Sevilla wamebeba kombe la EUROPA baada ya kuifunga BENFICA kwa mikwaju ya penati. Wakati huo huo tunasubiria fainali ya champions league hivyo makombe yote msimu huu yatatua spain!!
Hongera LA LIGA!!!
WEIGHT;- 437 grams
CIRCUMFERENCE;- 69 cm
REBOUND;- 141 cm
WATER ABSORPTION;- 0.2 %
This will be the 12th ball created by Adidas for the World Cup.
Tutakumbuka kwamba adidas walikuwa...
Mpira wa miguu ni moja ya michezo inayopendwa sana duniani, hivyo mpira wa miguu una umaarufu mkubwa sana.
Mh. Esther Bulaya, mbunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Mara kwa tiketi ya CCM, amejitoa...
FC-Barcelona na Atletico Madrid wanakaribia kukutana kwa mara ya tano katika msimu huu wa 2013/2014 Jumamosi tarehe 17th may match ambayo itaamua mshindi wa La liga(league kuu ya spain) , huku...
Klabu Atletico Madrid ya Hispania imejichomoza mwaka huu wa ligi 2013/2014 kama timu ya ushindani na inayotaka kubeba makombe. Ikiwa chini ya Diego Simeone,kiungo wa zamani wa Argentina, Atletico...
mwaka 2010 ulikua uchaguzi wa simba sc unafanyika..katika uchaguzi huo uliofanyika ukumbi wa bwalo la mapolisi oysterbay...kundi la FoS nilikua limejipanga kuchukua uongozi ..na waliiingia katika...
Huyu kocha kafundisha mpira msumbiji na ethiopia ambako hajaleta mafanikio yeyote iwe kwa timu ya taifa wala vilabu alivyofundisha. Ni moja makocha wababaishaji ambao bara hili halijaoona mfano...
Kombe mtalisikia kwenye na kuliona kwenye tv zenyu tu leo. Limepigwa muhuri wa kukaa katika jiji la Manchester kwa miaka kadhaa.
Msimu huu 2013/2014 team zilizokaa juu ya msimamo wa ligi mara...
Enzi zile 1998 na 2002 romario de souza alitokwa machozi pale alipotemwa katika timu ya taifa, lakini sikuhizi naona mtu akiachwa timu ya taifa anaona poa tu, wengine wanajitoa bila sababu ya...
Mwana michezo mwenzenu najitokeza kuwapa hongera sana Man City kwa kuwa mabingwa wa BPL mara mbili ndani ya misimu mitatu. WAMESTAHILI!
Ukiachiliambali Man city kuwa mabingwa lakini vilevile...
Mwenye kumbukumbu atanisaidia kuweka majina ya makocha wa vilabu hivi waliopitia mpaka sasa maana ni hodari mno kwa kutuletea makocha ambao majina yao ni magumu kwetu si kuyatamka tu bali hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.