Wachezaji wawili wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Alli Samatta na Thomas Ulimwengu ambao wanachezea klabu ya TP Mazembe ya Congo hii leo walipata faraja kubwa ya kutembelewa na mheshimiwa Rais...
Tumekuwa na kawaida ya kuona ligi mbali mbali za dunia na kuona timu inakuwa na jezi ya kuvaa ikicheza nyumbani tofauti na ikicheza ugenini.
Hapa kwetu pana timu zina jezi za rangi mpaka tatu...
Nikiwa kama mshabiki wa liverpool FC natangaza rasmi kukubali kuwa man city ni mabingwa wapya wa ligi msimu huu 2013-2014
Napenda kutoa pongezi kwao na pia kuwapongeza sana liver na benchi la...
Wana JF Sepp Blatter anataka uraisi wa FIFA kwa mara ya tano, akisema kuwa hajakamilisha kile alichotaka kufanya. Huyu babu naona ana-bore sasa. Amekuwa Raisi wa FIFA mara tano bado anasema...
Ni habari mbaya sana iliyotokea jana jioni watu 15 walifariki na wengi walijeruhiwa jijini Kinshasa baada ya mchezo kati ya timu tajwa hapo juu.
Wachezaji wetu Mbwana Samatta na Ulimwengu wako...
Viatu vya Bolt vinagharimu pauni elfu 20 hizo ni dola elfu 34 za kimarekani
Mwanariadha huyo bingwa wa Olympic wa mbio fupi sasa ameeingia kwenye akaunti yake ya mtandao wake wa twitter ulio na...
Pazia la Ligi Kuu England linafungwa leo jioni kwa michezo yote 10 kupigwa katika muda mmoja, ambapo burudani zaidi ni kupatikana kwa bingwa katika michezo ya mwisho.
England inakuwa miongoni mwa...
Wadau habari zenu,nisaidieni kufahamu principals za ku-bet mchezo wa mpira wa miguu hasa soccer la ulaya,brasil na argentina maana nimejaribu k2mia chache nizijuazo kama vile kuwa na budget ambayo...
Nimefungua kipindi cha EATV cha michezo nimekuta anaongea Damas ndumbaro analalamika kua stend Untd imepanda kimakosa na kua imependelewa anaejua ii inshu vizuri ebu atuwekee apa
cc:jamal malinzi
Kuwepo kwa taarifa ya club ya TP Mazembe kuwazuia washambuliaji wawili stars.Mwagane Yeya wa Mbeya City hana tofauti na kina Samata.Tanzania inavipaji vingi .Hakuna sababu ya Taifa stars Kufungwa...
Katika kuonyesha kuitaka Tanganyika Mashabiki wa timu ya taifa mkoa wa Mbeya jana walitumia bendera ya Tanganyika kuishangilia Taifa stars katika mechi yake dhidi ya Malawi.
Hii nimeipenda...
Wadau na Wapenzi wa Simba, nani anastahili kuiongoza Simba kwa sasa make uongozi uliopita umetutesa sana . Mara wauze wachezaji hela hazionekani, mara wasajili magarasa mbaya zaidi Rage amekuwa...
Mimi ni mshabiki wa Manchester United. Nimekuwa mshabiki wa Manchester United kwa muda wa miaka 15 sasa. Napenda jinsi wanavyocheza. Napenda staili wanayocheza. Napenda jinsi walivyo na ujasiri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.