Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
yusuph manji wa yanga ameyasema hayo jana baada yakudumu katika ngazi tofauti tofauti za uongozi ndani ya yanga kwa muda unakadiriwa miaka tisa Nimeamua kuachia ngazi kupisha na wengine wagombe...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Asiyekubali hili hajui soka kwamba mchezo sio dakika 90 tu huwa unachezwa kabla ya hapo. Imekuwa tabia ya CECAFA nchi inayoandaa bonanza lake kuwa bingwa na hivi sasa Kenya atachukua ndoo hiyo...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Chama cha Soka cha Uturuki kimewaita wachezaii wawili wa Ivory Coast, Didier Drogba and Emmanuel Eboue ili kuwaadhibu kutokana na kutenda kosa la kuvaa na kuonyesha uwanjani nguo zinazomkumbuka na...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
" nipende kuwafahamisha Watanzania na wanasimba kuwa tumemalizana na Ivo Mapunda"-Hans Pope
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Hivi watu bado hawajaihama tu man utd maana me naona wanapata tabu kweli yaani
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Zambia imetolewa na Sudan katika michuano ya Senior Challenge Cup inayoendelea katika hatua ya nusu fainali kwa mabao 2-1. Kilimanjaro Stars na Harambee Stars mchuano ulitakiwa uanze saa 12 jioni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangu jana wapenzi wa mpira tulijua mechi hii inachezwa saa nane kamili. Mpaka sasa hatuoni kinachoendelea. Utachezwa muda gani? Mnisaidie ndugu zangu.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hapa chini ni kocha mpya wa Simba akikagua uwanja wa mazoezi unaotumiwa na timu hiyo. Na hizi picha hapa chini ni vijana wa Yanga wakiwa mazoezini. Chini ni kocha mpya wa Azam akiwa...
3 Reactions
18 Replies
6K Views
Nikiwa mpenzi mkubwa wa Arsenal, napenda kuwapa pole sana wapenzi wa Man U kwa kipigo cha pili mfululizo.walichopata muda mfupi toka kwa new castle.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu, TFF imeweka kanuni ya kila timu shiriki kuwa na ukomo wa wachezaji watatu tu wa kigeni. Lengo ni kuwapa nafasi zaidi wachezaji wazalendo na kuwasaidia kuinua...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
MANDELA vs MAN UNITED Mandela alikaa jela miaka 26 Man u alikaa miaka 26 bila kombe la ligi Mwaka 1990 Mandela anakua huru Mwaka huo huo man akachukua fa cup na hilo lilikua kombe lake la kwanza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeshangazwa na kitendo wanachafanya Wakenya uwanjani, wamemshangilia sana Mapunda. Cha ajabu hata wachezaji wa Kenya waliokuwa wakijitayarisha na mechi yao dhidi ya Rwanda walikwenda...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
"Hatimaye Prezzo amepata kitu kinachomfaa. Ni ukweli uliowazi kuwa hawezi kuimba. Yeye ni mwanamitindo na muigizaji hivyo tumwache ajaribu hili na mwisho atengeneze hela yake mwenyewe ambazo...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
http://m.youtube.com/watch?v=A4pUs4Pu1cQ here is a little Youtube video I found on the season so far. Really good watch.
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Hivi tunajifunza namna ya kumheshimu kocha? Kibadeni,Julio ,Basena na wengineo wengi walipewa nafasi kama anayopewa David Moyes? au hatujifunzi kitu hapo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yakubali kipigo kingine cha 1-0 toka kwa Newcastle United.Ni bao la dakika ya 61 ya mchezo uliochezwa Old Trafford. Limefungwa na Yohan Cabaye,kiungo mfaransa aliyeitesa vilivyo Man U leo...
0 Reactions
5 Replies
999 Views
A violent brawl broke out between rival fans Continue reading the main storyRelated Stories Violence at Brazil football matchWatch 2014 Fifa World Cup draw & fixtures The Brazilian football...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Waandishi wa habari kila Juma Kaseja anapokuwa hayumo timu ya taifa hawa hulazimisha kocha amchague kwa kumuuliza maswali ambayo hayaendani na kipindi husika. Sasa naomba waandishi watueleze kama...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Hali ni mbaya. Mashabiki walionekana wakihaha huku na huko. Dua lao lilikuwa ni moja tu: Ferguson rudi uokoe jahazi!
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom