Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kikao cha kwanza cha kamati mpya ya utendaji ya TFF kimempa likizo katibu mkuu wa kuajiriwa, Angetile Osiah mpaka mkataba wake utakapomalizika Desember na watamlipa stahiki zake. Kikao kiko...
2 Reactions
79 Replies
7K Views
...Malinzi akabidhiwa akaunti ya Tff yenye mil 32 tu,kwa miaka yote 8 alokaa tenga Tff,Pccb mumchungulie kuna walakini na haiwezekani
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Fulham vs Man U~~~~~draw au man u kufungwa Hull city vs Sunderland~~~~draw Man city vs Norwich city~~~man city anashinda Stoke city vs Southampton ~~~southapton wanasinda au draw West Bromwich...
0 Reactions
41 Replies
14K Views
Wasalaa chanzo cha taarifa hii ni mm mwenyewe ambaye nilikua mazoezini jioni ya leo Henry Joseph Shindika amerudi Simba A na leo amechezeshwa kikosi cha kwanza kuashiria kuanzishwa kayika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nini? Referees wote ni wazungu weupe! Kwa nini?.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ZURICH, USWISI WAHISPANIOLA wana usemi wao ‘Cria fama y echate a dormir’ ambao maana yake ni kwamba unapokuwa maarufu huna haja ya kujisumbua kuulinda umaarufu wako. Waswahili nao wanadai ‘Uzuri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni siku nyingine tena Azam FC wana kibarua cha kujinasua kutoka katika nafasi yao ya pili waliyoizoea katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Karibuni kwa Live updates Wakuu. Final Scores...
3 Reactions
111 Replies
8K Views
Defending champion Geoffrey Mutai and Priscah Jeptoo won the men's and women's races at the New York City Marathon on Sunday for a Kenyan sweep in chilly, windy conditions through the city's five...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Hali ilipofia sasa mashabiki wa Simba, kuna haja yakutembea huku tukiwa tumebeba dawa za maumivu mfukoni. Kwa timu hii na kocha huyu, kwa uongozi huu wa Rage tusitegemee furaha kamwe. dah inauma...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
SIMBA NA YANGA IPI TIMU BORA YENYE WASHABIKI WENGI ??? INGIA HAPA KUIPIGIA KURA TIMU YAKO SASA ~ N.O.W HAPO WAKUU KUNA MCHUANO MKALI WA KUTAKA KUJUA NANI ANA MASHABIKI WENGI ZAIDI KATI YA SIMBA...
0 Reactions
28 Replies
13K Views
kiukweli mimi nishabiki na mpenzi wa mpira wa miguu.ila kwakilichotokea kwenye mechi ya simba na kagera sugar nikitendo cha kipuuzi sana na kama ni mwanamichezo mpenda naendeleo huna budi kulaani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pengine sipendi kusema ubaya kwa mzee wangu lakini wakati yeye akilalamika mwamuzi sio penati viongozi wenzie wamekiri ni penat na ujinga wa mabeki zake kwa washambuliaji wa kagera sugar hata...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Simba na mbeya city mmetoa Droo - Hawakufanya vurugu Simba na Coast union mmetoa Droo - Hawakufanya vurugu Simba na yanga mmetoa Droo - Walifurahia sana Simba na kagera mmetoa Droo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mchezaji maaru wa timu ya taifa ya uruguy na clabu ya liverpool LUIS SUAREZ ambae pia ni roho ya upachikaji mabao anfild ni miongon mwa wachezaji wanaochukiwa na mashabiki wengi dunian licha ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Akiwa kacheza mechi tisa za ligi na kufunga magoli nane msimu huu huku mwenzie akiwa kacheza mechi tatu za ligi na kufunga magoli sita,hii inaifanya safu ya ushambuliaji ya liverpool kuwa tishio...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Young Africans leo inashuka katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kucheza na maafande wa jeshi la kujenga Taifa nchini timu ya JKT Ruvu kutoka mkoani Pwani ikiwa ni muendelezo...
2 Reactions
389 Replies
22K Views
Mechi iliyokuwa imepangwa kesho jumapili inachezwa leo na prison atacheza kesho . Mbeya city na ashanti ndo wanaingia uwanjani sasa. Tuendeleee
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Marato George "MWENYEKITI WA TIMU SIMBA SC MH A.R AMEACHIA NGAZI BAADA YA TIMU YAKE KUFANYA VIBAYA KILA KUKICHA" JE BAADA YA HAPO WATASHINDA? Like · · Share · 29 minutes ago · Hii nimekutana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu wana-JF! Alianza kwa kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi mapema mwaka huu kwa madai kuwa hana sifa za kugombea uongozi tff lakini wakajisahau kwamba amewahi kuiongoza Yanga na...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Sepp Blatter ameomba radhi kwa Cristiano Ronaldo baada ya mshambuliaji huyo wa Real Madrid kumchamba katika ukurasa wake wa Facebook...
1 Reactions
70 Replies
9K Views
Back
Top Bottom