Les Wanyika was a prominent band with
Tanzanian and Kenyan members and was
based in Kenya. It was formed in 1978 when
guitarist Omar Shabani, bassist Tom
Malanga and two other members left...
Habarini wadau!!
Nimepata wazo nikafikiri japokuwa yamkini wazo hili lisiwezekane lakini ENDAPO TU lingewezekana Kwamba Moyes angekuja kufundisha TAIFA STARs:
Zifuatazo ni baadhi ya faida...
Another Kenyan headed for big league football
Divock Origi (right) after scoring a goal during the French L1 football match between Lille (LOSC) and Valenciennes (VA) on April 12, 2014 at the...
Sitomsahau moyes katika maisha
yangu yote...kwa kunifanya nisiangalie timu
ninayoipenda zaidi duniani lakini hatimae
hatunae tena na mungu akubariki popote
uendapo moyes ...ahsante kwa...
Mchezaji wa klabu ya Ac Bongoville,Sylvain Azougoui amefariki baada ya kupigwa teke ya kichwani wakati wa mechi ya ligi kuu nchini Gabon.
Kipa huyo alifariki alipokuwa akipelekwa hospitalini baada...
......Achaneni na Mourinho...sikiliza kisa hiki
cha kusisimua kilitokea Keko miaka ya
nyuma....Timu ya Ubatani na Bogota zilicheza
mechi ya robo fainali kugombea seti ya
TV....mechi ikaenda...
Leo asubuhi katika kituo cha televisheni cha jijini Mwanza cha Startv kiongozi wa chama cha mchezo wa ngumi nchini ndugu Nyambui ametoa salamu za shukrani kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano...
Klabu ya Barcelona ya nchini Uhispania hatimaye imeruhusiwa kufanya usajili wakati wa dirisha dogo litakapofika barani Ulaya, ikisubiri kusikilizwa kwa rufaa yake iliyoikata kwenye shirikisho la...
Adam Bassina Djato,
Polish association Hope for Mundial.
This year we are organizing second Football World Cup for Children from Care Homes. And via this email I would like to invite...
Wakuu ili kushinda tiketi ya kwenda brazil kupitia shindano la cocacola unatakiwa upate vizibo vyenye picha gani?
Kwa anaejua wakuu naomba anieleweshe naona kuna kabahati kananinyemelea
Pamoja na waamuzi waliochezesha mechi ya simba na yanga iliyofanyika jumamosi kuimudu kwa asilimia kubwa lakini kuna maamuzi yalifanyika ambayo yaliniacha nijiulize maswali.Maamuzi yenyewe ni...
Kocha mzoefu wa Uholanzi Van Gaal (62) ameikacha Tottenham, sasa yupo kwenye mazungumzo na Manchester United.
Van Gaal ameshawahi kuzifundisha Ajax, Barcelona, AZ Alkmaar na Bayern Munich kwa...
Kutokana na tetesi zilizosambaa katika media Britain juu ya uwezekano wa kufukuzwa kwa "THE GREATEST CHOSEN ONE" natumia muda huu kuomba wapenzi wote wa soka waliofurahishwa kwa kazi aliyofanya...
Kuna tetesi zimezagaa kuwa leo kocha wa manchester united david moyes ameachishwa kazi. Taarifa hizi zimezagaa goal.com, talksport espn na skysport mwenye taarifa juu hili atujuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.