Tanzania itaanza na Chad kwenye michuano ya awali ya Kombe la Afrika 2014 na kama itashinda itakuwa kundi C pamoja na Ivory Coast, Morocco na Gambia.
Group A: South Africa, Botswana, Central...
Ni muda mrefu sasa Michael Wambura amekuwa akivutana na uongozi wa Simba kwenye issue ya uchaguzi wa viongozi ktk klabu hiyo. Hii ni mara ya pili Wambura anawekewa pingamizi baada ya kufanikiwa...
Kwa mara nyingine Michael Richard Wambura ataukosa uchaguzi wa Simba S.C 2014. Hiyo ni kutokana na kenguliwa na TFF kwenye kikao kilichomalizika jioni hii.
Uchaguzi unayatarajiwa kifanyika JUNI...
Rooney aomba msamaha mashabiki wa England.mshambuliaji huyu wa uingereza katika ukurasa wake wa facebook akiwataka radhi mashabiki wa uingereza waliosafiri na waliokuwepo nyumban kwao wakiangalia...
Kwa mujibu wa TFF INATAKIWA kuundwa kwa kamati ya Maadili ambayo mpaka sasa haina wajumbe kwa mujibu wa katiba mpya ya Simba s.c iliyopitishwa hivi majuzi.
Tarehe ya uchaguzi itapangwa upya...
Shirikisho la soka la Ivory coast limethibitisha hilo muda mfupi uliopita. Ibrahim Toure amefariki jijini MANCHESTER akiwa na umri wa miaka 28 .Alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu katika timu ya...
Nianze na kukupa pole katika kashkashi unazokumbana nazo katika kutimiza ndoto yako ya kuwa kiongozi katika taasisi za michezo katika nchi ya Tanzania.
Kwanza mimi binafsi si mwana michezo na...
Pole Michael Richard Wambura , Abraham Lincoln alipata kunena, "sifa ya kwanza kabisa ya kiongozi ni yule anayeutaka uongozi"
Katika wagombea woote wa nafasi ya Urasi pale Msimbazi ni wewe pekee...
kama unafatilia hawa wachambuzi wa soka tbc kila wanalotabiri na matokeo yakija ni tofauti kabisa.
leo wote walisema england lazima watashinda wana uhakika asilimia zote matokeo ni tofauti...
Hivi izi timu zetu za ki-Africa zina shida gani jaman kwa mfano Nigeria wameshindwaje kuwa funga Iran jaman huku sikupeana maudhi aisee au nyie ndugu zangu mwaonaje
Wadau,
Katika takwimu za viwango zilizotolewa na fifa mwezi wa 6 Spain ndio namba 1 na Ureno ni namba 4.
Binafsi naona hawafai ktk nafasi hizi hata kama mpira ni probability kwa asilimia...
Hatimaye Michael Richard Wambura amepitishwa na TFF kugombea nafasi ya Urais katika club ya simba unaotegemewa kufanyika 29 june 2014 jijini Dar es salaam.
Wambura oyeee......Nawasilisha...
Kamati ya uchaguzi ya Simba imemuondoa tena Michaeel Wambura kwa kosa la kupiga kampeni kabla ya muda rasmi,pia imesisitiza uchaguzi upo pale pale baada ya kamati iyo kupinga tamko la TFF la...
Pamoja na kuwa mapenzi yangu kwa Simba ni ya kurithi,lakini timu hii imeendeshwa kiswahili swahili kwa kipindi kirefu.Ajabu uchaguzi unapofika huanzishwa mizengwe dhidi ya wagombea wanaoonekana...
Mpiganaji Michael Richard Wambura bado anaendelea kuipigania haki yake inayotishiwa kuporwa na kikundi kidogo cha watu waliojipa mamlaka ya kuwachagulia wana simba mtu anaetakiwa kuwa kiongozi...
+4
Former Asian Football Confederation President Mohammed Bin Hammam is alleged to have paid out £3 million in bribes to football officials to secure support for the 2022 Qatar world cup bid...
Premier League Opening fixtures - weekend of August 16
Arsenal v Crystal Palace
Burnley v Chelsea
Leicester City v Everton
Liverpool v Southampton
Manchester United v Swansea City
Newcastle United...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.