Wadau wa Michezo hususani wa boxing, hivi ni chama gani kipo kisheria kusimamia mchezo
wa ngumi (boxing) Tanzania??? Na pia taratibu ziko vipi katika kuandaa mapambano mbali mbali
ya ngumi?? Ni...
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limemuidhinisha mshambuliaji Mganda, Emmanuel Arnold Okwi kuchezea klabu ya Yanga ya Dar es Salaam.
Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Celestine...
Mpenz msomaji wa JF unajua leo kuna mishe mishe pale uwanja wa tenesi ni pale vijana wa man city watakapo menyana na barcelona pale uwanja wa tenesi(etihad). Kwa haraka unaweza ukakumbuka kwamba...
Pure bliss! Gor and Leopards savour sweet victories in Caf competitions
A young Gor Mahia fan in the streets of Nairobi after victory in a past match. PHOTO | FILE NATION MEDIA GROUP
By David...
Kwa wapenzi wa Liverpool jana ilikuwa ni kilio na kusaga meno baada ya dk ya 90 kwani ilikuwa ndio mwisho wa safari yao ya FA baada ya kutolewa nishai kwa kubandikwa 2-1...chezea Bunduki weeeeeeeeee
Kiukweli huyu Shaffih sasa ni bora akatafute kazi nyingine afanye,hii ya kuchambua soka imemshinda.Shaffih juzi alisema kaongea na rais wa Etoile kuhusu sakata la Okwi na akawaonya Yanga kuhusu...
Last updated at 07:54
GMT
Guillou's philosophy - and results
All of Jean-Marc Guillou's teams train barefooted
because he believes that reduces the chance of
injury and improves a player's...
Hapa mbeya hali ya hewa ni nzuri ikiambata na kiubaridi.
Kiukweli mechi hii haina msisimko tofauti na ile ya mbeya city na yanga,.
Mji bado umepoa na simba wakiwa bado wamejificha...
The Liverpool striker warmed the hearts of even the most bitter football fans with this act of kindness
He's a nice lad, is that Daniel Sturridge.
We like his dancing when he finds the back of the...
As ever, our flag always features internationally on major sports.
Kenya, Tunisia and Senegal won their opening matches as the 2014 FIVB Womens World Championships Africa qualifiers in group 2...
Sunday, February 16, 2014
Mrisho Khalfan Ngassa jana alifunga tena mabao matatu peke yake katika ushindi wa 5-2 wa Yanga dhidi ya wenyeji Komorozine ya Comoro katika mchezo wa marudiano...
Wadau sipo kiushabiki zaidi ila mtizamo wangu kuhusu bingwa wa EPL. Nimezichunguza timu 4 za juu katika epl na binafsi naona kombe litaenda Chelsea au Liverpool.
Manchester City nimewatoa...
Habari wana JF.
Nikiwa mtanzania na mshabiki mkubwa wa Taifa stars na Manchester United ila leo nikiwa nasikiliza kipindi cha sport extra cha Clouds FM, ndiyo kipindi pekee huwa nasikiliza cha...
shirikisho la soka la Dunia limekanusha kumuinizisha Emanueli Okwi kuchezea yanga kutokana na kukiukwa kwa baadhi ya vipengele kwani haruhusiwi kichezea timu tatu ndani ya msimu mmoja.
Ila mwenye...
Tarehe 15 mwezi huu kutakua na mechi kati ya Man City na Chelsea ya FA cup katika uwanja wa Etihad.
Huku chelsea ikiwa imeifunga Man City mara mbili Darajani na Etihad, swali ni kwamba chelsea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.