Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
ni mtazamo wng wadau. kwa mwendo wa epl ninavyouona chelsea endapo itafanikiwa kumfunga sunderland cku ya jumamosi basi uwezekano utakuwa mkubwa sn kutwaa kombe. kuwafunga liver anfied c zani km...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
''mbali ya kuwa sanaa ya mapigano kwa kutumia mikono mitupu karate ni mjumuisho wa Nidhamu na Ujuzi'' Sensei Ernest Aussi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini ndugu wana jf. Jamani wana jf hasa wapenda mpira wa miguu na wadau wa mpira wa miguu tanzania bara naomba kuuliza, hivi hii nayo ni kanuni ya ligi ya kuzikutanisha timu za yanga na simba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamanda wenu nimefura kwa stress za kufanya ovyo ktk Liki Kuu!Sio ishu,nawaletea live updates mpira mkubwa Mnyama anakipiga na Yanga,Updates FT, SIMBA 1:YANGA 1
1 Reactions
285 Replies
27K Views
Kwa kweli soka la Tanzania litashuka sana iwapo wachezaji name viongoz hawatokuwa name uzalendo WA ukweli Ktk sehemu husika alipo mchezaji awe na uzalendo WA Tim take name viongoz wawe waadilifu..
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Wadau iwapo Liverpool watafungwa leo, basi itakuwa ni klabu ya kwanza katika historia ya EPL kuwa nje ya top 4 kabla ya new year, wakati krismas ilikua top of the table. Ikumbukwe pia klabu ambayo...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Dakika ya tatu Amri Athuman Kiembe anaipatia Simba bao la kuongoza.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Ikiwa draw ya clab bingwa ulaya imepangwa leo....iko hv Buyern v Real Madrid na Chelsea v Atletico Madrid......Je unafikiri timu gani itaibuka kuwa bingwa kati ya hizo.
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Eneo la jangwani maarufu kama "bwawa" la Yanga limeonekana linafaa zaidi kujenga kit uo cha kuzalisha umeme badala ya uwanja wa mpira kutokana na eneo hilo kujaa maji ya kutosha mwaka mzima...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho (Aprili 20 mwaka huu) kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
BBC Sport - Yaya Toure: Man City midfielder says he deserves more recognition Baada ya kusoma tena leo yale yaliyosemwa na Nasri kwamba Toure hawi recognized sababu ametoka Africa.., My Take Ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Sepp Blatter ametuma salamu za pongezi kwa mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Azam FC. Blatter ameandika barua hiyo kwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kulikoni taifa wadau? Naomba updates.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza anayejua tv station itakayoonyesha mechi hii Live...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simba ni Simba hata akimwagiwa maji hawezi geuka nyani .....subirini leo mtathibitisha hilo!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeingia goal nikakaribishwa na Goal Tanzania Edition Editions zilizopo Maendeleo hayo......
0 Reactions
8 Replies
3K Views
afisa habari bora wa timu za mpira wa tz? Sendeu,ezekiel kamwaga,jafary idi wa azam....nk
0 Reactions
10 Replies
2K Views
...haya wadau, tuhabarishane maendeleo, mafanikio, kusua sua hata kuporomoka kwa chama letu, Mnyama Mkali, Simba taifa kubwa! Wengine sie, ushabiki tuliuanzia miaka hiyo, unaunga foleni ya...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Back
Top Bottom