MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage Tutu Vengere, amepewa saa 48 na viongozi wa matawi ya Simba mkoa wa Dar es Salaam, awe ametangaza kwa hiari yake kujiuzulu kutokana na kuisigina...
Ni mashabiki wachache wa Manchester United wanaikumbuka siku ile ambayo timu yao ilishushwa daraja. Ilikuwa msimu wa 1973/74 na mechi ya mwisho ya ligi ilikuwa tarehe 27 Aprili 1974. Kwa...
Wachezaji wamekuwa wakilipwa mamilioni ya fedha ii kupaganga matokeo ya mechi za mpira wa mguu. Wamedai hutegemea pesa hizo ziwasaidie watakapostaafu mpira.
Hutakiwa kufanya faulu za makusudi ili...
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe ambaye bia yake inadhamini Taifa Stars, akitoa mada wakati wa ufunguzi wa mkutano unaojumuisha wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania bara...
Manchester United's £15million star forced to deny relationship with manager David Moyes's 19-year-old daughter
Wilfried Zaha, 21, condemns claims of relationship with Lauren Moyes
Denies...
Mimi ni shabiki la mashetani wekundu, enzi za babu tulikuwa tukijua hata kama tuanze vibaya vipi ukifika mwezi wa december tayari tunakuwa tushaanza kuichukua nafasi yetu, x-mas na mwaka mpya...
Kufuatia Klabu ya Simba kukubwa na mgogoro mkubwa huku mwenyekiti wake mh Ismail Aden Rage aka TUTU VENGERE akiigomea TFF kuitisha mkutano wa kutafuta suluhu,leo wadhamini wa klabu hiyo...
TBL kupitia bia yao ya KILIMANJARO imeleta hili shindano, mil 100 zimetengwa kushindaniwa na Simba na Yanga, kushiriki nunua bia hiyo angalia kizibo tuma sms yenye jina la timu na namba zilizopo...
If you ever forget how big NBA players really are, this should serve as a reminder.
You have to remember in your lifetime if you are average height, you are probably looking at people...
Ni ushauri wangu kwa serikali ya mh kikwete kuzisaidia vigogo vya soka yani simba na yanga walau kuvijengea viwanja kama kirumba kila timu halafu kila mechi serikali ikate mapato ya timu husika...
Man u chama langu toka ktambo.nilikuwa najivunia kuwa shabiki wa hii klabu niliogopwa na kila timu pale uingereza ulaya na dunian kote waliniheshimu ila moyes tangu umeichukua timu kila mtu...
Kichapo cha Zanzibar jioni hii katika Senior Challenge dhidi ya Wajivuni kilikuwa cha kujitakia! Unawezaje kumwacha beki makini na mzoefu kama Nadir Haroub 'Cannavaro'? Bausi anahalalishaje hilo?
Mechi ya leo saa 08:00 mchana huu ya Kilimanjaro Stars (Tanzania) dhidi ya Burundi katika Senior Challenge Cup ni muhimu sana sio tu kwa michuano hiyo lakini pia kwa FIFA World Rankings! Hivi sasa...
The One World Futbol is a nearly indestructible ball that never needs a pump and never goes flateven when punctured multiple times. Whether for use on the street, at the beach, at home or on...
Saido Berahino: England hopeful earning less than a kit man
By Ben Smith BBC Sport
It would take Saido Berahino five years to earn what Manchester City midfielder Yaya Toure takes home in a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.