Ligi kuu ya Uingereza iliendelea au huenda bado mechi zinachezwa usiku huu,tafadhali mwenye matokeo ya mechi za usiku huu haswa mechi za Liverpool na Arsenal na Chelsea kama walicheza japo sina...
keep running...........boys running............decision.............hayo ni maneno yaliyokuwa yakirudiwarudiwa na kocha anayetarajia kuchukua mikoba ya Kibadeni Simba
Mario Djurovski
Heard of Mario Djurovski? Neither have we, but the Macedonian striker has notched up hundreds of thousands of hits on YouTube thanks to his crazy celebration.
The attacking...
The 10th edition of The Channel O Africa Music Video Awards wrapped up on Stauraday evening at Walter Sisulu Square in Soweto, South Africa.
Hosted by Nigerias Naeto C and South Africas AKA...
Wkuu tafadhali mnisaidie kuniweke nakala laini ya timu tajwa hapo juu, nadhani ni muda mwafaka kujadili kwa rejea, ile ya Simba ninayo kwa nakala ngumu, ila ya Yanga sina kabisa, niliyokuwa nayo...
Wajameni, nimeangalia matokeo ya nani mtani jembe. Mpaka sasa upande wa Yanga unaongoza kwa kujilimbikizia Shs. 78,525,000 na Simba Shs. 21,475,000/- nilichogundua ni kwamba walionunua bia kwa...
KAGAME ASHEREHEKEA TAJI NA YANGA ikulu ya Rwanda
Rais Kagame akizungumza na Mwenyekiti wa Yanga, Manji
Rais Kagame akizungumza na Yanga
Sief Ahmad Magari akimkabidhi jezi ya Yanga...
TP Mazembe Englebert vs Club Sportif Sfaxien Live Stream CAF Confederation Cup - Football
Tp Mazembe kweli noma... samatta katupia la pili. CS SFAXIEM wanafia Lubumbashi .
Hivi Tanzania kimpira tumelogwa na nani???? Hata Somalia inatuhangaisha! Vijana wetu wa kileo nini wanachokikosa kinachowafanya washindwe kucheza kandanda lenye akili??? Kina Mrisho Ngasa na...
Habari za wkend wana jf. Nmeona niulize hili suala la kung fu china kupigwa marufuku.
Katkat ya wik iliyopita nilipita mtaa mmoja nkakuta vijana wawili wakibishana kuwa nani mkali kati ya Jet Lee...
Timu yetu ya Taifa Tanzania bara kwa sasa iko katika mashindano ya kombe la Chalenge nchini Kenya.. timu imecheza na Zambia imeonyesha uhai kidogo ambao kama ungeongezewa baadhi ya wachezaji timu...
Michael Richard Wambura katika waraka aliousambaza kwa TFF,Mwenyekiti SSC na wajumbe kukubaliana na uteuzi kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba amewataka wapenzi na wanachama wa SSC kuwa...
Leo Julio wa simba kamchana Maestro akidai anamfitini kwenye club. Amedai jamaa anajifanya bonge la kocha kwa vyeti vya tandale! Nami sipendi anavyotangaza kipindi cha michezo Clouds fm. Hawapi...
HABARI WADAU WA JF..! Nikiwa Kama Mdau Wa Mtandao Huu Wa Great Thinkers Nimeona Nitupie Wazo Ili Tuwekane Sawa: Leo Nimemsikia X-kocha Msaidizi Wa Simba Julio Jamhuri Akiongea Kwa Uchungu Juu Hali...
Mtanzania Mbwana Samatta amepiga bao la pili kwa Mazembe katika dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza na mpira unaendela hivi sasa! Wanacheza na timu ya Tunisia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.