Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
The global free entertainment that is currently run on musicians is about to accommodate those additional talents. Get the details here Talents Contest | All Cakez
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi natabiri itakuwa Ars 1- 2 Bayern. Haya nawe tiririka
1 Reactions
210 Replies
13K Views
Nawasifu TRA na TCRA kwa msimamo wao wa kusimamia EFD na ving'amuzi. Jambo lolote lianzapo huwa na kasoro zake hasa linapohusu pesa kwa maana ya kudhibiti mianya ya wachache kujineemesha. TFF...
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Jamani hivi Yanga walitoa wapi hili jina la Yanga? Je lilitokana na jina la Kiingereza Young Africans na Young ikatamkwa Yanga? Mara nyingine sielewi pale ambapo unakuta habari ya Kiingereza ina...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Wana JF ningependa kumuunga mkono shafi dauda kwa msimo wake kwani anazungumza ukweli watu wanachukia,okwi ni bomu kali.
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Kutokana na timu za UEFA jana kushinda ugenini,leo Arsenal ina uwezako mkubwa kufungwa nyumbani na Bayern Munich kwa wingi wa mabao.Poleni sana.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mashindano ya kombe la dunia yaliyoandaliwa kwa pamoja kati ya Japan na Korea kusini yalikuwa ni mashindano yenye msisimko mkubwa sana,Senegal walitupa matumaini makubwa sana waafrika lakini...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwanasheria WA TFF, Allex Mgongolwa amesema kuwa mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kucheza Yanga na wala Sakata lake lisipotoshwe. Mgongolwa alisema watu wamekuwa wakipotosha kuhusu Sakata la...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kocha Msaidizi wa Yanga Charles Boniface Mkwasa ameondoka leo na ndege ya shirika la ndege la Ethiopia kwenda Misri kuangalia mechi ya wapinzani wao ambao Alhamis wanacheza mechi pale Cairo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
If i was to select a team to play Bayern tonight, ofcourse only 11 people can start hence not everyone will make the line up. I will select and give an explanation why. 1. Wojo 2. Sagna 3. Gibbs...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wadau round ya 16 bora ndio inaanza leo, moja kati ya mechi kali ni hii itakayopigwa Man City Vs Barca saa 4:45 kwa saa za Afrika Mashariki, kama mdau wa michezo tupia maoni yako hapa kabla...
1 Reactions
192 Replies
11K Views
uwanja wetu wa taifa wangetumia mtindo huu wa tiketi wala kusingekuwa na buguza na taabu wakati wa kuingia na ukaaji mle uwanjani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu mashibiki wote wa Man U na wadau wote wa soccer, Awali ya yote naomba ni declare interest, mi ni die hard Man U fan, nina zaidi ya mapenzi na timu hii mi nina mahaba na timu hii. na...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Juzi jumamosi nilikuepo sokoine kushuhudia pambano la mbeya city na simba. Filimbi ya mapumziko refa alivopuliza kipenga cha mapunziko, gafla bench la ufundi la simba na wachezaji walingia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau. Jamani huu wimbo nikiusikia huwa unanikumbusha fainali ya Liver na Milan 2004. Wewe mdau huwa unakukumbusha fainali ipi? Mwenye clips ya huu wimbo naomba anisaidie...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Kwanini kwenye boxing ring kuna kona mbili za blue corner na red corner na si rangi nyingine zozote ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu leo natoka kivingine, naomba muweke hapa maujuzi yenu. Hivi, kwenye shows za WWE akina John Cena, Batista, Triple H na wengine wengi wanapiga kweli au is just acting? Kama ni uongo...
1 Reactions
108 Replies
33K Views
Wadau habari zenu Naomba kujuzwa! Nimejipigapiga weee nikajiwekea DSTV! Kama wengi wengine kubwa ni mpira! Lakini naambulia kuona EPL, Tusker League ya Kenya, Zambia nk. Sioni VPL! Kuna nn kwani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nani anashinda leo kati ya city na barca
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Back
Top Bottom