Italian club Lazio have released official documents to prove that 17-year-old midfielder Joseph Minala is not actually 41. Minala caused a stir this week because of his appearance after being one...
Habari ya mjini ni Okwi ruksa kukipiga Yanga,sasa hayo tuyaache maana tayari Okwi ni mali ya Yanga.Sasa twendeni Mbeya tukampe support mzee mwenzetu Simba aka 'nyau'.
Maana kama Simba akipigwa na...
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeanza rasmi mikakati ya kuiwezesha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars' kufuzu kwa Fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani baada ya kupanga...
Hili ni swali jepesi lakini kwa upande wa pili ni gumu sana.kipindi kabla ya henry hajaondoka arsenal wakiwepo wakina jeans lehman,babtista,clichy,fabregas wakat mdogo mdogo,song pale ilikuwa...
Chanzo- BBC Swahili michezo na wachezaji.
Moja wa maboss wa TFF amesikika ktk kipidi cha BBC Swahili michezo na wachezaji. akisema kuwa "TFF haina PESA ya kusafirisha kontena mbili za viatu...
Baada ya Yanga kuinyanyasa Comorozine de Domoni ya Comoro kwa magoli ya 'week' nzima; leo ni zamu ya Azam kukutana na Ferroviario ya Msumbiji katika uwanja wa Azam Complex. Wakati huo huo baada ya...
Kama kawaida , tupeane taarifa za matokeo ya mechi zote za leo , leo mbeya sokoine mtibwa sugar atakuwa akipelekwa puta na Mbeya city , wapenzi wa Mbeya city twendeni tuipe sapoti timu yetu ...
Kwa hali inavoendelea pale ngome kongwe (old trafod) ni dhahiri wa shahiri timu yao inaenda uefa ndogo ambayo mechi zake huchezwa Alhamis mida ya sa4 kasoro usiku muda ambao Futuhi wanakua hewani...
Habari nilizopata kupitia vyanzo mbali mbali vya habari ni kwamba mshabaki wa soccer wa club tajwa hapo juu ameuawa hapo juzi wakati timu hizo mbili zilipokutana juzi jumamosi Liverpool Vs Arsenal...
Niaje wana jf..
mm ni mteja mzuri sana wa mhindi kwenye mambo ya bettin, ila since last week naona mambo hayaendi kabisaa yaaani,, nachana mikeka tuuu... hebu leo tusaidiane kidogo, wataalamu...
Siku ya Man city na Chelsea nilisema ntatembea uchi, kweli Chelsea walishinda ila nilivyotaka timiza maneno yangu, watu walinitisha eti kuna washkaji wako Manzese wana-wait wanile Kabang...
Mwenyekiti wangu Yusuf Manji. Salaam aleikhum!
Awali ya yote naomba niupongeze uongozi wa Yanga chini ya stewardship yako imara kwa mafanikio mliyoyapata on and off the pitch tangia...
Ligi kuu ya nchini italia almaarufu Serie A inaendelea leo na Vilab vya SSC NAPOL na AC MILAN vinakutana leo kwenye dimba la san paulo mjini nepol. Kocha wa milan Clarence Seedorf anakwenda...
Mashabiki wa Man U hatuna haja ya kuhofia mechi yetu ya leo, kuku wako kwa nini kumfukuza, ataingia bandani nawe kumchukua na kumchinja, supu saaafiiii, leo twendeni kifua mbele na tena kwa...
WACHEZAJI wa Simba SC wameahidi kwenda kupigana kufa na kupona kwa ajili ya ushindi dhidi ya Mbeya City Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini...
Siku zote nimekuwa nikiwahusisha kwenye mikeka yangu mmeniangusha sana tena sana ila nikavuta subira nimeamua kuanzia kesho sitokuja kuwahusisha tena kwenye mikeka yangu mnampa faida kanjibah na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.