Niko uwanja wa Gombani Zanzibar , mechi kali kati ya Shaba fc ya Kojani na Aljazeera ya Wete , matokeo mpaka sasa ni Kojani 2 dhidi ya 3 za Aljazeera , ni kipindi cha kwanza DK 44.
Ni maoni yangu tu, hii timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 (Ngorongoro heros) ndiyo inayofaa kuitwa Taifa stars ya maboresho, kuna wachezaji ambao wakitunzwa ni hazina nzuri kwa stars, Huu...
Leo ni PFA Award hii ndio my Premier League XI:
1.David de Gea bila Huyu United wangeokota mengi nyavuni
2. Azplicueta nimetizama game za Chelsea Huyu jamaa kamsaidie sana na game ya Leo na...
MASHINDANO YA KIMATAIFA YA SABA YA MCHEZO WA BAO
=====================================
KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa
ya Saba ya Mchezo wa Bao...
Binafsi naungana na mashabiki wenzangu wa Man u kwa furaha niliyonayo pia, maanani furaha niliyoikosa mda mrefu sana tangu mwanzo wa msimu huu unaolekekea kuisha.
Ila kuna mambo fulani najiuliza...
INNA LI LLAHI WA INNA ILLAHI RAJIUN
Aliyewahi kuwa meneja wa Simba miaka ya 70s na 80s (kama sikosei), Abdulrahman Khamis Muchacho, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, maandalizi ya maziko...
Wanajamvi naomba niwarudishe nyuma kidogo kwakuwakumbusha kuwa tulikua na ligi ya pamoja ya muungano ambayo ilikua inashirikisha vilabu 3 vya juu toka znz na 3 vya juu toka tanganyika ambapo...
Ndugu wana jf. naomba mnijuze hivi game ya leo kati ya taifa starz dhidi ya intamba murugamba ya burundi itaoneshwa kupitia station gani ya tv hapa tz?
Wewe ni team captain wa Azam Fc nilikushangaa sana jana ulipokabidhiwa kombe ukaling'ang'ania utadhani lako hata wachezaji wenzako hutaki walibebe mpaka wakupore ndo uwape,jifunze kwa kuona...
Msimu ulioisha Azam Fc wana wa lamba lamba walishinda mechi za ligi kuu na kutoa droo tu bila hata kupoteza mechi moja.
Waandishi wa bongo kama hawajaiona hii rekodi, soka la bongo noma.
The club did remarkably well under Sir Alex Ferguson to keep pace with Chelsea and Manchester City because they have been heading downhill ever since the Glazers took over
COLUMN
By Peter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.