Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Baada ya matokeo haya hakika nikiwa kipenzi wa Liverpool Football Club hakika matokeo haya yamenirejeshea matumaini ya kwamba Liverpool FC waweza wakawa BINGWA msimu huu. Maoni kwa member hawa ni...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Ckupata bahati ya kuangalia mechi ya juzi baina ya Real Betis ambapo Barca waliibuka kidedea kama kawaida yao.......mabao ya Barca ilifungwa na Neymar dk 35,Pedro dk 37,Cesc Fabregas dk 63,79 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPL Board) imefungia viwanja saba vilivyokuwa vikitumiwa na timu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL) hadi vitakapofanyiwa marekebisho ili kukidhi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini timu za Taifa za vijana za Afrika zinafanya vizuri sana katika mashindano ya kimataifa [rejea Nigeria bingwa wa kombe la dunia U17, hii ni mara ya nne wakiwa...
0 Reactions
3 Replies
938 Views
Nimesikitishwa sana na makala iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwanaspoti la leo jmosi tarehe 9 Nov 2013 katika ukurasa wake wa 17.Makala hiyo ina kichwa cha habari kinachoelezea jinsi Gervinho...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Fainali ya pili ya Klabu Bingwa Afrika inachezwa leo mjini Cairo. Mabingwa watetezi, Al Ahly wanaikabili Orlando Pirates huku wakiwa na matokeo mazuri kwa sare ya ugenini waliyoipata wiki...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Standings Table For this Competition. Click View Complete Standings for matches and brackets. UEFA Champions League (INT) View complete standings »...
0 Reactions
0 Replies
15K Views
habari wana jf na wale arsenal wenzangu poleni tumefungwa ila tumecheza mpira mzuri sana. yaani tangu ilipoisha game ya jana sina raha kwa mashabiki wa man u. hata kazi hazifanyiki vizuri. dah...
0 Reactions
2 Replies
726 Views
I'm happy,i'm sure,i'm confident,i'm proud and peaceful,I AM A JUVENTINO Mourinho Gang Chomba bologna Viper myao wa tunduru Chimunguru n.k mmetoka nduki na kuniacha peke yangu jukwaani lakini mie...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Sina uwezo mkubwa sana ila nitatoa zawadi ya muda wa hewani wa Tsh 5000 kwa atakayetabiri kwa usahihi kabisa matokeo ya mechi ya leo kati ya ARSENAL NA MAN UTD 1.TAJA IDADI YA MAGOLI YA TIMU...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimefuatilia kwa makini mzunguko wa kwanza ligi kuu ya Tanzania bara na hiki ndicho kwa mtazamo wangu. Kuna tofauti kubwa kati ya Simba na yanga, kwanza pamoja na matokeo Yanga wamekuwa wakicheza...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Uongozi wa klabu ya Young Africans umekanusha taarufa zilizozagaa leo mchana kwamba wapo kwenye maongezi na aliyekua kocha mkuu wa Azam FC Stewart Hall aje kuifundisha timu ya Yanga. Taarifa hizo...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
hivi ss watanzanzia 2nataka kusema kweli michezo 2naijua lakin karate hatuijui. Maana juzi 2 kulikua na mashindano ya karate kwa vyuo vikuu kutoka nchi tofauti na yamefanyika mliman lakn hakuna...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hall leaves Azam and alleges Tanzanian league is fixedEngland-born coach Stuart John Hall has parted company with Azam FC and alleged the Tanzanian league is rigged in favour of the country's two...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ninakuwa na furaha sana ninapotembelea jukwaa la sports katika jamii forum,michezo ni furaha,michezo ni bururadi,michezo hujenga urafiki. Binafsi michezo imenipa kufahamiana na watu wengi sana...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kasseja na Ngassa ni watu ambao mapenzi yao kwa Club za Kkoo,yako wazi.Ngassa pamoja na kucheza Simba,inasadikika anaipenda sana Yanga hali kadhalika,Kasseja kuja yanga bado ataendelea kuipenda...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
pamoja na lengo zuri walilonalo bado mwanaspoti wameonyesha mapungufu makubwa sana katika utoaji wa tuzo zao, haya ni baadhi ya mapungufu 1. mpaka sasa hakuna vigezo maalumu vilivyotumika kumpa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Yani hapa Yanga ni full bata.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wachezaji wa tanzanite wakishangilia mabao yao 10, 5=15, TANZANITE YAKUFURU:Timu ya soka ya Taifa ya wanawake U-20 leo imeifurusha Msumbiji mabao 5, yasonga mbele kusaka tiketi ya...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Kenyan MPs at The Hague have found a new way to beat the cold and boring winter in the European city. The MPs have decided to turn one of the bars called De Zeeheld in Hague’s city centre into...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom