Wakati bodi ya ligi kuu ya Vodacom (TPLB), ikitangaza tathimini ya msimu wa Ligi iliyomalizika April 19, Yanga iliingiza 205, 160, 700/- sawa na 29% ya mapato yote, Simba 131,354,798/- sawa na...
Nilikua nasoma habari za matokeo ya masindano ya mpira wa kikapu ya east and central Africa intercity cup ambayo yanaendelea kwenye viwanja vya ndani vya taifa na kuripotiwa na gazeti la daily...
Helena Costa amewahi kuwa kocha wa timu za wanawake nchini Iraq na Qatar
Klabu ya soka ya Ufaransa iliyo katika ligi ya daraja ya pili, Clermont,imemteua mwanamke raia wa Portugal Helena Costa...
Thamani ya midifilidi Paul Pogba ni mara mbili ya garasa Gareth Bale ambali linapigiwa kelele na wasiojua soka.Nakubaliana na Raiola
Masterpiece Pogba 'worth two Bales'ESPN staff
August 28, 2013«...
Nauliza sehemu nzuri na iliotulia niende na mke wangu leo usiku kutazama mechi kali za leo usiku Astonvilla vs Man City na ile ya hispania kati ya Madrid vs Valadolid zote kwa pamoja huku...
Rais wa TFF Jamal Malinzi amemteua wakili Wilson Ogunde kufatilia sakata la viongozi wa Azam kuvamia kambi ya timu ya taifa kwa lengo la kumsajiri mchezi Frank Domayo akiwa ktk kambi ya timu ya...
Wakazi wajiji la Mbeya wamelalamikia kitendo cha timu ya taifa (taifa stars) kutowasalimia mashabiki kwa staili ya kwenda kwenye sehemu ya majukwaa walikokaa kabla ya mechi ya kirafiki dhidi ya...
Taarifa ambazo zimetufikia hivi punde ni kwamba beki kisiki wa yanga Mbuyu Twite amesaini mkataba wa kuitumikia azam fc msimu ujao wa ligi. Taarifa zaidi tutazidi kuwajuza....
Manchester City, pamoja na Paris St-Germain, walikuwa katika kundi la klabu tisa kwa kupatikana katika uvunjaji wa sheria.
Klabu zote wamekuwa wakifanya mazungumzo na UEFA juu ya adhabu yao...
Kwa kweli kama unataka kuona inatumika nguvu ya umma kukunyamazisha basi utaiona, sababu uongozi ulishakupa taarifa uache kuripoti Habari za klabu yetu. Wewe kila siku ni kuandika habari za...
Leo Rais wa TFF Jamal Malinzi kupitia ukurasa wake amepost hii habari.
"Ligi nyingi duniani maarufu zina msisimko wa kipekee kutokana na uwepo wa wachezaji wengi wa kigeni ambao uchagiza na...
Haya sasa wale wapenzi wa masumbwi aka ndondi aka boxing leo ndio leo kati ya bondia asiyepigwa hata pambano moja la kulipwa The Money vs Maidana
tutumie uzi huu kupeana updates ya kinachojiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.