Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Mwanzo mwisho akuna kulala tuko nyuma yenu uongozi ,wachezaji na wabeba mabegi wotee wa yanga kwa niaba ya uongozi wa mashabiki wa yanga hapa jamvini nawatakia kila la kheri muwafunge wamisri...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kila nikimwona yaya toure nahisi kama namuona patrick viera enzi zake.. Unafikiri yupi bora katika katika ubora wake kati ya hawa waafrika magharibi (toure wa ivory coast na viera mzaliwa wa dakar...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajiwa kushuka uwanjani kesho kuivaa Al Ahly nchini Misri, wapenzi na mashabiki wa timu hiyo wa jijini Dar es Salaam, wapo katika mikakati kabambe ya kuiandalia...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Mi najua hatukosagi sababu halafu hatutaki kukosolewa.. Hebu tupieni wadau
0 Reactions
28 Replies
37K Views
Taifa stars ikicheza hata ikiwa na wachezaji wa yanga tu nitaishangilia sana.Ila siwezi kuiombea heri Yanga iwatoe waarabu huko Misri,haiwezekani.Watatusumbua sana huku mtaani.AL AHLY NAOMBA...
1 Reactions
214 Replies
25K Views
yanga imetolewa rasmi kwenye michuano ya kimataifa baada ya kuchapwa penati 4 kwa 3 dhidi ya Alhaly. walifikia penati mara baada ya alhaly kuifunga yanga goli 1 katika muda wa dakika 90. hivyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari gani ndugu zangu? Niliacha kubet(Kamari) mwaka mmoja uliopita baada ya kuchezea "Punch" za kutosha nikawa najifunza HORARY ASTROLOGY IN FOOTBALLKwa ufupi-Ni Utabiri wa vitu mbalimbali kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mimi sio msemaji wa Simba SC lakini kwa hali yoyote sio rahisi kwa wapenzi wa Simba kuiombea dua jema Yanga katika mtinange wake huko Cairo dhidi ya Waarabu.... sababu kubwa ni kwamba hata kama...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga wametua salama jijini hapa. Lakini uwanjani hapo kukawa na tafrani kubwa kwa kuwa waandishi walitaka wazungumze. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Yanga...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Eto'o anafunga bao maridhawa nakufanya Chelsea kuongoza anakimbia kwenye kibendera na kukishika na kisha kwa mwendo wa kizee ana jikongoja taratiiiibu hii ni kufuatia wanaoponda kuhusu umri wake...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
cjui ni shetani au nini jamani???? ingawa yanga si timu yangu wala cjawahi kuishabikia hata cku moja ila kwa ndoto niliyoota ucku wa kuamkia leo naomba mungu apitishe mbali cause waarabu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo vinavyoashiria ushirikina uwanjani. Simba ilifanya vitendo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
monja liseki, chibe chibe chibindu, silvatus ibrahim "polisi", salvatory edward, wilfred kidau, abdul maneno "kibavu" abuu ramadhani "amokachi", doyi moke, mengi matunda, chachala muya, joseph...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
" WE DONT SELL PRODUCTS WE SELL QUALITY" 1:We do sale Pure Aluminium Handrail and Balcon from Turkey. 2:Aluminium window, Door and Office Partition(Dubai). 3:Automatic Rolling...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa Manchester United, David Moyes amewaandikia barua mashabiki wa klabu hiyo, akiwashukuru kwa kumuunga mkono katika kipindi hiki kigumu. Moyes ambaye timu yake inapepesuka kwenye...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Wadau, Habari nilizo zinasa kutoka vyanzo vya uhakika ni kwamba timu ya Yanga kwa sasa wako barabarani wakisafiri kutoka Cairo kuelekea Alexandria ambako ndiko mechi kati ya hizi timu mbili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kenya has received over six nominations With more than six Kenyans having been nominated for the prestigious continental awards, expectations are high that local film makers will pull yet...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uongozi wa Young Africans unawaomba wapenzi, wanachama na wadau wa soka kuacha kusoma habari za blog ya Bin Zubeiry kutokana na kuandika taarifa zisizokuwa na ukweli huku lengo lake kubwa likiwa...
0 Reactions
47 Replies
17K Views
Birmingham City chief Carson Yeung has been handed a six-year prison sentence after being found guilty of five counts of money-laundering in Hong Kong. Yeung had denied the charges of laundering...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere atakuwa njee ya dimba baada ya kupata majuruhi ya mguu na kusababisha mfupa wa mguu wake wa kushoto kupata ufa. Wilshere alipatwa na masaibu hayo baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom