Baada ya mechi dhidi ya Olympiakos Robin Van Persie alikaririwa akisema wachezaji wenzie wanamkaba - wanacheza kwenye maeneo ambayo yeye pia hucheza jambo linalopelekea kutokucheza kwenye kiwango...
Baada ya kuonja kiti cha nafasi ya sita kwa muda,Man U imerejea kwenye kiti chake cha msimu huu cha nafasi ya saba.Hii inafuatia ushindi wa bao 1-0 wa Everton walioupata dhidi ya West Ham...
<<= SABABU 10 KWA NINI YANGA ITAFUNGWA GOLI NYINGI NA AL AHLY=>>
1. Kitendo cha Mahakama kuamuru warejeshe jengo kwa Mzee Juma Mwambelo kimewatia stress hawajui wataenda wapi.
2. Yanga imezoea...
Tumepokea maswali na simu nyingi sana zikiuliza kama Azam TV itaonesha mechi kati ya Yanga na Al Ahal leo, jibu ni kwamba HAPANA...
ukweli ni kwamba tulipokea maombi toka kwa agent aliyenunua...
Azam TV kuanza kuonyesha mechi za robo fainali za UEFA champions league from next month...hayo yamethibitishwa na mchambuzi nguli ws soccer hapa bongo kwenye account yake ya Facebook....kwa speed...
Hongera kijana wetu ila tungelipenda tukuone ukirusha mpira na kuidaka golini kwako kama siyo BLOCK.
Nimeingia Ukurasa wenu na kuikuta habari hii. Safi sana na endelea na moyo huo.....
Thabeet...
Liverpool FC ya Uingereza imeingia rasmi katika mbio za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu ya Nchini humo baada ya kujikita katika nafasi ya pili, nyuma ya Chelsea, katika msimamo wa ligi. Hiyo inafuatia...
kwa mtazamo wangu kilichosababisha timu ya arsenal kushindwa kupata matokeo mazuri leo ni kutokumuanzisha alex chamberlein toka kipindi cha kwanza. Sababu ukicheki gemu utaona muda mwingi arsenal...
Ninaangalia habari za michezo katika lunnga ya itv muda huu katika pambano la yanga na waarabu,mashabiki wa yanga wamemlaki kwa vifijo mhe membe huku pembeni yake akiwa na mwenyekiti wa yanga...
Our artistes are still maintaining the lead in painting our flag all over the world. Najivunia jameni nchi yangu, ma-haters mpo. Here goes our very own Juliani....
Juliani Nominated Alongside...
Karibuni wadau wa mpira wa miguu, hii ni thread ambapo wana mpira tutakuwa tunakutana hapa na kuelezana mambo muhimu kuelekea Kombe la Dunia, hasa wakati huu zikiwa zimebaki siku chache kabla ya...
Jose Mourinho wants
Fulham to stay in Premier
League
Jose Mourinho would accept defeat at
Fulham on Saturday if it helped his London
rivals avoid relegation, so long as Chelsea
go on to win...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.