Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
kiwango cha pombe. Kama refa anayechezesha mpira wa leo kati ta Ashanti na Azam nilivyo mshuhudia akipiga viroba yeye na mwamuzi wa pembeni wa kike pale Kakonko Bar majimatitu. Punde namshudia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Monday, January 27, 2014 YANGA WAMEMNUNUA WAPI EMMANUEL OKWI? Na BARAKA MBOLEMBOLE Wakati ligi kuu ikianza, mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hawa jamaa wa Al-AHALY nimeanza kuwaogopa sana yani Al-ahaly waliwahi kufungwa goli 5-1 na Enyimba mjini Aba ila waliporudiana Al-ahaly walishinda 6-0. kwa vile Ndala Fc wanaliwakilisha taifa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
NANI ABAKI?? NANI AONDOKE??? Kwa mujibu wa makubaliano ya TFF na vilabu vya soka nchini, kuanzia msimu wa 2014/2015 kila klabu itaruhusiwa kusajili wachezaji WATATU TU wa kigeni. - SASA TUTAJIE...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kutokana na mchakato wa kuboresha katiba ya timu ya Simba kuna taarifa kwamba moja ya mambo yatakayopelekwa kwa wanachama ni pendekezo la kubadilisha jina la timu hiyo kutoka SIMBA SC na kuwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Napenda kumpongeza mwenyekiti kwahili naamini watacheza kwa nguvu ila nicingependa kukumbuka ya azim dewji unkoo kwa kutangaZA canter kilamachezaji huku kakamata wachezaji wake Wanne nakuwapa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kikosi kamili cha Stars kilichotajwa leo ni makipa Deogratius Munishi (Yanga), Ivo Mapunda (Simba) na Mwadini Ally (Azam). Mabeki wa pembeni ni Edward Charles (JKT Ruvu), Erasto Nyoni (Azam)...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
The Captain is back, team pasi za chini, team soka la kisasa, team mpira wa kasi, kikosi cha leo kinachoanza dhidi ya Prisons ni 1. MWADINI 2. DAVID 3. ERASTO 4. MORADI 5. AGGREY 6. BOLOU 7...
2 Reactions
369 Replies
31K Views
Karibuni wadau wa mpira wa miguu, hii ni thread ambapo wana mpira tutakuwa tunakutana hapa na kuelezana mambo muhimu kuelekea Kombe la Dunia, hasa wakati huu zikiwa zimebaki siku chache kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Zenit St Petersburg vs Borussia Dortmund. Itachezwa saa mbili usiku huu. Ya Man U ni saa tano kasoro kama kawaida
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Kwa mujibu wa vyombo vya habar vya leo mwanasport limeandika Yanga imeandaa milioni 100 kuiuwa al ahly while wapinzani hap wameandaa bilion 1.3 kwa ajil ya mechi hiyo hii ni kwa mujibu wa Bingwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamvi huyu mwenyekiti wa klabu ya simba sports mimi nashindwa kumuelewa, juzi amepeleka rufaa Tff kupinga yanga wasimchezeshe Okwi hata kabla ya mechi wakati anaelewa kuwa aliye toa idhini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hata kama hawa watu wanafungwa wanaonewa wanazomewa na wanaonekana si chochote wao watabaki kuwa JEMBE LA MAADUI TANZANIA hawana mpinzani wadau na wapenzi wa Mbeya City mwaonaje timu yetu kwa...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Kenya to host CHAN in 2018: Country will use more than Sh500 million for a successful championship Updated Monday, February 24th 2014 at 18:09 GMT +3 Kenya will host the 2018 Africa Nations...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Manutd
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Nina uhakika Tff imeiingiza Yanga mjiini, walificha rufani ya sImba ili Okwi awe harali Yanga, ila kwa Fifa imekula kwao, najua wengi hamta nielewa ila baadae mtaelwa.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wahanga wa Aden Rage- Klabu cha Simba na wapiga kura jimbo la Tabora mjini. Napenda niwaambie wasomali siyo watawala wazuri , fikiria rais wa Somalia anatawala Somalia lakini anaishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mesut Ozil is childish, lacks confidence, leadership and mental strength By Eurosport | Jan Molby – Thu, Feb 20, 2014 12:25 GMT What struck me about the past two nights in Barcelona's...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nini kimezisibu wodi za wazazi? Tumeacha kuzaa wachezaji wafurahishaji? Kama bado wanazaliwa wanapotelea wapi? Sioni manjonjo kama ya Kanu. Yameadimika machenga kama ya Ronaldinho. Taabu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu ndio ujinga unaorudisha nyuma soka letu. Hutu Jamaa mashabiki wa simba wangekuwa na akili kama yangu wangekuwa wameshaisusia timu zamani sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom