imeingia Mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja na klabu mpya katika Ligi Kuu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Huyu mchambuzi wa soka tbc hamna kitu kabsa, anachapia sana, maelezo anajichanganya sana, yaani kwa ujumla hajui kitu! Mfano Pogba anamwita Pobra! TBC badilishe wachambuzi hawa wanaboa sana!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hatimaye Serikali kupitia king'amuzi cha star times wametangaza rasmi kuonesha fainali za mwaka huu za kombe LA dunia. Kwa wale wenye ving'amuzi vya star times na dstv tu ndio wataweza kuona mechi...
0 Reactions
153 Replies
18K Views
Boko alilotoa Cassilas jana kuruhusu bao la tatu/nne? linashabihiana sana na boko alilotoa Juma Kaseja dhidi ya Yanga na kumruhusu Awadh Kufunga kirahisi kama ambavyo Cassilas alimuruhusu Van...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Everything you need to know about the 2013-14 NBA season As the NBA returns, here is all you need to know about all 30 teams, from the Miami Heat aiming to three-peat to the Philadelphia 76ers...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu! Nimejiuliza hivi ni faida gani nchi hupata kuandaa kombe la dunia? Na ni hasara gani nchi inaweza kupata kuandaa kombe hilo? Nauliza hivyo maana tumeshuudi nchi nyingi duniani...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Itakumbukwa, kwenye mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia Juni 8, 1990 kule Italia, Argentina, mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia kwa wakati huo, walibaki midomo wazi wasiamini kilichotokea...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana nimefadhaishwa sana na wachambuzi wa kituo cha TBC1 wakati wa mapumziko walipokuwa wakichambua mechi ya Cameroon Vs Mexico wote kwa pamoja walivyokubali kwamba yale magori ya mexico mfungaji...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Jamani naangalia MPIRA TBC KUNA JAMAA WANAANGALIA NYUMBA YA PILI KINGAMUZI CHA DSTV GOLI LIKIINGIA UNASIKIA WANAANZA KUSHANGILIA INACHUKUA DK MOJA NANUSU NA MIMI NAONA GOLI NINI TATIZO...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mashabiki wapenda soka leo jumamosi itawalazimu kukesha usiku kucha kuangalia mechi zitakazo pigwa kwenye fainali hizo,mechi hizo za leo ni balaa tupu saa 1:00 Miamba ya Amerika kusini (Colombia )...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom