Timu kadhaa zilizoshiriki Senior Challenge Cup huko Kenya, ikiwemo Zanzibar Heroes, zimekwama kwa siku kadhaa zikisota nchini humo hata baada ya kutolewa mashindanoni. Kutokana na sintofahamu...
Wakuu naamini kabisa wengi wetu tuna tizama mpira kwa luninga na nizile channel za kwaida sasa embu jaribu HD channel nautaona tofauti yake...unacho hitaji ni decoder ya PVR
WANACHAMA wa klabu ya Simba wanaompinga Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage wataelekea mjini Dodoma Jumanne kwa ajili ya kuonana na Spika wa Bunge hilo, Anna Makinda kuelezea namna...
Kulingana na hali halisi iliyotokea katika mashindano haya ya CECAFA yanayoendelea, ninawashauri TFF na wapenda michezo wote wa Tanzania, tujitoe CECAFA na kujiunga COSAFA, sababu mnazifahamu...
The players wore special t-shirts ahead of the home clash with Liverpool following the announcement of the clubs new partnership with Tanzania, which sees the country become the Official...
Habari zenu wana jamvi.
Naomba mwenye kuweza kuweka mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa 23/4/2003 ktk uwanja wa Old Traford kati ya Man Utd na Real Madrid anisaidie.
Nimejaribu kuitafuta...
Kocha wa Magolikipa SSC na mwanasoka mstaafu aliyehudumu kama golikipa wa timu kadhaa hapa nchini James Kisaka anahitaji msaada. Nimeona kwenye STAR TV anasumbuliwa na macho hawezi kuona anaeleza...
2013-12-12 07:50
Nairobi - The government will build five sports stadia across the country to bolster the chances of winning bids to host international sporting events.
Kenyan Cabinet...
Droo ya mchujo kwa timu za Afrika, ni kama ifuatavyo:
Ivory Coast Vs Senegal,
Ethiopia Vs Nigeria,
Tunisia Vs Cameroon,
Ghana Vs Misri, na
Burkina Fasso Vs Algeria
Taifa Stars imefuzu kucheza Nusu fainali baada ya kuivurumisha Uganda, na mtu aliye teuliwa man of the Match ni Mbwana Samatta ana hojiwa na Ssport kwa kimombo akashindwa na kuomba kuhojiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.